Majambazi daraja l a mlalakuwa kawe

Wako chin I ya daraja alafu kwa mbele wengine wanapikiki ukisimama wamawasha wanakufwata ngoja niende haja
 
Mkuu bahati nililock wamevta wakashndwa wakapiga Taa name pang a kushoto
 
Pole sana, inaonekana bado huamini kuwa umesalimika, maana uandishi wako unaonyesha tu!
Mshukuru Mungu.
 
Yes mkuu infact nilifungua dirisha language kuwajulisha wa pemben name wengi wamegeuka
 
thanks for the info. ila ukitulia naomba utuelezee vizuri ili iwe somo kwa sehemu nyingine nyingine. mfano waliweka vizuizi au ulifahamu vipi ni wezi? nk nk
 
Poor communication skills though you got point

Even you too. You're a gramatically wrong. You were supposed to type '' though you have got a point'' or '' you got a point''. Sorry kwa kukusahihis.lakini.
 
aaaaa pale ni eneo la jeshi kabisa pale why kunamajambazi?? au makali ya wanajeshi siku hizi yamepungua kwenye maeneo yao??
au mpaka aje aporwe bosi wao ndio wataamka??

SIKUKUU HII WATAWANA FORCE MONEY
 
Wiki mbili zilizopita ucku mida ya saa 4.walikamatwa wawili ambao walitambuliwa na dereva tax,waliomwibiaga ,inatakiwa pawekwe taa pale pote.hii inaweza saidia
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom