KABISA KABISA NI KUOMBA MUNGU TU UYASHINDE.
KABISA KABISA NI KUOMBA MUNGU TU UYASHINDE.
Mbona Asha Baraka mwenyewe sio tajiri,ni mtu wa kawaida kabisa.BINAFSI MIE NADHANI WANGEENDA VIZURI NA ASHA BARAKA WANGEKUWA WAMESIMAMIA PAZURI KIDOGO TATIZO UJUAJE SANA NA KUPENDWA KULELEWA !!!!!!!
ok nilipata habari sio sahihi kutoka kwa mchepuko wangu ambaye alikuwa na ukaribu naye kule sinza mitaa ya lionAisha aliacha watoto wawili
Jana tu nililkuwa Target mbezi beach KIMONDO BAND !!!!!!!!
DAAAAH ILA ALIKUWA NA MIKAKATI MIZURI SEMA WANAMUZIKI PASUA KICHWA SANA!!!!!!!Mbona Asha Baraka mwenyewe sio tajiri,ni mtu wa kawaida kabisa.
dodge
DAAAAH ILA ALIKUWA NA MIKAKATI MIZURI SEMA WANAMUZIKI PASUA KICHWA SANA!!!!!!!
Msafiri Diof aliLost kitambo kabla ya hata mziki wa dansi baada ya kuanza kutumia ngada.wawezeshaji wa mziki wa dansi kina papa Msofe,Said Ntimizi,Abdul Karim,Fikiri Madinda,Juma Kapuya.nk baada ya kupotea na mziki ukapotea!
Si kweli Aisha ana watotoaisha alikutana na fikiri madinda stegini ,ivyo ikawa ngumu kumwachisha, pia fikiri alikuwa peneshee kumzibiti mcheza show ni rahisi
note:FIKIRI naye ni marehemu ,pia aisha hakuwa na mtoto
nimesha liongerea juu hukoSi kweli Aisha ana watoto
Super nyamwela bado yupo twanga anamwaga uno nilimuona kwenye show ya wasafi na kwenye viwanja vyao wanapopiga twanga.Khadija kimobitel na Bad Bakule mwaka 2018,walikuwa wanapiga show bar ya TOT Tabata,kila Jmosi kiingilio kinywaji.Weekend nikiwa naandalia EPL nasindikizwa na burudani kutoka kwao.
Ali Choki aka mzee wa Farasi enzi zake alikuwa hatari.Sijui super Nyamwela na super Danger wapo wapi nao.Nakumbuka kipindi cha nyuma nipo Manyanya kituoni,nilimuona Nyamwela anashuka kwenye gari na demu mkali kinyama.
Mmmh wewe Fikiri mzimaaisha alikutana na fikiri madinda stegini ,ivyo ikawa ngumu kumwachisha, pia fikiri alikuwa peneshee kumzibiti mcheza show ni rahisi
note:FIKIRI naye ni marehemu ,pia aisha hakuwa na mtoto
Kama wamechoka wasingeweza kuimba...Maisha ni bahari ndugu........Hata supa nyamwela nae yupo hiyo bendi ya kamanyola ya mwanza wamechoka balaa
Sent using Jamii Forums mobile app