Habari zenu!
Naomba msaada wa kupata kazi ya udereva kumuendesha mtu binafsi au kuanzia gari ndogo, UBER au private, coaster za private au daladala yeyote ile kwa umakini na uaminifu. Nina leseni daraja A, A2 C1, C3, D, & E.
Mimi ni mwaminifu na ninahitaji kazi kwa uaminifu wa hali ya juu kwa ambae anaweza kunisaidia serious. Nahitaji msaada wako nahuitaji katika hili
Naomba msaada wako sana. Asante.