Maisha yanaenda kasi sana. Ali Choki ndo yupo kule!

BINAFSI MIE NADHANI WANGEENDA VIZURI NA ASHA BARAKA WANGEKUWA WAMESIMAMIA PAZURI KIDOGO TATIZO UJUAJE SANA NA KUPENDWA KULELEWA !!!!!!!
Mbona Asha Baraka mwenyewe sio tajiri,ni mtu wa kawaida kabisa.

dodge
 
Mpk aliitwa Iron Lady kwa mapambano yale mkuu,miaka ile Kazi ya usanii ilikua ni kwa ajili ya kupata mademu,pombe inshort wasanii walikua hawajielewi.
DAAAAH ILA ALIKUWA NA MIKAKATI MIZURI SEMA WANAMUZIKI PASUA KICHWA SANA!!!!!!!

dodge
 
Hivi Dance na Bongo Movie vinaundugu?Yote kwa yote,hayo yatufaa vijana kuona pale tulipo pawe ndiyo point ya Plan B,ili ikitokea lolote basi Plan B itubebe...Maisha yanaongozwa na Ubongo na Moyo tu.Tukiacha kuishi kwa mazoea tukabadilika kifikra tutaongeza tu ufanisi bila kuathiriwa na nyakati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemsahau papaa maisha na mama sakina
Msafiri Diof aliLost kitambo kabla ya hata mziki wa dansi baada ya kuanza kutumia ngada.wawezeshaji wa mziki wa dansi kina papa Msofe,Said Ntimizi,Abdul Karim,Fikiri Madinda,Juma Kapuya.nk baada ya kupotea na mziki ukapotea!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
banza stone mpaka anafariki ,alikuwa anaishi kwa babu yake pale ,sinza t garden
 
Khadija kimobitel na Bad Bakule mwaka 2018,walikuwa wanapiga show bar ya TOT Tabata,kila Jmosi kiingilio kinywaji.Weekend nikiwa naandalia EPL nasindikizwa na burudani kutoka kwao.

Ali Choki aka mzee wa Farasi enzi zake alikuwa hatari.Sijui super Nyamwela na super Danger wapo wapi nao.Nakumbuka kipindi cha nyuma nipo Manyanya kituoni,nilimuona Nyamwela anashuka kwenye gari na demu mkali kinyama.
Super nyamwela bado yupo twanga anamwaga uno nilimuona kwenye show ya wasafi na kwenye viwanja vyao wanapopiga twanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

36 Reactions
Reply
Back
Top Bottom