Maisha yangu mabaya sana nakaribia kujiua

Nani kaongelea habari ya kusaidiwa? Inaonekana umelelewa kwenye maisha ya kusaidiwa tu we dada.
Kama baba yupo hivi na tabia za kufatilia watu kama watoto wa kike. Sipatii hao kina heri wakoje. Rekebisha tabia baba heri.
 
Ndugu zangu,

Kama nilivoandika kichwa cha habari mimi ni kijana niliye ajiriwa na mapato yangu kwa mwezi nikama 2000000 hivi.

Lakini nimekosa furaha kiasi kwamba sina furaha na maisha pamoja na watu wanaonizunguka hata hiyo pesa yote huishia kumaliza matatizo ya ndugu na kila mwanamke naingia naye kwenye mahusiano basi hata anza kuumwa kiasi pesa yote inaenda kumhudumia mgonjwa.

Sasa najiuliza nitakuwa nimerogwa au na kipindi hiki ndo nimekosa kabisa ujasiri wa maisha sasa je hiyo hali ya kawaida au kuna michezo ya kiswahili nafanyiwa na kama yupo mganga anitibie nikipona ndo namlipa maana nimeenda kwa hawa wa upako naona maigizo kabisa mtu ananiombea sijazimia ananilazimisha kuniangusha na wale wasaidizi wanashika kwa nguvu kama nina matatizo wakati nipo vizuri, ndo nikaona wote hawa maigizo.

Nimeenda kama kwa wa upako wa nne hivi wote hivohivo.

Sijui nifanye nini.
Jambo la msingi mpokee Yesu Kristo awe Bwana na mokozi wako. Ukishafanya hivyo, Yesu aliyo ndani yako ndio atakushindia na kukupigania vita vyote. Vita vinafanyika vyake na sio vyako. Usiweke imani yako kwa watu unapokwenda kwenye maombezi. Weka tumaini lako kwa Yesu alio ndani yao.

Tafuta kanisa la walio okoka. Hakikisha unawaeleza matatizo yako kwanza. Then ndio wakufanyie maombi
 
Dah...kwani mie ndiyo nimemwambia ajiue au yeye mwenyewe kaamua?🙂🙂
Mtu kufikia kuja kwenye jamvi kazidiwa. Anahitaji mawazo chanya na encouragement aina fulani. Watu tunashinda humu si kupenda hapa ni kimbilio labda hata mimi ningekuwa nimeshajikorimba kama siyo kushinda nasoma vituko vya JF. Adumu mshana jr. aliyeanzisha vituko mitandaoni na picha angalao inaniriwaza. Mpe moyo huyo kijana sababu naona kama mwanangu vile najihisi angekuwa ni mwanangu anasema vile ningejisikiaje?
 
Ndugu zangu,

Kama nilivoandika kichwa cha habari mimi ni kijana niliye ajiriwa na mapato yangu kwa mwezi nikama 2000000 hivi.

Lakini nimekosa furaha kiasi kwamba sina furaha na maisha pamoja na watu wanaonizunguka hata hiyo pesa yote huishia kumaliza matatizo ya ndugu na kila mwanamke naingia naye kwenye mahusiano basi hata anza kuumwa kiasi pesa yote inaenda kumhudumia mgonjwa.

Sasa najiuliza nitakuwa nimerogwa au na kipindi hiki ndo nimekosa kabisa ujasiri wa maisha sasa je hiyo hali ya kawaida au kuna michezo ya kiswahili nafanyiwa na kama yupo mganga anitibie nikipona ndo namlipa maana nimeenda kwa hawa wa upako naona maigizo kabisa mtu ananiombea sijazimia ananilazimisha kuniangusha na wale wasaidizi wanashika kwa nguvu kama nina matatizo wakati nipo vizuri, ndo nikaona wote hawa maigizo.

Nimeenda kama kwa wa upako wa nne hivi wote hivohivo.

Sijui nifanye nini.
Mwingine anaumwa na Hana kipato kama chako!
 
Kuna wenzako wana matatizo kama hayo na hawana kipato kama chako na bado wana survive... Achana na wazo la kujiua
Kuna tiba moja rahisi sana lakini very effective.... Ni tiba maarufu na imewasaidia wengi na mfanyaji ni wewe mwenyewe
Tiba ya kuogea chumvi hasa nzuri ni ile ya mabonge... Hicho tu.. Ogea mara mbili kwa siku kwa mwezi mzima huku kila ukiogea unanuizia mabaya yakuondoke na uwe na ladha kama chumvi
Mafuta yako yawe ya mzeituni... Jaribu hiyo hutojuta na haina side effects wala gharama za kazi
Kwahiyo Mshana hii chumvi ukiogea na usipopaka mafuta ya mzeituni matatizo hayataisha?.
 
Ndugu zangu,

Kama nilivoandika kichwa cha habari mimi ni kijana niliye ajiriwa na mapato yangu kwa mwezi nikama 2000000 hivi.

Lakini nimekosa furaha kiasi kwamba sina furaha na maisha pamoja na watu wanaonizunguka hata hiyo pesa yote huishia kumaliza matatizo ya ndugu na kila mwanamke naingia naye kwenye mahusiano basi hata anza kuumwa kiasi pesa yote inaenda kumhudumia mgonjwa.

