Maisha ya mtu mzima na urafiki unaobadilika polepole

Maisha ya mtu mzima na urafiki unaobadilika polepole

Hua sio majukumu wala muda unaotutenganisha, bali ni ule ushindani wa kimya kimya. Kila mtu anataka aonekane yuko juu zaidi ya mwenzie. Hii hujitokeza sana kwa watu ambao mlikuwa washkaji tu si marafiki wa kweli. Kwenye angle hiyo life is always about competing not connecting.
mmh sure?
 
Mtu anatoka kazini, anarudi nyumbani.

Anafanya shughuli zake. Labda aende dukani.Akiwa njiani, salamu kwa majirani—hakuna mazungumzo marefu.Ni maisha ya kawaida, ya utulivu.

Ule urafiki wa “buda niko base, pita” umeisha.

Sasa ni “tupange weekend” lakini weekend ikifika kila mtu ana shughuli.
Sio kwa ubaya. Ni maisha tu yanavyojipanga.

Ile energy ya kukutana kila siku, kukaa hadi usiku, kuzungumza mambo yote ya dunia—imepungua.
Sio kwamba watu hawapendani tena. Ni kwamba priorities zimebadilika.

Ule bestie wa kila siku, sasa mnachat maybe mara moja kwa wiki.

Mkiambiwa mkutane, ni plan ya siku mbili kabla—na bado inaweza ikaghairika. Lakini bado, ukimuona, mnacheka kama zamani.

Connection haijapotea, imebadilika tu.

Na hiyo nayo ni aina fulani ya grace—mazingira yakibadilika lakini moyo ukiendelea kupenda.


upo phase ipi?
WAtu wa namna hii siku akipata watu wakaendana, stori huwa nyingi sanaa lakini hii moment kuipata tena ni safari mnoo....umeandika uhalisia kabisa mkuu, hapa ndio pale inakuja hata mambo ya kutembeleana kama ilivyokua zamani imeishaaa....kutembea kwa mjomba sijui baba mdogo ni nadra sanaa....wengi haswa huenda kwa mama zao au baba zao kupeleka wajukuu tuu😀
 
japokuwa hata 30 sija fika ila haya ndio maisha yangu ya kila siku, na ndio sababu ili nifanya nipangishe baadhi ya nafasi hapa kwangu ili kuchangamana na watu.

Ika bidi nifufue starehe yangu ya kucheza karata, angalau niki pita chimbo Fulani tuna vuruga mda hadi saa 12.

kifuatacho ni kwenda evening walk au kuji fungia ndani Kama kuku.
 
Sina dem.

Na nimefikiria hapa kama nimewahi kuwa na "mshikaji" sipati majibu.
ahh basi nime kusoma, I mean no malice to nobody
GpOfXXoXgAANTNK.jpeg
 
Mimi hata mambo ya kusalimiana kila siku naona hayana maana, sjajua majirani wanachukuliaje ila mimi hii kazi ya kusalimiana imeshanikataa
 
Mara kumi kuvizia wake za watu uwalombe kuliko urafiki wa kijinga kijinga huu wa wanaume wanaoshea pombe na bhange
 
Kuna wimbo ameimba kanye west ft ty dollar $ign unaitwa real friends

Kuna verse anasema hivi kanye west

I hate when a nigga text you like, "What's up, fam? Hope you good"
You say, "I'm good, I'm great, " the next text they ask you for somethin


Kuna marafiki hamjaongea zaidi ya miezi sita,siku ukiona text yake lazima ana shida,,,,kiufupi kamaanisha hakuna marafiki wa kweli


Kuna issue nyingi kazungumza huko kanye west mfano watu kujisogeza kwake kwa sababu ya mafanikio yake

Kuna watu hujisogeza kwako kwa sababu ya mafanikio yako na sio kwa they real friends'
 
Back
Top Bottom