Majambazi daraja l a mlalakuwa kawe

Hao ni wanajeshi mchana, usiku majambawazi ya kutisha hapo darajani. Chezea tz-kila kitu kinawezekana sanaaaaaaa
 
Even you too. You're a gramatically wrong. You were supposed to type '' though you have got a point'' or '' you got a point''. Sorry kwa kukusahihis.lakini.

kama wewe....its either 'even you' or 'you too' not 'even you too'.....na hiii 'you're a gramatically wrong' ndio....ni nini??....sema 'you're gramatically wrong'
 
Even you too. You're a gramatically wrong. You were supposed to type '' though you have got a point'' or '' you got a point''. Sorry kwa kukusahihis.lakini.

Unaamini na wewe huhitaji kusahihishwa? Hebu soma ulichokiandika halafu ujisahiishe mwenyewe. Samahani sijakusahihisha.
 
kama wewe....its either 'even you' or 'you too' not 'even you too'.....na hiii 'you're a gramatically wrong' ndio....ni nini??....sema 'you're gramatically wrong'

Umeona eh. Na yeye kiherehere kimemponza. Nikiwaambia watu tuienzi lugha yetu huwa hawanielewi wakati lugha za wenyewe zinawashinda.
 
Yes mkuu infact nilifungua dirisha language kuwajulisha wa pemben name wengi wamegeuka

Pole sana mkuu na thanks pia.

Pia weka Autocorrection OFF maana naona inabadirisha maneno yako kinoma.
 
Back
Top Bottom