Mshana samahani hii chumvi unaiweka kwenye maji yakuogea moja kwamoja au unaoga Kwanza kwamaji yabila chumvi alafu ukimaliza ndio unachukua maji yenye chumvi unajimwagia? samahani nieleweshe hapoAaamen asante kwa mrejesho
Mm nahisi kunavitu nafanyiwa ndugu naweza kuwa na mipango haikamiliki napia muda unavyozidi kwenda nazidi kosa hali ya kujiamini na ndugu wananiona kama mkombozi kitu ambacho mm mwenyewe najiona bado kwani najua jinsi mambo yangu yanavyo simama kwa wao kunichukulia hivyo mpaka maisha nayaona hayana maana kwangu ila wao wanaishi coz mm nipo haiUmetaja kiwango cha pesa na kusema kinaisha haraka, kwa hapa nikadhani unaona pesa yako haikufaidii wewe.
Na nafikiri hii ndiyo big deal hapa.
Ruge (lecturer siyo wa Clouds) alisema uchawi ni coincidence na bahati, yaweza kua ni bahati mbaya au nzuri.
Mfano, umekuta boneti liko wazi oil stick imechomolewa siku kadhaa mbele ukapata ajali yaani hapo ni tukio limekutana na bahati mbaya ukapata ajali ambayo ulivyoitrace coincidence yake ni imetokea soon baada ya kukuta oil stick juu ya boneti.
Akasema kuamini au kutoamini uchawi ni uchaguzi wako.
DodomaUpo mkoa gani?
Kuna wenzako wana matatizo kama hayo na hawana kipato kama chako na bado wana survive... Achana na wazo la kujiua
Kuna tiba moja rahisi sana lakini very effective.... Ni tiba maarufu na imewasaidia wengi na mfanyaji ni wewe mwenyewe
Tiba ya kuogea chumvi hasa nzuri ni ile ya mabonge... Hicho tu.. Ogea mara mbili kwa siku kwa mwezi mzima huku kila ukiogea unanuizia mabaya yakuondoke na uwe na ladha kama chumvi
Mafuta yako yawe ya mzeituni... Jaribu hiyo hutojuta na haina side effects wala gharama za kazi
ungepitia hata nusu ya maisha yangu ungekuwa ushajiua....Ndugu zangu,
Kama nilivoandika kichwa cha habari mimi ni kijana niliye ajiriwa na mapato yangu kwa mwezi nikama 2000000 hivi.
Lakini nimekosa furaha kiasi kwamba sina furaha na maisha pamoja na watu wanaonizunguka hata hiyo pesa yote huishia kumaliza matatizo ya ndugu na kila mwanamke naingia naye kwenye mahusiano basi hata anza kuumwa kiasi pesa yote inaenda kumhudumia mgonjwa.
Sasa najiuliza nitakuwa nimerogwa au na kipindi hiki ndo nimekosa kabisa ujasiri wa maisha sasa je hiyo hali ya kawaida au kuna michezo ya kiswahili nafanyiwa na kama yupo mganga anitibie nikipona ndo namlipa maana nimeenda kwa hawa wa upako naona maigizo kabisa mtu ananiombea sijazimia ananilazimisha kuniangusha na wale wasaidizi wanashika kwa nguvu kama nina matatizo wakati nipo vizuri, ndo nikaona wote hawa maigizo.
Nimeenda kama kwa wa upako wa nne hivi wote hivohivo.
Sijui nifanye nini.
Nashukur ndugu kusema ukweli cfurahii maisha yangu hapa duniani cjui kama tatizo nawaza kama ningekuwa cna ajira na hali ingekuwaje kama HV tu sina furaha kuna muda nashinda kanisani napata imani lakini nikiona baadhi ya watu wanajiangusha na wale watoa huduma wengi nawajua kabla ya misa huwa nawaangalia unakuta ni watu wa kawaida wenye majibu mabaya kwa watu huwa nashuudia maana mm huwa nawahi kanisani masaa matatu kabla ya ibaada kuanza hivyo nao wana changia mm kukosa hali ya kuendelea kuomba kanisaniPole sana mkuu
Hapana kaka sio kwa ajili yangu.Mkuu ina maana katika huu uzi hujawaona ma-counsellors? Hata humu wapo sema watu wameweka fikra lazima mfungiane ofisini. Pitia comments utawatambua.
Mkuu hiyo ni laki mbili au Milioni 2 ??Pole sana.kuna wengine wana matatizo zaidi kuliko wewe.punguza misaada. Jiwekee malengo. Hiyo hiyo laki mbili ipunguzie matumizi .kama unaweza biashara fikiria unachoweza ili ufanye na huku una kazi yako.nina rafiki yangu mshahara wake ni chini ya huo ila yeye ni mpishi Wa keki ilimchukua miaka 8 kuweza kujenga kisehemu kununua vifaa na kuajiri mtu Wa biashara hiyo ya keki.maana alidunduliza miaka yote. Usiwe na haraka ukajihisi umechelewa.
Nashukur ndugu kusema ukweli cfurahii maisha yangu hapa duniani cjui kama tatizo nawaza kama ningekuwa cna ajira na hali ingekuwaje kama HV tu sina furaha kuna muda nashinda kanisani napata imani lakini nikiona baadhi ya watu wanajiangusha na wale watoa huduma wengi nawajua kabla ya misa huwa nawaangalia unakuta ni watu wa kawaida wenye majibu mabaya kwa watu huwa nashuudia maana mm huwa nawahi kanisani masaa matatu kabla ya ibaada kuanza hivyo nao wana changia mm kukosa hali ya kuendelea kuomba kanisani
Kaka nimeomba mawazo ya watu ilinijue ni lipi litanifaa niondokane na hali hii umeshawahi kusikia mtu kachukua silaha kaenda kupiga watu hovyo coz ya kutojipenda yy na wanaomzunguka nimeweka kipato changu c kujiringanisha Bali kutoa kama dira kwa watakao nipa ushauri wasijikite kwenye hali ya uchumi sana kwani naweza kujihudumia na kuhudumia wengine tatizo langu cna furaha ya maisha na nimekosa hali ya kujiamini na nilipofikia ctaki kundelea mbele kufikia uzee cdhani kama jinsi ninavyo ishi ninafurahaKwa uandishi huo milion mbili huna wewe
Dah...kwani mie ndiyo nimemwambia ajiue au yeye mwenyewe kaamua?🙂🙂Kweli wewe rohombaya.
Mkimbilie Yesu Kristo kwa haraka sana, yeye ni mwokozi na alishaahidi kukulinda na maadui wote na nadiyo maana alikufa msalabani ili upone. Kimbia katafute Mchungaji utakaye mwanini akubadili maisha yako kwa jina hilo la Yesu. Haya si mambo makubwa ni madogo sana. Kwa Yesu utapata furaha na amani.Ndugu yangu nimebadili nyumba za kupanga nikifikiri labda zina madudu yaani Nina ajira lakini bado nakosa furaha na cjui ni marafiki nilionao nikanunua usafiri lakini cku nimepaki nyumbani nikakuta kitu cha ajabu bonet ya mbele imefunguliwa mtu kachomoa oil stick tu kisha kaweka juu ya injini aikupita cku tatu nilipata ajali mbaya lakini nikapona ucku naota mambo ya ajabu naona sura lakini czfahamu nimeshakutana nazo wapi na ndoto moja inaweza kuja kujirudia mwezi mmoja baadae alafu isitoshe maisha ya utotoni niliteseka sana na uchawi sumbawanga ikiwemo kujikuta nimelala nje wakati nilikuwa ndani isije kuwa bado na andamwa maana kuna vifo vilitokea kwenye familia ni vyakutatanisha koo yangu inaendekeza ushirikina sana hata ndugu upande wa baba hawashikamani mpaka utokee msiba hapo patakuwa na majungu na ugomvi yaani kifupi naichukia family tree yangu inanifanya nisi ishi maisha yangu halisi ya upendo na amani
[emoji120] [emoji120] [emoji120] huwa kuna kipindi nachanganya ID yako na ya chamdeko nataka nikuite mkewangu [emoji85]Katika ubora wako uliotukuka!
Wee maumba huku umefikaje[emoji125] [emoji125] [emoji125]Umeanza ulozi wako we mzee wa mochware...
Hapana kabisa... Hata kwenye maandiko matakatifu yapoSasa hiyo Mshana haina tatizo na mahusiono na Mungu?
Nani kaongelea habari ya kusaidiwa? Inaonekana umelelewa kwenye maisha ya kusaidiwa tu we dada.Sasa hata kama hana, wewe inakusaidia nini.?