Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,977
- 30,163
Mbona hujataja Mafuta ya Mzeituni?Chukua chumvi ya mabonge changanya kwenye maji ya kuogea kisha ogea mara moja ama mbili kwa siku

Lipa zaka.Kazi ya kumkemea alaye pesa yako ni ya Mungu.Usijipeleke kwa waliokutengenezea ajali,ili wakuchimbie kaburi kabisa!Ndugu zangu kama nilivoandika kichwa cha habari mm ni kijana niliye ajiriwa na mapato yangu kwa mwezi nikama 2000000 hivi.
Lakini nimekosa furaha kiasi kwamba cna furaha na maisha pamoja na watu wanao nizunguka hata hiyo pesa yote huishia kumaliza matatizo ya ndugu na kila mwanamke naingia naye kwenye mahusiano basi hata anza Ku umwa kiasi pesa yote inaenda kumhudumia Mgonjwa.
Sasa najiuliza nitakuwa nimerogwa au na kipindi hiki ndo nimekosa jabisa ujasiri wa maisha sasa je hiyo hali ya kawaida au kuna michezo ya kiswahili nafanyiwa na kama yupo mganga anitibie nikipona ndo namlipa maana nimeenda kwa hawa wa upako naona maigizo kabisa MTU ananiombea sijazimia ananilazimisha kuniangusha na wale wasaidizi wanashika kwa nguvu kama Nina matatizo wakati nipo vizuri c ndo nikaona wote hawa maigizo.
Nimeenda kama kwa wa upako wa nne hv wote hivohivo.
Sijui nifanye nini
Mafuta ya mzeituni nayo unachanganya na chumvi kwenye kuogea kakaKuna wenzako wana matatizo kama hayo na hawana kipato kama chako na bado wana survive... Achana na wazo la kujiua
Kuna tiba moja rahisi sana lakini very effective.... Ni tiba maarufu na imewasaidia wengi na mfanyaji ni wewe mwenyewe
Tiba ya kuogea chumvi hasa nzuri ni ile ya mabonge... Hicho tu.. Ogea mara mbili kwa siku kwa mwezi mzima huku kila ukiogea unanuizia mabaya yakuondoke na uwe na ladha kama chumvi
Mafuta yako yawe ya mzeituni... Jaribu hiyo hutojuta na haina side effects wala gharama za kazi
Man jiue tu, mi nakushauri haya maisha ni shida sana!Ndugu zangu kama nilivoandika kichwa cha habari mm ni kijana niliye ajiriwa na mapato yangu kwa mwezi nikama 2000000 hivi.
Lakini nimekosa furaha kiasi kwamba cna furaha na maisha pamoja na watu wanao nizunguka hata hiyo pesa yote huishia kumaliza matatizo ya ndugu na kila mwanamke naingia naye kwenye mahusiano basi hata anza Ku umwa kiasi pesa yote inaenda kumhudumia Mgonjwa.
Sasa najiuliza nitakuwa nimerogwa au na kipindi hiki ndo nimekosa jabisa ujasiri wa maisha sasa je hiyo hali ya kawaida au kuna michezo ya kiswahili nafanyiwa na kama yupo mganga anitibie nikipona ndo namlipa maana nimeenda kwa hawa wa upako naona maigizo kabisa MTU ananiombea sijazimia ananilazimisha kuniangusha na wale wasaidizi wanashika kwa nguvu kama Nina matatizo wakati nipo vizuri c ndo nikaona wote hawa maigizo.
Nimeenda kama kwa wa upako wa nne hv wote hivohivo.
Sijui nifanye nini
Huwa nachoamini ukianza ushirikina, hautaacha, matatizo yako yote utataka usolve kwa ushirikina, utakuwa umeopen Pandora boxMafuta ya mzeituni nayo unachanganya na chumvi kwenye kuogea kaka
Jiue tuu ndugu!Ndugu zangu kama nilivoandika kichwa cha habari mm ni kijana niliye ajiriwa na mapato yangu kwa mwezi nikama 2000000 hivi.
Lakini nimekosa furaha kiasi kwamba cna furaha na maisha pamoja na watu wanao nizunguka hata hiyo pesa yote huishia kumaliza matatizo ya ndugu na kila mwanamke naingia naye kwenye mahusiano basi hata anza Ku umwa kiasi pesa yote inaenda kumhudumia Mgonjwa.
Sasa najiuliza nitakuwa nimerogwa au na kipindi hiki ndo nimekosa jabisa ujasiri wa maisha sasa je hiyo hali ya kawaida au kuna michezo ya kiswahili nafanyiwa na kama yupo mganga anitibie nikipona ndo namlipa maana nimeenda kwa hawa wa upako naona maigizo kabisa MTU ananiombea sijazimia ananilazimisha kuniangusha na wale wasaidizi wanashika kwa nguvu kama Nina matatizo wakati nipo vizuri c ndo nikaona wote hawa maigizo.
Nimeenda kama kwa wa upako wa nne hv wote hivohivo.
Sijui nifanye nini
Nahisi hapo ulipo sheikh kakupakataKama usemayo yana ukweli,
Lakini wewe unauhitaji na kazi anayoweza kukufanyia Shekhe,
Au kazi na Maisha ya Shekhe?
Kuchanganya Upumbavu kwenye mambo ya Msingi ni umajununi.
Ushirikina uko apii hapo alipozungumzia mshana au umekurupukaHuwa nachoamini ukianza ushirikina, hautaacha, matatizo yako yote utataka usolve kwa ushirikina, utakuwa umeopen Pandora box
Mshana Jr!Kuna wenzako wana matatizo kama hayo na hawana kipato kama chako na bado wana survive... Achana na wazo la kujiua
Kuna tiba moja rahisi sana lakini very effective.... Ni tiba maarufu na imewasaidia wengi na mfanyaji ni wewe mwenyewe
Tiba ya kuogea chumvi hasa nzuri ni ile ya mabonge... Hicho tu.. Ogea mara mbili kwa siku kwa mwezi mzima huku kila ukiogea unanuizia mabaya yakuondoke na uwe na ladha kama chumvi
Mafuta yako yawe ya mzeituni... Jaribu hiyo hutojuta na haina side effects wala gharama za kazi
Kasema million 2 bana au nimekosea?Pole sana.kuna wengine wana matatizo zaidi kuliko wewe.punguza misaada. Jiwekee malengo. Hiyo hiyo laki mbili ipunguzie matumizi .kama unaweza biashara fikiria unachoweza ili ufanye na huku una kazi yako.nina rafiki yangu mshahara wake ni chini ya huo ila yeye ni mpishi Wa keki ilimchukua miaka 8 kuweza kujenga kisehemu kununua vifaa na kuajiri mtu Wa biashara hiyo ya keki.maana alidunduliza miaka yote. Usiwe na haraka ukajihisi umechelewa.
Sasa hata kama hana, wewe inakusaidia nini.?Kwa uandishi huo milion mbili huna wewe
@zamaulid unapotea sana mbona kaka?