Sasa najiuliza nitakuwa nimerogwa au na kipindi hiki ndo nimekosa kabisa ujasiri wa maisha sasa je hiyo hali ya kawaida au kuna michezo ya kiswahili nafanyiwa na kama yupo mganga anitibie nikipona ndo namlipa maana nimeenda kwa hawa wa upako naona maigizo kabisa mtu ananiombea sijazimia ananilazimisha kuniangusha na wale wasaidizi wanashika kwa nguvu kama nina matatizo wakati nipo vizuri, ndo nikaona wote hawa maigizo.

Nimeenda kama kwa wa upako wa nne hivi wote hivohivo.

Sijui nifanye nini.
kama umekata tamaa na unataka kujiua usijiue kabla ya tarehe 26 mwezi wa 4 ,maana hiyo ndio siku ya watanzania wote kuungana
 
Hapa watakupotosha sana njia sahihi ya kukubalika ni maombi pamoja na utoaji zaka yaani fungu la kumi kwa kila kipato chako.FULL STOP !, Wala huhitaji kufanyiwa na mtu zaidi yako mwenyewe na Mungu wako.Ukimtumaini katika kweli kwa kufunga na kuomba atarejesha vyote vilivyochukuliwa na ibilisi yule asiyependa haki za wanadamu.Hapa jukwaani watakudanganya sana kwa imani potofu walizonazo za kumwamini mwanadamu zaidi ya Mungu.Kujiua siyo mpango wa Mungu kwako.Huo ni mpango wa Shetani na malaika zake tu tena kemea sana.

Hivi mkuu hujui masharti ya dini kama haya ni pure superstitions?

Masharti haya yana tofauti gani na masharti ya mganga the likes of Mshana Jr?

Uganga + Dini are all superstitions!

Prove me wrong,I wait.....
 
Tatizo cyo pesa mkuu tatizo cna furaha na dunia na roho wa mauti huwa ananiita kuna muda nawahi kwenda bar kulewa ili nicfikie kufanya jaribio la kujiua asubuh nikiamka mawazo ya kukata tamaa hunijia tena na ujasiri hata wa kujenga hoja pindi ninapotakiwa kutoa hoja au mawazo yangu nimekuwa cji amini coz naona kipato ni cha kawaida ila hakuna cha maana ninacho Fanya nashindwa na hata na mtu mwenye kipato kidogo Nina mipango mingi isiyotekelezeka mpaka kwenye mahusiano nako ni shida cwez kumuamini mtu yeyote mpaka nahisi Nina kasoro katika uumbaaji wa nafsi yangu mambo ya kifamilia yana haribu maisha yangu kama individual

Hii ni severe depression....nenda kwa professional counselor...kama vipi bongo wa kiduwanzi kamata ndege ushuke kwa madiba kwa one week umalizane nao mkuu...

Hizi placebos za chumvi sijui na sadaka yote hayo ni superstitions tu!
 
Ni kweli kuna kipindi mwaka 2015nilitafuta sheikh mmoja yombo dovya ila niliacha mafundisho baada ya kuhamia mbezi usiku huwa nateseka sana yaani ikifika muda wa kulala huwa nawaza nn kitaendelea asubuh naamka kama c Mimi naenda kazini kama roboti lisilo jielewa na waganga naogopa nika amua kurudi chuo kujiendeleza nako nikawa cjiamini mpaka darasani nikaacha chuo mwaka wa pili maana niliajiliwa na diploma miaka 7iliyopita kila nikataka kurudi shule mambo ya wanafamilia yananisumbua
Punguza woga mtoto wa kiume Ebu tuliza presha jarbu kufanya meditation na uombe solution Ya matatizo pia mrudie Mungu atakusaidia jarbu kuwaona maconseller wakusaidie Kam kina mchungaji miti mingi na Dr Elly vi waminiani duniani Hakuna asiye na matatizo tena wew cha mtoto me kuna rafiki yangu anamatatizo ata wew cha mtoto kabisa afu Unataka ufe kizembe
 
Ukijiua ndo unaharibu kabisa huko unakokwenda ni pagumu zaidi na hakuma namna ya kubadilisha hali
 
Kuna wenzako wana matatizo kama hayo na hawana kipato kama chako na bado wana survive... Achana na wazo la kujiua
Kuna tiba moja rahisi sana lakini very effective.... Ni tiba maarufu na imewasaidia wengi na mfanyaji ni wewe mwenyewe
Tiba ya kuogea chumvi hasa nzuri ni ile ya mabonge... Hicho tu.. Ogea mara mbili kwa siku kwa mwezi mzima huku kila ukiogea unanuizia mabaya yakuondoke na uwe na ladha kama chumvi
Mafuta yako yawe ya mzeituni... Jaribu hiyo hutojuta na haina side effects wala gharama za kazi
Hahahah
Mshana bhana
 
Kwanini asioge maji ya baharini, ambayo yanachumvi mujarabu
 
Mafuta ya Mzaituni ndio mafuta gani si ndio mafuta ya Mzaituni uliza yanapatikan wapi sio ndio mafuta gani.

Chumvi ya mawe na mafuta ya Mzaituni vyote utapata kwenye maduka ya vitu vya asili, lakini hata maduka ya vyakula ya wapemba mafuta haya yapo kwani yanapikiwa pia.
Olive oil
 
Back
Top Bottom