Maisha ya mtu mweusi ndani ya Ubeligiji

Maisha ya mtu mweusi ndani ya Ubeligiji

Nathan Jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2017
Posts
1,445
Reaction score
1,891
Mimi ni mwafrika ambaye niliwahi kuishi ubeligiji kwa miaka kadhaa 2003-7, najua kila kinachoendelea ubeligiji hasa kwa suala la ubaguzi dhidi ya Mtu mweusi, mtaani unaitwa majina yote machafu lakin unachukulia kawaida maana ukijifanya kuwa mkali wanakuua,

Ubaguzi wa wabeligiji unaweza kuuona katika misingi kadhaa

Ntataja machache sana ili msipachukie sana ubeligiji,

  1. Kupanga nyumba, nimeona na kuishi Flanders na Brussels, na hii imekuwa tatizo sana kwangu n.a. waafrika wengi nao wajua hata kama nilikuwa na kazi nzuri haikusaidia kitu, niliendelea kuonekana kama nyani mtaani,kimbembe ilikuwa kila naposaka sehem ya kupanga, wanasema vyumba vipo ninapowasiliana nao kwa simu, ila wakiona uso wangu wanasema vyumba vimejaa,yaan wenye nyumba na madalali,ilibidi niwe natembea nan kitambulisho cha kazi n.a. salary slip waone nilivyo na kazi lakin haikusaidia ,nakumbuka nilipata wa ku share naye vyumba Brussels lakin nikawa nalipa mara tatu yake kisa mi mweusi
  2. Kuingia ndani ya Bar na club, ni ngumu sana kwa waafrika, siku moja niko na girlfriend wangu wa hapa mzungu, nikasema twende out akakubali, tulipofika club bounsa alikataa akasema waafrika haturuhusiwi kuwa pale nikasema nutalipa mara tatu akakataa, lakin nipo nimesimama naona wazungu wanakuja wanaingia wanakuja wanaingia, nikauliza akasema wana membership card, wakati siyo, ikabidi nirudi zangu nyumbani nikiwa nimesononeka sana,
  3. Kwenye kituoa cha mabasi saa nyingine kama ni mwafrika uko mwenyewe madereva hawasimami mpaka utegeshee kuna wazungu wanataka kupanda nawe ujisogeze,
Ni mengi mno ila hakuna kukata tamaa uwapo.nje
 
Mimi ni mwafrika ambaye nimekuwa nikiishi ubeligiji kwa miaka kadhaa, najua kila kinachoendelea ubeligiji hasa kwa suala la ubaguzi dhidi ya Mtu mweusi, mtaani unaitwa majina yote machafu lakin unachukulia kawaida maana ukijifanya kuwa mkali wanakuua,

Ubaguzi wa wabeligiji unaweza kuuona katika misingi kadhaa

Ntataja machache sana ili msipachukie sana ubeligiji,

  1. Kupanga nyumba, nimeona na kuishi Flanders na Brussels, na hii imekuwa tatizo sana kwangu n.a. waafrika wengi nao wajua hata kama nilikuwa na kazi nzuri haikusaidia kitu, niliendelea kuonekana kama nyani mtaani,kimbembe ilikuwa kila naposaka sehem ya kupanga, wanasema vyumba vipo ninapowasiliana nao kwa simu, ila wakiona uso wangu wanasema vyumba vimejaa,yaan wenye nyumba na madalali,ilibidi niwe natembea nan kitambulisho cha kazi n.a. salary slip waone nilivyo na kazi lakin haikusaidia ,nakumbuka nilipata wa ku share naye vyumba Brussels lakin nikawa nalipa mara tatu yake kisa mi mweusi
  2. Kuingia ndani ya Bar na club, ni ngumu sana kwa waafrika, siku moja niko na girlfriend wangu wa hapa mzungu, nikasema twende out akakubali, tulipofika club bounsa alikataa akasema waafrika haturuhusiwi kuwa pale nikasema nutalipa mara tatu akakataa, lakin nipo nimesimama naona wazungu wanakuja wanaingia wanakuja wanaingia, nikauliza akasema wana membership card, wakati siyo, ikabidi nirudi zangu nyumbani nikiwa nimesononeka sana,
  3. Kwenye kituoa cha mabasi saa nyingine kama ni mwafrika uko mwenyewe madereva hawasimami mpaka utegeshee kuna wazungu wanataka kupanda nawe ujisogeze,
Ni mengi mno ila hakuna kukata tamaa uwapo.nje

Mkuu ni kote Ingawa huku Ujerumani basi litasimama. Utakaa nao nk. Lakini unaona kabisa mbwa kwao ana afadhali kuliko mwafrika mweusi. Wanawake Pochi huficha na mi nafanyaga makusudi wakificha nafungua euro 500 500. nafanya kuzipanga. Watoa macho kama umewashika mbupu.
 
  1. Shit....mlikimbia nchi ya mwalimu Nyerere....mkadhani maisha yatawawiwa maraisi.....anyway huku niliko uzunguni hakuna useing huo.....muwe mnaangalia sehemu za kwenda ku settle kabla ya kwenda.... anyway Peter Tosh alituambia.... kwenye wimbo wake wa apartheid... fight apartheid right where u are....mimi kuna mzungu nilishawahi mpiga ngumi club ...kwa kuniita .... monkey...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom