Smeagol
Member
- Apr 29, 2015
- 26
- 30
Pole mkuu,
hebu fanya kuonana na counsellor kwanza. Acha kuwaza ushirikina.
Kwa Dar?, counsellors wanapatikana wapi?
Pole mkuu,
hebu fanya kuonana na counsellor kwanza. Acha kuwaza ushirikina.
Kuna wenzako wana matatizo kama hayo na hawana kipato kama chako na bado wana survive... Achana na wazo la kujiua
Kuna tiba moja rahisi sana lakini very effective.... Ni tiba maarufu na imewasaidia wengi na mfanyaji ni wewe mwenyewe
Tiba ya kuogea chumvi hasa nzuri ni ile ya mabonge... Hicho tu.. Ogea mara mbili kwa siku kwa mwezi mzima huku kila ukiogea unanuizia mabaya yakuondoke na uwe na ladha kama chumvi
Mafuta yako yawe ya mzeituni... Jaribu hiyo hutojuta na haina side effects wala gharama za kazi
Yani Matatizo ya ndugu yanakukimbiza duniani, Sekeseke la jehanamu utaliweza kweli ..Samahani ila huo ni ufala.. Jiue tu ndugu.. Mkaijaze jehanamu mapema tuliobaki tuende peponi..
Sikushauri kwenda kwa hao watu, maana kuna mdada anajiita super women ndio kansela wao wanawake lakini matendo anayoyafanya yeye ndio anahitaji kukanseliwa kuliko mtu mwingine yoyote.Kwa Dar?, counsellors wanapatikana wapi?
Aaamen asante kwa mrejeshoMshana sitakusahau milele kwa tiba hii .. Mungu akubariki kaka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] JkiliaSikushauri kwenda kwa hao watu, maana kuna mdada anajiita super women ndio kansela wao wanawake lakini matendo anayoyafanya yeye ndio anahitaji kukanseliwa kuliko mtu mwingine yoyote.
Hiyo ni 2M siyo laki 2 mkuu!Pole sana.kuna wengine wana matatizo zaidi kuliko wewe.punguza misaada. Jiwekee malengo. Hiyo hiyo laki mbili ipunguzie matumizi .kama unaweza biashara fikiria unachoweza ili ufanye na huku una kazi yako.nina rafiki yangu mshahara wake ni chini ya huo ila yeye ni mpishi Wa keki ilimchukua miaka 8 kuweza kujenga kisehemu kununua vifaa na kuajiri mtu Wa biashara hiyo ya keki.maana alidunduliza miaka yote. Usiwe na haraka ukajihisi umechelewa.
sio laki mbili, hiyo ni milioni mbili.Pole sana.kuna wengine wana matatizo zaidi kuliko wewe.punguza misaada. Jiwekee malengo. Hiyo hiyo laki mbili ipunguzie matumizi .kama unaweza biashara fikiria unachoweza ili ufanye na huku una kazi yako.nina rafiki yangu mshahara wake ni chini ya huo ila yeye ni mpishi Wa keki ilimchukua miaka 8 kuweza kujenga kisehemu kununua vifaa na kuajiri mtu Wa biashara hiyo ya keki.maana alidunduliza miaka yote. Usiwe na haraka ukajihisi umechelewa.
Mshana ni kipimo gani cha chumvi kinatakiwa, na upatikanaji wa mafuta ya mizeituni ukoje I mean wp mtu anaweza pata.Chukua chumvi ya mabonge changanya kwenye maji ya kuogea kisha ogea mara moja ama mbili kwa siku
Chumvi ya mabonge ndiyo magadi au?Chukua chumvi ya mabonge changanya kwenye maji ya kuogea kisha ogea mara moja ama mbili kwa siku
Hiii tiba ni nzuri hata kwa wanaotafta mafanikio yoyote?? Lets say natafta kazi, afu hayo mafuta ya mzaitun ndio mafuta gan???Tumia tiba ya chumvi kila kitu kitakwisha
HapanaChumvi ya mabonge ndiyo magadi au?
Ndio kila kituHiii tiba ni nzuri hata kwa wanaotafta mafanikio yoyote?? Lets say natafta kazi, afu hayo mafuta ya mzaitun ndio mafuta gan???
Mafuta ya Mzaituni ndio mafuta gani si ndio mafuta ya Mzaituni uliza yanapatikan wapi sio ndio mafuta gani.Hiii tiba ni nzuri hata kwa wanaotafta mafanikio yoyote?? Lets say natafta kazi, afu hayo mafuta ya mzaitun ndio mafuta gan???