Maisha yanaenda kasi sana. Ali Choki ndo yupo kule!

Sijui huko Uingereza anampiga nani mizinga,maana hapa bongo kuna wakati alikuwa anatembea na mwanaw akiomba pesa kwenye mabaa tofauti yake na marehemu Matonya ni kuwa Matonya alikuwa akiomba amelala juani huku akicharazwa na jua wakati Diouf yeye alikuwa anazurura kutoka bar moja hadi nyingine na kujitambulisha mimi Msafiri Diouf ila du jamaa ni bonge la rapper kwa muziki wa kibongo hakunaga
Alishaacha uteja sasa na kaacha kuomba hovyo
Uteja unadhalilisha sana
Hlf kawa mnene

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka siku moja pale Mango Garden vijana kabla haijavunjwa walikuwepo Malaika Band chini ya Mzee wa Masauti wanaburudisha alikuja Msafiri Diouf kupiga mzinga wa buku 2 huku akijitambulisha mie ndio Msafiri Diouf naomba niwezeshe buku 2 angalua niweze kula.
Dah haya maisha noma sana.
Tatizo wasanii wanafanya starehe sana bila kujua future yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah,jamaa wakamtoa au wakampiga kidochi?
 
Huyu legendary nilikutana nae Mwanza aisee,kachoka yaani yupo tuu.... Mimi kama mmoja wa wahenga nasikitika sana kumuona vile aisee.... huwa anapiga show Villa park pale.
Ama kweli wakati ni ukuta
Bora alipoenda mwanza huko kuna waungwana usiombe kuishiwa fedha ukiwa Dar, unaweza ukazani unanuka kikwapa, kila MTU akikuona kwa mbali utapishana naye mlangoni yule rafiki yako anakwambia narudi sasa hivi. Jamani choki aliwika , nilibet naye demu akanishinda, enzi hizo kuna internet cafe pale Vijana demu alikuwa msaidiz pale.
 
Mshukuru mungu sana huyo jamaa ni greed ya taifa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom