Maisha yanaenda kasi sana. Ali Choki ndo yupo kule!

Hivi ni Kamarade, Kamaradi, Camarade....???
Hili neno naliskia kwa Ally Choki tu!!!
 
Wamfuate lemutuz awadhamin warudi barabarani maana lemutuz ni bilionea siku hizi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Careem, Haya mambo yanajirudia but watu hatujifunzi.
Waliyofanya na kupitia wa akina remy ma gurumo ndo waliokuja kirudia akima choki na muumini na ndio pia walichorudia akina chidi benzi tid na q chief na bado hawataki kujifunza historia ya mambo....hata hawa wabana pua wa sasa nao waangalie hivi vitu vinaenda kama upepo fulani vile halafu unakata pale ambapo wala hukutegemea.
Mfano zamani show zilikuwaga kila.mkoa wasanii kila wiki anapiga show. Now ikishapita fiesta au wasafi fstival basi tena.....unakaa wasubiriii weee...ndo maana akina kassim mganga mb dogg matonya ambao hawkausoma historia ya akina gurumo ndo wamepotea kabisa...na wakati miaka michache iliyopita ndo walikuwa cake.....the same na BONGO MOVIES now imebaki story tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Funzadume,

Umeandika 100/100. Ni kweli hili ulisemalo. Mfano mimi mzazi wangu wa kiume. Miaka kenda nyuma CEO wa kambi ya jeshi, mjuvi wa fani aina 3 za engineering na tegemeo jeshini na mbabe yeye. Leo ukimuona anatia huruma ujanja kwisha. Na mbaya zaidi alitumia na akafuja. Leo si yule..hata ujenzi alisahau. Anaishi nyumba ya rafiki.
'CEO wa kambi ya jeshi.'

Hivi jeshini hua kuna cheo cha dizaini hii mkuu?

dodge
 
Funzadume,

Umeandika 100/100. Ni kweli hili ulisemalo. Mfano mimi mzazi wangu wa kiume. Miaka kenda nyuma CEO wa kambi ya jeshi, mjuvi wa fani aina 3 za engineering na tegemeo jeshini na mbabe yeye. Leo ukimuona anatia huruma ujanja kwisha. Na mbaya zaidi alitumia na akafuja. Leo si yule..hata ujenzi alisahau. Anaishi nyumba ya rafiki.
jeshini hakuna CEO labda alikua CO
 
Msafiri Diof aliLost kitambo kabla ya hata mziki wa dansi baada ya kuanza kutumia ngada.wawezeshaji wa mziki wa dansi kina papa Msofe,Said Ntimizi,Abdul Karim,Fikiri Madinda,Juma Kapuya.nk baada ya kupotea na mziki ukapotea!
Halafu huyu Fikiri Madinda alikuwa dereva tu wa serikali wizarani sasa sijui pesa alikuwa anatoa wapi mpaka akawa pedezee

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom