cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,288
Kwani huko busokelo hakuna viwanja?Hahhah sasa wale wa mikoani mfano lets say anakaa Busokelo huko huo uwanja unatoka wapi mkuu 😃😃😃
Kwani huko busokelo hakuna viwanja?Hahhah sasa wale wa mikoani mfano lets say anakaa Busokelo huko huo uwanja unatoka wapi mkuu 😃😃😃
Hata wewe kuna time ulikua bachelaNa kama ni bachela ukirudi ndani kwako unakaa kimya hadi asubuh... Unashangaa kwanini mtu ananuka mdomo kumbe akishaingia ndani kwake anaufunga hadi unachacha 😁
Muda mfupi sanaHata wewe kuna time ulikua bachela
HaijalishiMuda mfupi sana
Kwa kweli sio ubinafsi, mbona anakuwa busy na kuwatafutia familia yake?Kiufupi ,mtu akiwa na familia anakuwa mbinafsi,wengine hata kuwa online wanapotea kabisa kama alikuwa anajipost anaacha kabisa ... Wengine hata kwenye magroup ya Whatsapp wanakuwa kimya ,unaona dp kaweka picha ya watoto wake au harusi yake.
Ndoa na kazi almost zinamfanua mtu kuwa mbinafsi kupitiliza.
Ni ubinafsi ila ni mfumo halisi wa maisha ,mpaka mtu anaondoka kwao na kwenda kwingine.Kwa kweli sio ubinafsi, mbona anakuwa busy na kuwatafutia familia yake?
Hapo jawabu ni umri tu
Mimi washikaji sina kabisa kwa sasa
Nina marafiki wa utotoni ambao wapo nchi tofauti nao huwa tunaonana kwa kutembeleana mara moja moja kwa miaka kadhaa
Ila ndio maisha yalivyo hata rafiki zangu wa karibu sana walipooa, wakaanza kupotea taratibu ila sikuona la ajabu kwani ni kawaida sana
Huwezi kukaa na washkaji masaa yote wakati una mke na watoto nyumbani wanakusubiri
Unafanya kazi una familia huo mda wa kukaa na mtu unaupata wapi?
Labda lunch mara moja moja sana tena masaa machache
Na kama kuna mambo ya biashara sawa
Mi pia naenjoy sana kukaa pekee yangu. Mtu akija mahali nilipo nakuwa totally bored huwa natamani nije kupata mke wa kariba yanguNipo katika stage ambayo sitaki interaction kabisa na watu naona naboreka tu.....tuonane tusalimiane dakika tatu kila mtu aondoke.
Muda mwingi nainjoi kukaa mwenyewe kupanga mambo yangu
Ni kama kitu kibaya vile, upweke uliochangamka.kila kitu kina uzuri na ubaya
wewe wawaza nini?
vya kujenga mamiiKwani huko busokelo hakuna viwanja?
somehowNi kama kitu kibaya vile, upweke uliochangamka.
Unapitia hii hali?somehow
ipiUnapitia hii hali?
mie sio lonerUnapitia hii hali?
Mbona vipo dear,vya kujenga mamii
Mbona vipo dear,
Yeye alizungumzia viwanja vya michezo, lakini ndo aka maanisha kina campan huko.hata sipajui 😂😂😂😂 nimetoa tu mfano papo local sana kwa sisi tuliokulia DSM
If you still have them , then the trimming is ongoing. Finally it's you and your God.The older i becomes, the fewer friends i have