Maisha ya mtu mweusi ndani ya Ubeligiji

Maisha ya mtu mweusi ndani ya Ubeligiji

Mkuu ni kote Ingawa huku Ujerumani basi litasimama. Utakaa nao nk. Lakini unaona kabisa mbwa kwao ana afadhali kuliko mwafrika mweusi. Wanawake Pochi huficha na mi nafanyaga makusudi wakificha nafungua euro 500 500. nafanya kuzipanga. Watoa macho kama umewashika mbupu.
Hatari sana mkuu...ukiwa unazipanga then reaction yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitongoji cha Matonge Brussels ambapo ukiingia ktk restaurants unakutana na menu ya chakula imeandikwa kwa Kiswahili ndizi nyama : samaki ugali n.k

Usiwatie watu hofu ubaguzi upo pote ulimwenguni.

Overview of Galerie Porte de Namur (Matonge) African Area, Brussels Belgium

 
Wakongo wana mitaa yao kabisa. Tena wengi wao hawapendi kufanya kazi. Wanapenda hela ya bure ya serikali. Wanyewe wanadai wanalipa King Leopard alivyoiba Congo

Ulaya yote mkongo hapendi kazi.., wanapenda starehe na kuzaliana hivyo.., hapa Denmark wanafanya mradi kuzaa watoto wengi ili wafaidi hela za serikali pia ni wachafu sana!
 
Mimi ni mwafrika ambaye niliwahi kuishi ubeligiji kwa miaka kadhaa 2003-7, najua kila kinachoendelea ubeligiji hasa kwa suala la ubaguzi dhidi ya Mtu mweusi, mtaani unaitwa majina yote machafu lakin unachukulia kawaida maana ukijifanya kuwa mkali wanakuua,

Ubaguzi wa wabeligiji unaweza kuuona katika misingi kadhaa

Ntataja machache sana ili msipachukie sana ubeligiji,

  1. Kupanga nyumba, nimeona na kuishi Flanders na Brussels, na hii imekuwa tatizo sana kwangu n.a. waafrika wengi nao wajua hata kama nilikuwa na kazi nzuri haikusaidia kitu, niliendelea kuonekana kama nyani mtaani,kimbembe ilikuwa kila naposaka sehem ya kupanga, wanasema vyumba vipo ninapowasiliana nao kwa simu, ila wakiona uso wangu wanasema vyumba vimejaa,yaan wenye nyumba na madalali,ilibidi niwe natembea nan kitambulisho cha kazi n.a. salary slip waone nilivyo na kazi lakin haikusaidia ,nakumbuka nilipata wa ku share naye vyumba Brussels lakin nikawa nalipa mara tatu yake kisa mi mweusi
  2. Kuingia ndani ya Bar na club, ni ngumu sana kwa waafrika, siku moja niko na girlfriend wangu wa hapa mzungu, nikasema twende out akakubali, tulipofika club bounsa alikataa akasema waafrika haturuhusiwi kuwa pale nikasema nutalipa mara tatu akakataa, lakin nipo nimesimama naona wazungu wanakuja wanaingia wanakuja wanaingia, nikauliza akasema wana membership card, wakati siyo, ikabidi nirudi zangu nyumbani nikiwa nimesononeka sana,
  3. Kwenye kituoa cha mabasi saa nyingine kama ni mwafrika uko mwenyewe madereva hawasimami mpaka utegeshee kuna wazungu wanataka kupanda nawe ujisogeze,
Ni mengi mno ila hakuna kukata tamaa uwapo.nje
Ulikuwa unaishi huko au bado unaishi huko? Maana kuna post umekuwa quoted ukiwa umeandika kuwa bado unaishi huko lakini hapa umeandika umeishi huko kati ya 2003 na 2007.
 
Kwa hio Kama ingekua mzungu asingekuibia ?
Wazungu wanamapungufu yao na wanaweza kuiba pia ila watu weusi tumezidi mpaka huku kwenye nchi za watu hatuaminiki tena.
Kweli Majority ya watu weupe ni wabaguzi sana tu ila kwenye ukweli lazima tuseme tu kwamba baadhi ya tabia za wenzetu weusi zinachochea sana ubaguzi wa rangi, zinazidi kuharibu image ya mtu mweusi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom