menny terry
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 509
- 672
- Thread starter
- #21
Inamaana ni kweli kabisa Wazungu kutubagua kwa kutuita nyani kwa tabia chafu kama hizo au shida ni nini haswa?
Nina Binamu yangu mmoja yuko huko zaidi ya miaka 20 ni Profesa, anadai Black "Americans ni wabaguzi sana wa rangi nyeusi zilizotoka nnje ya bara hilo kuliko Wazungu wenyewe, wakijiona ni Aliens wa ngozi nyeusi yeyote duniani" Je atakuwa sahihi kwa madai hayo?
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Hilo pia ni kweli, weusi wa hapa Marekani wana ka chuki fulani na weusi kutoka sehemu nyingine hasa nje ya Marekani. Na chuki yao hasa ni kuwa weusi kutoka nje ya Marekani wamefanikiwa sana hapa maana wengi wanakuja wakiwa na elimu au ujuzi fulani wakati hawa ma black america hapa wengi hawataki shule, hawataki ujuzi wowote ule zaidi ya kuimba hip hop na drugs! Ndio wanao sumbua hii nchi.