Maisha ya Marekani - Ukimya, Upweke, Magari n.k

Maisha ya Marekani - Ukimya, Upweke, Magari n.k

Mara ya kwanza kuingia USA nilikimbilia Bridgeport kutokana na gharama za nyumba kuwa juu sana ikabidi nikaishi kwenye nyumba za bure Halfway house nikapewa hifadhi sema kilichonishinda hapo unakua kama upo sober house
Mkuu hii inakuwaje, ni kwamba uhuru unaminywa au unakuwa unaishi chini ya uangalizi kama teja?
 
Inaeleweka kwa mwanaume kamili huduma ya mwanamke ni kitu ya lazima, sasa wewe bibi mstaafu hauwezi kuelewa
sema wewe, sio mimi wala yule. Sema wewe una ugonjwa wa ngono! Sex is not a necessity of life. huwezi kufa kwa kukosa sex. nahisi wewe ni mtu wa pwani hasa Tanga, Mtwara na Dar. Sema utamaduni wenu unaitambua sex kama necessity which biologically is not! Bara hakuna ujinga kama huo
 
Hujamueleza kuwa wanawake wa huko hawaongwi ef.5 au 10 kama wamatumbi huku nchini
Ha ha ha ha!!! Loh! Wanawake huku ni wa kumwaga mzee! Ukumbuke hapa Los Angeles kuna watu kutoka kila kona duniani. Asilimia 40 ya wakazi wa los angeles ni wahamiaji kutoka sehemu mbali mbali duniani hivyo kuna wanawake wa kila rangi hapa. Muhimu tu ni nidhamu maana wanawake wapo tu mzee
 
Hillbillies Wana afadhali ,rednecks ndio hardcore racists , hillbillies ni maprimitives wa milimani huko Appalachia wako so secluded kiufupi wanajulikana kama" white trashes " utawakuta kwenye zile trailer houses na wooden shacks ,kiufupi ni mabushmen WA kizungu ,hell hawajui hata kuongea kiingereza ipasavyo
Rednecks ndio wale wenye mapikipiki na mapanga au kina Kumazan Machette 😂😂😂
 
Ila pamoja na yote, Bongo nayo tamu sana ukiipatia maana daily unakula tu watoto wa wamoto.
Hamna sehemu tamu kama bongo sema kinachotusumbua ni umaskini tu, bongo sheria iko kwa ajili ya maskini tu wenye hela hawasumbuliwi kwa mambo madogo madogo.
Marekani usumbufu mwingi hata ukiwa na hela huna freedom kama bongo. Jela iko karibu sana na wewe.

Trust me huwezi mkuta mtu kama mtoto wa Kikwete, Bhakressa, Mengi, Rostam anatamani akaishi Los Angeles labda. Maisha yake ya Bongo ni zaidi ya Los Angeles. He drives what he wants, drinks what he wants, usalama uko wa kutosha i.e lazma ana mashine anatembea nayo kiunoni au ndani ya gari. He fucks the most beautiful girls as he wishes. Maisha yako in a tap of his fingers sababu hela iko ya kutosha.

Bongo wenye hela hata kidogo tu wanafurahia maisha.
 
Hilo pia ni kweli, weusi wa hapa Marekani wana ka chuki fulani na weusi kutoka sehemu nyingine hasa nje ya Marekani. Na chuki yao hasa ni kuwa weusi kutoka nje ya Marekani wamefanikiwa sana hapa maana wengi wanakuja wakiwa na elimu au ujuzi fulani wakati hawa ma black america hapa wengi hawataki shule, hawataki ujuzi wowote ule zaidi ya kuimba hip hop na drugs! Ndio wanao sumbua hii nchi.
Shukrani Mkuu kunielewesha mapema ili ikitokea siku isiyojulikana nimetinga anga hizo niwe najua namna ya kwenda nao sambamba.
 
Ajabu, nchi za Europe say Sweden huna haja ya kumiliki gari maana usafiri wa umma uko reliable by 1,000,000% reliable!
Uko sawa mkuu, lakini nchi hizo ni ndogo sana kwa eneo, jimbo kama Texas ni almost kama Tanzania ukubwa, hivyo usafiri public huwezi kabisa ku cover miji yao mikubwa kama Dallas au Houston
Miji hii miundo ya barabara ndio inayounganisha vitongoji.Ingawa kuna baadhi ya miji marekani unaweza kupata mahali pa kuishi na kufanya kazi ukawa kwenye grid ya train na mabasi ya public,hapo huta hitaji gari.Tatizo lake ni kuwa huwezi kuvinjari kabisa kwenye vitongoji vinavyozunguka mji wako.
 
Furaha ni hisia ya muda kama ilivyo huzuni, hasira au hofu.

Kuna kitu kinaitwa hedonic setpoint maanake ni kiwango cha mtu yeyote yule cha kudumu cha furaha haijalishi jambo gani zuri limetokea ktk maisha yako baada ya muda fulani unarejea ktk hali ya kawaida.

Mf. unaweza ku-strike deal kubwa sana la pesa baada ya muda fulani utaona kawaida tu ile furaha ya muda itapanda juu sana baadae itashuka ktk hali ya kawaida.

Kundi kubwa sana la watu duniani kote karibu 75% lipo ktk mazingira ambayo ktk kila matatizo 10 basi 9 yanatatuliwa na pesa hapa ndipo ambapo watu wengi huamini pesa huleta furaha kwa ssb mambo yake yanakuwa yametatuka ila kiuhalisia unachokipata pale ni hisia ya muda mfupi tu.

Mtu huyo huyo akianza kuvuka kutoka kundi la chini kwenda juu ndio huona kumbe hata ukiwa na pesa haimanishi kwamba unakuwa na furaha ya kudumu bali unapata mbadiliko wa hisia ya furaha kwa vipindi tofauti tofauti kulingana na mazingira. Pesa inakupa machaguzi mengi na uhuru ila sio furaha.
Best comment ever
 
sema wewe, sio mimi wala yule. Sema wewe una ugonjwa wa ngono! Sex is not a necessity of life. huwezi kufa kwa kukosa sex. nahisi wewe ni mtu wa pwani hasa Tanga, Mtwara na Dar. Sema utamaduni wenu unaitambua sex kama necessity which biologically is not! Bara hakuna ujinga kama huo
Unanichosha asee
 
Wakuu,

Leo nataka nigusie kwa kifupi maisha kwenye Taifa hili kubwa zaidi duniani. Nitagusia kwa hapa jijini Los Angeles, jiji hili lipo kwenye jimbo la Califonia, Jimbo tajiri zaidi hapa Marekani, Nimekuwa niki yatazama kwa karibu sana na kugundua yafuatayo.

1. Kwanza ni Maisha yaliyojaa ukimya na Upweke sana. Kama umetoka Africa ukiwa umezoea maisha ya kujichanganya huku sahau.

2. Pili kuhusu Vyakula huku sio ishu kabisa, infact kama huna makuu unaweza kujiandikisha zako kwa watu wa Food bank ukawa unaletewa misosi ya bure daily!!

3. Kumiliki Gari huku sio Option nilazima! Vitu vingi huku viko mbali na usafiri wa uma sio reliable kabisa. Hivyo unakuta kila mtu ana gari. Yaani ni heri ukose vyote ila sio gari.

4. Nyumba huku hazishikiki, bei ya chini sana ni dola laki tatu. Kupangisha nako bei iko juu balaa yaani unakuta chumba, sebule na jiko ni dola elfu tano kwa mwezi. Nadhani pia ninkwa vile mishahara kwenye hili jimbi iko juu sana.
Asante.
Ila hiyo Kodi ya Dola elfu Tano sijui umeipata wapi au mji gani unatiza kiwango hicho.
Nijuavyo Mimi Kodi ya juu kabisa ya Bedroom 1 vyote vikiwemo haizidi Dola 1600.
Unapoleta taarifa chambua ukijua Kuna wengine wako hapo mahali.
 
Hillybilly na white supremacists ni watu gani hao
ni wale niliwaonaga Sunset Boulevard kwenye monster truck rally...haya majitu kwa stereotyping ni hatari....mzee huwajui the kkk ? Ku Klux Klan , is an American white supremacist, right-wing terrorist, and hate group whose primary targets are african american and the likes...Majitu kama hayo nliyoyaatach yaogope sana
 

Attachments

  • kkk.jpg
    kkk.jpg
    216.6 KB · Views: 35
Back
Top Bottom