ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,586
Waache wakae huko huko!
Waache wakae huko huko!
Hebu tupiamo kapicha kako mkuu, inawezekana ulimuonea bure mzungu wa watu.
- Shit....mlikimbia nchi ya mwalimu Nyerere....mkadhani maisha yatawawiwa maraisi.....anyway huku niliko uzunguni hakuna useing huo.....muwe mnaangalia sehemu za kwenda ku settle kabla ya kwenda.... anyway Peter Tosh alituambia.... kwenye wimbo wake wa apartheid... fight apartheid right where u are....mimi kuna mzungu nilishawahi mpiga ngumi club ...kwa kuniita .... monkey...
Ila wakongo kwa mkorogo ni hatariWaarabu ni afadhali kulinganisha na wakongo! Waarabu wanajishughulisha sana hasa na biashara tofauti na wakongo.
From mental slavery
Yani waafrika tumejiharibia wenyewe kabisa.. Si kwenye mapenzi au life huku ulayaWazungu wanamapungufu yao na wanaweza kuiba pia ila watu weusi tumezidi mpaka huku kwenye nchi za watu hatuaminiki tena.
Kweli Majority ya watu weupe ni wabaguzi sana tu ila kwenye ukweli lazima tuseme tu kwamba baadhi ya tabia za wenzetu weusi zinachochea sana ubaguzi wa rangi, zinazidi kuharibu image ya mtu mweusi.
Andika wewe kwako kwa kiswahili....pichuweweUmeandika madudu...ungetumia kiswahili tu.
Siwezi kumlaumu mzungu kwa sababu hakuniumba na kunipa ngozi nyeusi na baadae ikatawaliwa na kuuzwa kama makontena ya Makonda. Ndiyo sababu nawaambia kuwa waafrika bara letu ni Afrika tupambaneni liboreke hata miaka 300 ijayo
Mkuu hivi ungekaa kimya kingeharibika nini?
Ungemwambia pig kwani huoni wanavyo fana nguruwe
- Shit....mlikimbia nchi ya mwalimu Nyerere....mkadhani maisha yatawawiwa maraisi.....anyway huku niliko uzunguni hakuna useing huo.....muwe mnaangalia sehemu za kwenda ku settle kabla ya kwenda.... anyway Peter Tosh alituambia.... kwenye wimbo wake wa apartheid... fight apartheid right where u are....mimi kuna mzungu nilishawahi mpiga ngumi club ...kwa kuniita .... monkey...
Ukistaajabu ya Ubelgiji njoo South uwaone wazungu walio chama cha Julius Malema EFF wanaotaka wazungu wanyang'anywe ardhi irudi kwa mablack