Maisha ya mtu mweusi ndani ya Ubeligiji

Maisha ya mtu mweusi ndani ya Ubeligiji

Kitongoji cha Matonge Brussels ambapo ukiingia ktk restaurants unakutana na menu ya chakula imeandikwa kwa Kiswahili ndizi nyama : samaki ugali n.k

Usiwatie watu hofu ubaguzi upo pote ulimwenguni.

Overview of Galerie Porte de Namur (Matonge) African Area, Brussels Belgium

Ni kweli IPO,ila jamaa kaongeza chumvi sana.nchi nyingi zimekuwa wastaarabu hasa baada ya nchi zao kuweka sheria za kudhibiti ubaguzi.ila arabuni kuna domestic violence
 
Mimi ni mwafrika ambaye niliwahi kuishi ubeligiji kwa miaka kadhaa 2003-7, najua kila kinachoendelea ubeligiji hasa kwa suala la ubaguzi dhidi ya Mtu mweusi, mtaani unaitwa majina yote machafu lakin unachukulia kawaida maana ukijifanya kuwa mkali wanakuua,

Ubaguzi wa wabeligiji unaweza kuuona katika misingi kadhaa

Ntataja machache sana ili msipachukie sana ubeligiji,

  1. Kupanga nyumba, nimeona na kuishi Flanders na Brussels, na hii imekuwa tatizo sana kwangu n.a. waafrika wengi nao wajua hata kama nilikuwa na kazi nzuri haikusaidia kitu, niliendelea kuonekana kama nyani mtaani,kimbembe ilikuwa kila naposaka sehem ya kupanga, wanasema vyumba vipo ninapowasiliana nao kwa simu, ila wakiona uso wangu wanasema vyumba vimejaa,yaan wenye nyumba na madalali,ilibidi niwe natembea nan kitambulisho cha kazi n.a. salary slip waone nilivyo na kazi lakin haikusaidia ,nakumbuka nilipata wa ku share naye vyumba Brussels lakin nikawa nalipa mara tatu yake kisa mi mweusi
  2. Kuingia ndani ya Bar na club, ni ngumu sana kwa waafrika, siku moja niko na girlfriend wangu wa hapa mzungu, nikasema twende out akakubali, tulipofika club bounsa alikataa akasema waafrika haturuhusiwi kuwa pale nikasema nutalipa mara tatu akakataa, lakin nipo nimesimama naona wazungu wanakuja wanaingia wanakuja wanaingia, nikauliza akasema wana membership card, wakati siyo, ikabidi nirudi zangu nyumbani nikiwa nimesononeka sana,
  3. Kwenye kituoa cha mabasi saa nyingine kama ni mwafrika uko mwenyewe madereva hawasimami mpaka utegeshee kuna wazungu wanataka kupanda nawe ujisogeze,
Ni mengi mno ila hakuna kukata tamaa uwapo.nje

Unasema kwa huo ubaguzi tusiichukie sana Ubelgiji??!.

Ubaguzi wa wazungu kwa watu weusi ni kama "ukoma" unaotafuna roho zao, Sisi watu weusi inatupasa tumshukuru Mungu kutupatia hii ngozi nyeusi iliyokuwa nzuri na imara kuliko ngozi nyeupe wala tusikasirike bali tuwaeleze ukweli kwamba sisi na wao ni uumbaji wa Yule yule Mungu mmoja na hakuna kati yetu aliyetaka awe mweusi au mweupe au blue, njano nk.

Ila wapo baadhi yao wanatambua ukweli huo na ni wastaarabu sana.
 
Mchukie kidogo
 
Mimi ni mwafrika ambaye niliwahi kuishi ubeligiji kwa miaka kadhaa 2003-7, najua kila kinachoendelea ubeligiji hasa kwa suala la ubaguzi dhidi ya Mtu mweusi, mtaani unaitwa majina yote machafu lakin unachukulia kawaida maana ukijifanya kuwa mkali wanakuua,

Ubaguzi wa wabeligiji unaweza kuuona katika misingi kadhaa

Ntataja machache sana ili msipachukie sana ubeligiji,

  1. Kupanga nyumba, nimeona na kuishi Flanders na Brussels, na hii imekuwa tatizo sana kwangu n.a. waafrika wengi nao wajua hata kama nilikuwa na kazi nzuri haikusaidia kitu, niliendelea kuonekana kama nyani mtaani,kimbembe ilikuwa kila naposaka sehem ya kupanga, wanasema vyumba vipo ninapowasiliana nao kwa simu, ila wakiona uso wangu wanasema vyumba vimejaa,yaan wenye nyumba na madalali,ilibidi niwe natembea nan kitambulisho cha kazi n.a. salary slip waone nilivyo na kazi lakin haikusaidia ,nakumbuka nilipata wa ku share naye vyumba Brussels lakin nikawa nalipa mara tatu yake kisa mi mweusi
  2. Kuingia ndani ya Bar na club, ni ngumu sana kwa waafrika, siku moja niko na girlfriend wangu wa hapa mzungu, nikasema twende out akakubali, tulipofika club bounsa alikataa akasema waafrika haturuhusiwi kuwa pale nikasema nutalipa mara tatu akakataa, lakin nipo nimesimama naona wazungu wanakuja wanaingia wanakuja wanaingia, nikauliza akasema wana membership card, wakati siyo, ikabidi nirudi zangu nyumbani nikiwa nimesononeka sana,
  3. Kwenye kituoa cha mabasi saa nyingine kama ni mwafrika uko mwenyewe madereva hawasimami mpaka utegeshee kuna wazungu wanataka kupanda nawe ujisogeze,
Ni mengi mno ila hakuna kukata tamaa uwapo.nje
Nimejikuta nawachukiaaa....wabelgiji
 
UJINGA ni pale unazamia kwa wazungu alafu na wao wanazamia Afrika kukomba rasilimali. Sikuhizi wapo mpaka wamachinga wa kichina. Maisha ya upweke sana huko.Unakuta mtu ni daktari anakaa ulaya miaka kibao kisa tu unataka sifa eti nawe uko ulaya. Sikuhizi Flyover tunazo, Deamliner Kibao, Instagram nasisi tunapata, Treni ya umeme inajengwa sasa sijui unakubali kuitwa nyani kwa nini. Kuna Madaktari wamekaa mikoani na kufungua Private Clinics wanapiga hela kibao hata ukiwaambia kwenda ulaya hawakubali kwanza huwezi kuwalipa sawa na kipato chao. Kuna daktari kwa uchache anaingiza Milioni nne kwa siku hapahapa Bongo ila nyie mnao tafuta sifa ya kukaa ulaya mko hoi.
 
  1. Shit....mlikimbia nchi ya mwalimu Nyerere....mkadhani maisha yatawawiwa maraisi.....anyway huku niliko uzunguni hakuna useing huo.....muwe mnaangalia sehemu za kwenda ku settle kabla ya kwenda.... anyway Peter Tosh alituambia.... kwenye wimbo wake wa apartheid... fight apartheid right where u are....mimi kuna mzungu nilishawahi mpiga ngumi club ...kwa kuniita .... monkey...
hivi kila aliyeenda ulaya alikimbia nch ya Mwalimu Nyerere!??? mtoa mada anazungumzia 2003 Nyerere kafa 1999 wapi na wapi!?Aiseee kaaazi kweli kweliee
 
UJINGA ni pale unazamia kwa wazungu alafu na wao wanazamia Afrika kukomba rasilimali. Sikuhizi wapo mpaka wamachinga wa kichina. Maisha ya upweke sana huko.Unakuta mtu ni daktari anakaa ulaya miaka kibao kisa tu unataka sifa eti nawe uko ulaya. Sikuhizi Flyover tunazo, Deamliner Kibao, Instagram nasisi tunapata, Treni ya umeme inajengwa sasa sijui unakubali kuitwa nyani kwa nini. Kuna Madaktari wamekaa mikoani na kufungua Private Clinics wanapiga hela kibao hata ukiwaambia kwenda ulaya hawakubali kwanza huwezi kuwalipa sawa na kipato chao. Kuna daktari kwa uchache anaingiza Milioni nne kwa siku hapahapa Bongo ila nyie mnao tafuta sifa ya kukaa ulaya mko hoi.
Uwezo mdogo WA kujibu mada bora make kimya !!! Hivi kukaa ni kutafuta sifa !!! MNA elimu duni hamjui kujib mada
 
Pole sana ndugu, ila urudi tu ukishafanikisha yako, kwani umefukuzwa ndugu?!
Tafuta mtaji, usafiri na elimu, rudi baba...
 
Mimi ni mwafrika ambaye niliwahi kuishi ubeligiji kwa miaka kadhaa 2003-7, najua kila kinachoendelea ubeligiji hasa kwa suala la ubaguzi dhidi ya Mtu mweusi, mtaani unaitwa majina yote machafu lakin unachukulia kawaida maana ukijifanya kuwa mkali wanakuua,

Ubaguzi wa wabeligiji unaweza kuuona katika misingi kadhaa

Ntataja machache sana ili msipachukie sana ubeligiji,

  1. Kupanga nyumba, nimeona na kuishi Flanders na Brussels, na hii imekuwa tatizo sana kwangu n.a. waafrika wengi nao wajua hata kama nilikuwa na kazi nzuri haikusaidia kitu, niliendelea kuonekana kama nyani mtaani,kimbembe ilikuwa kila naposaka sehem ya kupanga, wanasema vyumba vipo ninapowasiliana nao kwa simu, ila wakiona uso wangu wanasema vyumba vimejaa,yaan wenye nyumba na madalali,ilibidi niwe natembea nan kitambulisho cha kazi n.a. salary slip waone nilivyo na kazi lakin haikusaidia ,nakumbuka nilipata wa ku share naye vyumba Brussels lakin nikawa nalipa mara tatu yake kisa mi mweusi
  2. Kuingia ndani ya Bar na club, ni ngumu sana kwa waafrika, siku moja niko na girlfriend wangu wa hapa mzungu, nikasema twende out akakubali, tulipofika club bounsa alikataa akasema waafrika haturuhusiwi kuwa pale nikasema nutalipa mara tatu akakataa, lakin nipo nimesimama naona wazungu wanakuja wanaingia wanakuja wanaingia, nikauliza akasema wana membership card, wakati siyo, ikabidi nirudi zangu nyumbani nikiwa nimesononeka sana,
  3. Kwenye kituoa cha mabasi saa nyingine kama ni mwafrika uko mwenyewe madereva hawasimami mpaka utegeshee kuna wazungu wanataka kupanda nawe ujisogeze,
Ni mengi mno ila hakuna kukata tamaa uwapo.nje
Vp kelvin de bryune na kompany wap
 
Rudi nyumbani kumenoga

Sema mbna brother yangu yuko huko na sijapata malalamiko kama hayo.. Yeye anakwambia club unatimba kama kawaida na maisha yanaendlea...
 
hivi kila aliyeenda ulaya alikimbia nch ya Mwalimu Nyerere!??? mtoa mada anazungumzia 2003 Nyerere kafa 1999 wapi na wapi!?Aiseee kaaazi kweli kweliee
Ww kiazi kweli....
nchi ya mwalimu tunazungumzia tz...hiyo ni sifa ama tenzi vumishi..... whether mwalimu yupo ama hayupo...muwe mnajielewa
 
Sio
Uwezo mdogo WA kujibu mada bora make kimya !!! Hivi kukaa ni kutafuta sifa !!! MNA elimu duni hamjui kujib mada
Hapa hatujibu tunachangia kwahiyo inategemea wewe mada unaiangalia toka engo ipi, usilazimiashe sote tutumie akili yako EBO! Nyie mnaojifanya mna akili ndio hao mnaenda kudhalilika kwa wazungu wakti fursa zipo kwenu. Shwaaaiii...nnnn
 
Kwenye nyumba ya kupanga hapo nami nina uzoefu mbaya hapo Brussels. Ubaguzi upo popote hata Bongo. Kuna watu wanapangisha wenye mke/mme tu. Kama uko single hupati nyumba ya kupanga! Kuna watu wanaoa watu wa kabila lao tu nk nk.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom