Maisha ya mtu mweusi ndani ya Ubeligiji

Maisha ya mtu mweusi ndani ya Ubeligiji

UJINGA ni pale unazamia kwa wazungu alafu na wao wanazamia Afrika kukomba rasilimali. Sikuhizi wapo mpaka wamachinga wa kichina. Maisha ya upweke sana huko.Unakuta mtu ni daktari anakaa ulaya miaka kibao kisa tu unataka sifa eti nawe uko ulaya. Sikuhizi Flyover tunazo, Deamliner Kibao, Instagram nasisi tunapata, Treni ya umeme inajengwa sasa sijui unakubali kuitwa nyani kwa nini. Kuna Madaktari wamekaa mikoani na kufungua Private Clinics wanapiga hela kibao hata ukiwaambia kwenda ulaya hawakubali kwanza huwezi kuwalipa sawa na kipato chao. Kuna daktari kwa uchache anaingiza Milioni nne kwa siku hapahapa Bongo ila nyie mnao tafuta sifa ya kukaa ulaya mko hoi.
Dunia ina watu zaidi ya billion 7 - wote hawezi ku-fit katika sehemu moja na kufanya kitu kimoja. Siyo wote wanatafuta utajiri. Wengine tunatafuta chakula, sehemu ya kulala, mavazi na exposure. Wote tungetatufa utajiri, dunia isingekalika.
 
Duh, 2003-2007 kumbe nayo ni zamani, sasa sie tulioingia ughaibuni 1990s huko tusemeje? Wabongo uongo na uvivu tunaongoza. Na kulalamika jadi yetu.komaa mtoto wa kiume!! Acha urojorojo wa kulalamika.
 
Hakika tunachokitafta huku wao wanakifuata kwetu Africa
 
Duh, 2003-2007 kumbe nayo ni zamani, sasa sie tulioingia ughaibuni 1990s huko tusemeje? Wabongo uongo na uvivu tunaongoza. Na kulalamika jadi yetu.komaa mtoto wa kiume!! Acha urojorojo wa kulalamika.
Sawa
 
Ni mengi mno ila hakuna kukata tamaa uwapo.nje

Mkuu ni suala la kihistoria.

Ukilinganisha na nchi nyingine zilizoendelea, watu weusi "angalau" wana hadhi Marekani sababu ya "Civil Rights Movement" .

Ndio maana "African/Afro-American" inatambulika zaidi kuliko: "African/Afro-French", "African/Afro-British", "African/Afro-German", "African/Afro-Belgian", nakadhalika.

Kwa uzoefu wangu hasira za kubaguliwa zinaongezeka kadri umri wako unavyokwenda. Ukiwa na umri mdogo unakuwa na uvumilivu zaidi wakati ukijitahidi kufikia malengo yako.

Ila ukishafikisha miaka 55+, sehemu nzuri ya kuishi ni kwenye nchi yako au ambapo wewe SIO "minority"!
 
Sure
 
Nchi ya ubelgiji kwa asilimia 80 ipo hapo kiuchumi kwa sababu ya rasilimali toka africa then bado wanatubagua
 
Mjini Brussels nilikuta waafrika hasa kutoka Congo na sehemu yenyewe walikuwa wanaita Matoke village na ni full Ucongo na sikuona mzungu hata mmoja. Vitu vyote vya Congo unavipata pale.
 
Hasa nyie akina dada ndio kabisa. Ashakum si matusi - Mnalegea kabisa na kudondoka chini ....

Sikuwa na maana hiyo... Namaanisha hata ukienda mahali fulani kupata huduma za kijamii wakiwepo wazungu wanapewa kipaumbele... Basi tu kwa vile watanzania hatujafunzwa ubaguzi ndio maana
 
Lakini Charminglady sema ukweli tu. Hiyo maana haipo huko mtaani?
 
Mjini Brussels nilikuta waafrika hasa kutoka Congo na sehemu yenyewe walikuwa wanaita Matoke village na ni full Ucongo na sikuona mzungu hata mmoja. Vitu vyote vya Congo unavipata pale.
Inaitwa Matonge na wala si Matoke.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom