Maisha ya mtu mweusi ndani ya Ubeligiji

Maisha ya mtu mweusi ndani ya Ubeligiji

Ubaguzi upo kote duniani kote na utaendelea kuwepo tu, Tanzania kuna ubaguzi wa aina nyingi sana, Ukitafuta nyumba ya kupanga lazima uulizwe dini na kabila, ukifa lazima waulize alikuwa dini gani,ukipanda basi lazima jirani yako ajishikeshike mifukoni kila mara akijua wewe ni mwizi, ukiingia maduka makubwa wanakuchunga usije ukawaibia, kwanini Dar au mkoa mwingine kuna umoja au kikundi cha kabila fulani, na pia kuna ofisi fulani au kampuni binafsi huwezi kupata kazi kama siyo kabila fulani. ni ubaguzi tu kwenda mbele, mara umoja wa wanawake ,umoja wa welemavu,
 
Wakongo wana mitaa yao kabisa. Tena wengi wao hawapendi kufanya kazi. Wanapenda hela ya bure ya serikali. Wanyewe wanadai wanalipa King Leopard alivyoiba Congo
Hahaha, mkongoo tena ,hawatakagi tabu hawa jamaa

[emoji767]101-03-821.M|T|C
 
Ulaya yote mkongo hapendi kazi.., wanapenda starehe na kuzaliana hivyo.., hapa Denmark wanafanya mradi kuzaa watoto wengi ili wafaidi hela za serikali pia ni wachafu sana!
Kuzaliana tu,mkongo ndio wenyewe, jamaa wanapenda sana kuzaliana ,mitaa ya Lubumbashi ,kolwezi ,kuna watoto mpk utashangaa

[emoji767]101-03-821.M|T|C
 
Mimi ni mwafrika ambaye niliwahi kuishi ubeligiji kwa miaka kadhaa 2003-7, najua kila kinachoendelea ubeligiji hasa kwa suala la ubaguzi dhidi ya Mtu mweusi, mtaani unaitwa majina yote machafu lakin unachukulia kawaida maana ukijifanya kuwa mkali wanakuua,

Ubaguzi wa wabeligiji unaweza kuuona katika misingi kadhaa

Ntataja machache sana ili msipachukie sana ubeligiji,

  1. Kupanga nyumba, nimeona na kuishi Flanders na Brussels, na hii imekuwa tatizo sana kwangu n.a. waafrika wengi nao wajua hata kama nilikuwa na kazi nzuri haikusaidia kitu, niliendelea kuonekana kama nyani mtaani,kimbembe ilikuwa kila naposaka sehem ya kupanga, wanasema vyumba vipo ninapowasiliana nao kwa simu, ila wakiona uso wangu wanasema vyumba vimejaa,yaan wenye nyumba na madalali,ilibidi niwe natembea nan kitambulisho cha kazi n.a. salary slip waone nilivyo na kazi lakin haikusaidia ,nakumbuka nilipata wa ku share naye vyumba Brussels lakin nikawa nalipa mara tatu yake kisa mi mweusi
  2. Kuingia ndani ya Bar na club, ni ngumu sana kwa waafrika, siku moja niko na girlfriend wangu wa hapa mzungu, nikasema twende out akakubali, tulipofika club bounsa alikataa akasema waafrika haturuhusiwi kuwa pale nikasema nutalipa mara tatu akakataa, lakin nipo nimesimama naona wazungu wanakuja wanaingia wanakuja wanaingia, nikauliza akasema wana membership card, wakati siyo, ikabidi nirudi zangu nyumbani nikiwa nimesononeka sana,
  3. Kwenye kituoa cha mabasi saa nyingine kama ni mwafrika uko mwenyewe madereva hawasimami mpaka utegeshee kuna wazungu wanataka kupanda nawe ujisogeze,
Ni mengi mno ila hakuna kukata tamaa uwapo.nje
Ninaweza kuvumilia vitu vingi lakini siyo ubaguzi uwa naomba Mungu asilimia 90 ya Waafrika wapate uwezo kutembelea Nchi za wenzetu halafu tuone kama hao wazungu na wa Asia tutawapa special preferences. Kuna muda nakaa nikiona jinsi viongozi wetu na ndugu zangu wanavyojipendekeza kwa hao watu nabaki nashangaa kwasababu they treat us like trash tukiwa kwao. Nimesema vya kutosha hasira zisinipande bure.
 
Wakongo wana mitaa yao kabisa. Tena wengi wao hawapendi kufanya kazi. Wanapenda hela ya bure ya serikali. Wanyewe wanadai wanalipa King Leopard alivyoiba Congo
Nakumbuka nilienda trip ya siku mbili niliwaona wasomali kibao wanadunda
Sasa sijui ni wapi huko anakoongelea
Maana kama ukilifuatilia suala la ubaguzi hata ukiangaliwa tu unashuku

Ni kupambana tu

Sent from my SM using Tapatalk
 
Mimi ni mwafrika ambaye niliwahi kuishi ubeligiji kwa miaka kadhaa 2003-7, najua kila kinachoendelea ubeligiji hasa kwa suala la ubaguzi dhidi ya Mtu mweusi, mtaani unaitwa majina yote machafu lakin unachukulia kawaida maana ukijifanya kuwa mkali wanakuua,

Ubaguzi wa wabeligiji unaweza kuuona katika misingi kadhaa

Ntataja machache sana ili msipachukie sana ubeligiji,

  1. Kupanga nyumba, nimeona na kuishi Flanders na Brussels, na hii imekuwa tatizo sana kwangu n.a. waafrika wengi nao wajua hata kama nilikuwa na kazi nzuri haikusaidia kitu, niliendelea kuonekana kama nyani mtaani,kimbembe ilikuwa kila naposaka sehem ya kupanga, wanasema vyumba vipo ninapowasiliana nao kwa simu, ila wakiona uso wangu wanasema vyumba vimejaa,yaan wenye nyumba na madalali,ilibidi niwe natembea nan kitambulisho cha kazi n.a. salary slip waone nilivyo na kazi lakin haikusaidia ,nakumbuka nilipata wa ku share naye vyumba Brussels lakin nikawa nalipa mara tatu yake kisa mi mweusi
  2. Kuingia ndani ya Bar na club, ni ngumu sana kwa waafrika, siku moja niko na girlfriend wangu wa hapa mzungu, nikasema twende out akakubali, tulipofika club bounsa alikataa akasema waafrika haturuhusiwi kuwa pale nikasema nutalipa mara tatu akakataa, lakin nipo nimesimama naona wazungu wanakuja wanaingia wanakuja wanaingia, nikauliza akasema wana membership card, wakati siyo, ikabidi nirudi zangu nyumbani nikiwa nimesononeka sana,
  3. Kwenye kituoa cha mabasi saa nyingine kama ni mwafrika uko mwenyewe madereva hawasimami mpaka utegeshee kuna wazungu wanataka kupanda nawe ujisogeze,
Ni mengi mno ila hakuna kukata tamaa uwapo.nje

Nyumbani pazuri
 
Huo ubaguzi mbona hapa nyumbani upo wa aina nyingi tu?
Hakuna nchi duniani isiyokuwa na ubaguzi
Ubaguzi upo kila sehemu ya dunia hii.
Ni mbinguni pekee ambako sote sisi ni wana wa Mungu
 
Siwezi kumlaumu mzungu kwa sababu hakuniumba na kunipa ngozi nyeusi na baadae ikatawaliwa na kuuzwa kama makontena ya Makonda. Ndiyo sababu nawaambia kuwa waafrika bara letu ni Afrika tupambaneni liboreke hata miaka 300 ijayo
Mhh labda tupambane tuwatoe wakoloni weusi kwanza,ambao ni kikwazo cha maendeleo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
flag-for.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom