Maisha ya mtu mzima na urafiki unaobadilika polepole

Maisha ya mtu mzima na urafiki unaobadilika polepole

njoo uwanjani ukutane na wenzako, ni furaha tu,, uyu anavuta sigara , yule anapga energy drink, alafu pembeni wajuba wanapuliza😄,, si lazima ucheze mpira, njoo unione navosakata kabumbu,,

au kacheze draft ukutane na kila aina ya vituko,, utasikia "Hili nakuua kabisa hutoki kenge wewe"
Hakuna namna mkuu tujichanganye hivyohivyo haijalishi utu Uzima tuliinao
 
Siyo urafiki tu Hadi undugu unapotea kidogo dogo,the way unavyozeeka ukaribu wako na watu hupungua,Hadi watoto wako baadae watakuwa bize na maisha Yao, kama ulikuwa Mume/Mke Bora utabakia na mke wako au Mume wako tu uzeeni.
Ndio maana uzee ukiingia wengi hukimbilia makanisani, kuna nafasi ya kukutana na watu, kubadilishana mawazo nk.
 
njoo uwanjani ukutane na wenzako, ni furaha tu,, uyu anavuta sigara , yule anapga energy drink, alafu pembeni wajuba wanapuliza😄,, si lazima ucheze mpira, njoo unione navosakata kabumbu,,

au kacheze draft ukutane na kila aina ya vituko,, utasikia "Hili nakuua kabisa hutoki kenge wewe"
Umenikumbusha mbali Kuna mzee wakuitwa BabuJomo alikuwa mitaa ya Sinza mapambanomzee anakula tungi Bange ndio usiseme muda wote ako furaha

Hana kitu lakini vijana wanamzingatia sababu ya ucheshi wake na miyeyusho yake

Rest in Peace BAbu Jomo Displine Mapambano Sinza
 
Nikiwa 0s nilikuwa napenda sana kucheza na watoto wenzangu,kuimba nyimbo na babu anaposafisha miti ya mikahawa shambani

10s kucheza na marafiki wa kiume mpira wa miguu,sarakasi kwa kulazimisha maana mama alikuwa hapendi nizururure

20s Mimi na mambo yangu mambo yangu na mimi....no friends.... upweke wa kuishi maisha ya pekeyangu ukanifanya miaka ilivyosonga niangukie kwa penzi bovu

30s...Mimi na Mimi,jf, tweeter,wanangu,mdogo wangu na mama yangu.Nikitoka job tukionana shukuru.

40s sijui itakuwaje

Nadhani ni maisha ya kawaida tu
30's..... hapo kuna kitu hujasema.
 
Siyo urafiki tu Hadi undugu unapotea kidogo dogo,the way unavyozeeka ukaribu wako na watu hupungua,Hadi watoto wako baadae watakuwa bize na maisha Yao, kama ulikuwa Mume/Mke Bora utabakia na mke wako au Mume wako tu uzeeni.
Hii ni nature atuwezi kuiepuka
 
Kuna siku nilichangia uzi,
Mtu analalamika ooh marafiki wanakukimbia.

Nikaandika urafiki wa kweli ni ule mda bado mdogo tu.
Mkisha kua basi hakuna urafiki tena
Hapa nilipo hata majirani hatujuani na wengine hatujawahi kusalimiana kabisa kwa miaka.

Hakuna rafiki wala nini
Utakutana na watu kwenye vilio na Harusi tu
Na wengine hamjaonana hata miaka 10
Hakuna kupeana hata namba za simu kwani tunajua hakuna wa kumuhitaji mwenzie
Namba ya nini? Wakati hamjaonana miaka 10?
 
The verb "becomes" should be "become" to match the subject "I." Everything else is structured well!

Ndiyo ukubwa na pia mtu unavyozidi kukua na ndiyo u-muhimu wako unazidi kupungua kwa baadhi ya watu wanaona kama unaelekea kuzeeka zama zako zimepita hasa ukiwa huna hela ndo tatizo zaidi...
Pronoun "I" must be in capital
 
Kuna siku nilichangia uzi,
Mtu analalamika ooh marafiki wanakukimbia.

Nikaandika urafiki wa kweli ni ule mda bado mdogo tu.
Mkisha kua basi hakuna urafiki tena
Hapa nilipo hata majirani hatujuani na wengine hatujawahi kusalimiana kabisa kwa miaka.

Hakuna rafiki wala nini
Utakutana na watu kwenye vilio na Harusi tu
Na wengine hamjaonana hata miaka 10
Hakuna kupeana hata namba za simu kwani tunajua hakuna wa kumuhitaji mwenzie
Namba ya nini? Wakati hamjaonana miaka 10?
Kiufupi ,mtu akiwa na familia anakuwa mbinafsi,wengine hata kuwa online wanapotea kabisa kama alikuwa anajipost anaacha kabisa ... Wengine hata kwenye magroup ya Whatsapp wanakuwa kimya ,unaona dp kaweka picha ya watoto wake au harusi yake.

Ndoa na kazi almost zinamfanua mtu kuwa mbinafsi kupitiliza.
 
Hakika, umeandika uhalisia kabisa. Cycle inapungua sana, unabaki na watu wachache kwa ajili ya mambo muhumu. Kukutana kila mara ni kama kunakufa, ni umri, ni majukumu, ni kubadilika hobbies, ni kufocus na mahusiano na familia.
Ni kweli kabisaa.
With this life, nimekuja kuamini ndugu WA dhati kabisa ni watoto wetu.
 
njoo uwanjani ukutane na wenzako, ni furaha tu,, uyu anavuta sigara , yule anapga energy drink, alafu pembeni wajuba wanapuliza😄,, si lazima ucheze mpira, njoo unione navosakata kabumbu,,

au kacheze draft ukutane na kila aina ya vituko,, utasikia "Hili nakuua kabisa hutoki kenge wewe"
Acha bangi umezeeka😃
 
Back
Top Bottom