Maisha yangu mabaya sana nakaribia kujiua

Kuna wenzako wana matatizo kama hayo na hawana kipato kama chako na bado wana survive... Achana na wazo la kujiua
Kuna tiba moja rahisi sana lakini very effective.... Ni tiba maarufu na imewasaidia wengi na mfanyaji ni wewe mwenyewe
Tiba ya kuogea chumvi hasa nzuri ni ile ya mabonge... Hicho tu.. Ogea mara mbili kwa siku kwa mwezi mzima huku kila ukiogea unanuizia mabaya yakuondoke na uwe na ladha kama chumvi
Mafuta yako yawe ya mzeituni... Jaribu hiyo hutojuta na haina side effects wala gharama za kazi
Umeanza ulozi wako we mzee wa mochware...
 
Nani alikwambia anafuraha ya kweli na maisha haya ya kibongobongo ?? Huwa tunafumba macho nakusema ni mipango ya Mungu huku tukisonga mbele mpaka siku yetu ya kupumzika itakapofika.
Yes umeongea point sana,na watu wakikuona hawajui kama unalala njaa.
 
Kwa Dar?, counsellors wanapatikana wapi?

Muhimbili. Ukiweza kumpata clinicla psychologist ama ukienda kule department ya psychiatry utaweza kusaidiwa vyema. Nje ya hapo simjui mtu mmoja mmoja.
 
Ndugu zangu,

Kama nilivoandika kichwa cha habari mimi ni kijana niliye ajiriwa na mapato yangu kwa mwezi nikama 2000000 hivi.

Lakini nimekosa furaha kiasi kwamba sina furaha na maisha pamoja na watu wanaonizunguka hata hiyo pesa yote huishia kumaliza matatizo ya ndugu na kila mwanamke naingia naye kwenye mahusiano basi hata anza kuumwa kiasi pesa yote inaenda kumhudumia mgonjwa.

Sasa najiuliza nitakuwa nimerogwa au na kipindi hiki ndo nimekosa kabisa ujasiri wa maisha sasa je hiyo hali ya kawaida au kuna michezo ya kiswahili nafanyiwa na kama yupo mganga anitibie nikipona ndo namlipa maana nimeenda kwa hawa wa upako naona maigizo kabisa mtu ananiombea sijazimia ananilazimisha kuniangusha na wale wasaidizi wanashika kwa nguvu kama nina matatizo wakati nipo vizuri, ndo nikaona wote hawa maigizo.

Nimeenda kama kwa wa upako wa nne hivi wote hivohivo.

Sijui nifanye nini.
Mkuu una fikiri kujiua ndio suluhu?
 
Best solution,acha kuishi maisha ya dhambi,hata hao wanawake unaoishi nao nina uhakika huja waoa,unajichukulia tu kitu kinachokusababishia mikosi zaidi,dhamiria kuishi maisha ya kumpendeza Mungu hutatamani kujiua kabisa na milango yako itafunguka utaweza kuyamudu maisha yako bila hofu..
 
Kuna wenzako wana matatizo kama hayo na hawana kipato kama chako na bado wana survive... Achana na wazo la kujiua
Kuna tiba moja rahisi sana lakini very effective.... Ni tiba maarufu na imewasaidia wengi na mfanyaji ni wewe mwenyewe
Tiba ya kuogea chumvi hasa nzuri ni ile ya mabonge... Hicho tu.. Ogea mara mbili kwa siku kwa mwezi mzima huku kila ukiogea unanuizia mabaya yakuondoke na uwe na ladha kama chumvi
Mafuta yako yawe ya mzeituni... Jaribu hiyo hutojuta na haina side effects wala gharama za kazi
Aisee
 
hata mimi kuna kipindi huwa natamani kujiua ila sio kwa weak reasons kama zako
 
Kuna wenzako wana matatizo kama hayo na hawana kipato kama chako na bado wana survive... Achana na wazo la kujiua
Kuna tiba moja rahisi sana lakini very effective.... Ni tiba maarufu na imewasaidia wengi na mfanyaji ni wewe mwenyewe
Tiba ya kuogea chumvi hasa nzuri ni ile ya mabonge... Hicho tu.. Ogea mara mbili kwa siku kwa mwezi mzima huku kila ukiogea unanuizia mabaya yakuondoke na uwe na ladha kama chumvi
Mafuta yako yawe ya mzeituni... Jaribu hiyo hutojuta na haina side effects wala gharama za kazi
Katika ubora wako uliotukuka!
 
Ndugu yangu nimebadili nyumba za kupanga nikifikiri labda zina madudu yaani Nina ajira lakini bado nakosa furaha na cjui ni marafiki nilionao nikanunua usafiri lakini cku nimepaki nyumbani nikakuta kitu cha ajabu bonet ya mbele imefunguliwa mtu kachomoa oil stick tu kisha kaweka juu ya injini aikupita cku tatu nilipata ajali mbaya lakini nikapona ucku naota mambo ya ajabu naona sura lakini czfahamu nimeshakutana nazo wapi na ndoto moja inaweza kuja kujirudia mwezi mmoja baadae alafu isitoshe maisha ya utotoni niliteseka sana na uchawi sumbawanga ikiwemo kujikuta nimelala nje wakati nilikuwa ndani isije kuwa bado na andamwa maana kuna vifo vilitokea kwenye familia ni vyakutatanisha koo yangu inaendekeza ushirikina sana hata ndugu upande wa baba hawashikamani mpaka utokee msiba hapo patakuwa na majungu na ugomvi yaani kifupi naichukia family tree yangu inanifanya nisi ishi maisha yangu halisi ya upendo na amani
Ni nani amekuambia kuwa na ajira, kununua usafiri au kupata kipato ulichotaja ndio kinaleta furaha..?
Acha kuleta ushamba wako hapa
 
Huwa nachoamini ukianza ushirikina, hautaacha, matatizo yako yote utataka usolve kwa ushirikina, utakuwa umeopen Pandora box
Maisha hayana kanuni maalum hivyo kila mtu ana utaratibu wake wa kuyaendesha as long as hamdhuru mtu mwingine
 
Ndugu zangu,

Kama nilivoandika kichwa cha habari mimi ni kijana niliye ajiriwa na mapato yangu kwa mwezi nikama 2000000 hivi.

Lakini nimekosa furaha kiasi kwamba sina furaha na maisha pamoja na watu wanaonizunguka hata hiyo pesa yote huishia kumaliza matatizo ya ndugu na kila mwanamke naingia naye kwenye mahusiano basi hata anza kuumwa kiasi pesa yote inaenda kumhudumia mgonjwa.

Sasa najiuliza nitakuwa nimerogwa au na kipindi hiki ndo nimekosa kabisa ujasiri wa maisha sasa je hiyo hali ya kawaida au kuna michezo ya kiswahili nafanyiwa na kama yupo mganga anitibie nikipona ndo namlipa maana nimeenda kwa hawa wa upako naona maigizo kabisa mtu ananiombea sijazimia ananilazimisha kuniangusha na wale wasaidizi wanashika kwa nguvu kama nina matatizo wakati nipo vizuri, ndo nikaona wote hawa maigizo.

Nimeenda kama kwa wa upako wa nne hivi wote hivohivo.

Sijui nifanye nini.

Hebu tulia andika kwa kirefu unashida gani, mbona kama huna shida yoyote, kwa ulicoeleza hapo hayo ni matatizo ya kawaida ya kila binadamu, ulikuwa unaishi vipi mwanzo mpaka sasa utake kujiua.
 
Huwa nachoamini ukianza ushirikina, hautaacha, matatizo yako yote utataka usolve kwa ushirikina, utakuwa umeopen Pandora box

Uchawi upo na mara nyingine wewe ndio unaanziwa sio unaanza. Ni kweli mwenye kuanza amekula hasara zaidi.
 
Kwa Dar?, counsellors wanapatikana wapi?
Mkuu ina maana katika huu uzi hujawaona ma-counsellors? Hata humu wapo sema watu wameweka fikra lazima mfungiane ofisini. Pitia comments utawatambua.
 
Kuna wenzako wana matatizo kama hayo na hawana kipato kama chako na bado wana survive... Achana na wazo la kujiua
Kuna tiba moja rahisi sana lakini very effective.... Ni tiba maarufu na imewasaidia wengi na mfanyaji ni wewe mwenyewe
Tiba ya kuogea chumvi hasa nzuri ni ile ya mabonge... Hicho tu.. Ogea mara mbili kwa siku kwa mwezi mzima huku kila ukiogea unanuizia mabaya yakuondoke na uwe na ladha kama chumvi
Mafuta yako yawe ya mzeituni... Jaribu hiyo hutojuta na haina side effects wala gharama za kazi
Mkuu,uko vzur!
 
Yani Matatizo ya ndugu yanakukimbiza duniani, Sekeseke la jehanamu utaliweza kweli ..Samahani ila huo ni ufala.. Jiue tu ndugu.. Mkaijaze jehanamu mapema tuliobaki tuende peponi..
duuu huu ushauri kiboko hahaaaaa
 
Back
Top Bottom