Maisha ya Marekani - Ukimya, Upweke, Magari n.k

Maisha ya Marekani - Ukimya, Upweke, Magari n.k

Nimeona, na ni let me say so, ni simple houses, siyo kama zile za Oysterbay, Masaki, Mikocheni , Mbezi Beach etc! sikuona ghorofa ( labda kama sikuangalia vema). Hivi hakuna vibaka maana hakuna fensi ya maana kama ulivyosema...
By the way mshahara ni dola ngapi kama nyumba ni laki 3/4/8 Dola?

Haya nilio onyesha hapo kwa clip yangu ni maeneo ya Middle class ya kawaida. So hizo nyumba sio kubwa! Ila ni nyumba nzuri sana kwa maisha hapa Los Angeles. Clip zitakazo fuata nitaweka zenye majumba ya kufa mtu. Kuhusu Vibaka wapo sema huku kila mtu ana miliki silaha na kumiliki silaha ni haki kikatiba. Kuhusu mishahara hapa Los Angeles watu wanalipwa mpunga mrefu sana. Na hii ndo sababu nyumba zimekuwa bei kubwa sana
 
Yaani uwe na BMW limepaki nje, upo kwenye mjengo wa heshima,upweke utoke wapi!? Si Bora hivyo kuliko maisha yetu ya huku bongo makelele kibao mtaani, story mpaka usiku wa manane lakini mfukoni hakuna kitu, mitaa kama Kashai uswahilini Bukoba, Masasi maji ndanda,wapi wapi, yatima au Dar Manzese, Tandale, Kawe ukwamani, Mbagala, Bora ukaishi Ulaya!! Tafuta kitu Cha kuweka bize, nenda gym au weka gym ndani.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hizo foodbanks ndo nini na kwNini zitoe bure chakula tena kwa kukuletea na ni chakula cha ubora gani isjekua makombo nieleweshe mkuu nikifika hapo ndo kitu cha kwanza ntafanya

Ha ha ha ha!! Food banks ni Charity mbalimbali hapa Marekani ambazo hutoa chakula bure kwa watu wasio jiweza kama watu wa kipato cha chini, wahamiaji wasio na kazi, pamoja na wanagunzi masikini kutoka Africa na kwingineko. Unachofanya ni kujiandikisha tu then unakuwa unapatiwa chakula. So kama huna makuu unaweza kuishi kwa kutegemea food bank maisha yako yote hapa marekani. Sio makombo ni chakula chenye ubora wa hali ya juu. Makuku, ma juice, nyama, mchele, unga n.k
 
Kwenye part tamu sasa,nauli ya huko kiasi gani kutokea kwetu huku?
 
Baada ya MAKOLOKOLO FC kumleta Mdhungu Bongo huwa najiuliza sana maswali kuwa Wabongo tunapapendea nini haswa mamtoni ilihali wa huko Mamtoni huja huku Bongo [emoji848][emoji6]

Au MAKOLO tumepigwa nini na kitu kizito kama YANGA alivyopigwaga na JAJA Mdhungu toka Brazil kumbe ni Bahanuzi aliyechangamka [emoji848][emoji1]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Una akili mgando wewe !

Wazungu wameanza kuja Africa kabla hata ya Ukoloni au ulikimbia shule.

Haya wazungu wanaenda sayari ya Mars unataka kusemaje ?
 
Wakuu,

Leo nataka nigusie kwa kifupi maisha kwenye Taifa hili kubwa zaidi duniani. Nitagusia kwa hapa jijini Los Angeles, jiji hili lipo kwenye jimbo la Califonia, Jimbo tajiri zaidi hapa Marekani, Nimekuwa niki yatazama kwa karibu sana na kugundua yafuatayo.

1. Kwanza ni Maisha yaliyojaa ukimya na Upweke sana. Kama umetoka Africa ukiwa umezoea maisha ya kujichanganya huku sahau.

2. Pili kuhusu Vyakula huku sio ishu kabisa, infact kama huna makuu unaweza kujiandikisha zako kwa watu wa Food bank ukawa unaletewa misosi ya bure daily!!

3. Kumiliki Gari huku sio Option nilazima! Vitu vingi huku viko mbali na usafiri wa uma sio reliable kabisa. Hivyo unakuta kila mtu ana gari. Yaani ni heri ukose vyote ila sio gari.

4. Nyumba huku hazishikiki, bei ya chini sana ni dola laki tatu. Kupangisha nako bei iko juu balaa yaani unakuta chumba, sebule na jiko ni dola elfu tano kwa mwezi. Nadhani pia ninkwa vile mishahara kwenye hili jimbi iko juu sana.

Hapo kwenye ndinga patamu
 
Tutaweka bando tarehe 31
 
Hamia Kentucky, Alabama na Georgia ndani ndani huko nyumba bei rahisi sana (japo ma hillbilly na white supremacists wanaweza kuondoka na kichwa chako). Muziki wa LA na San Francisco kimaisha si wa kitoto hasa kama haupo kwenye IT, medicine, banking au Engineering...

Na usizembee masomo yako hapo UCLA, Santa Monica College, USC....

Na ukipita mitaa ya Hollywood, Bel-Air, Malibu na Fernando Valley makao makuu ya porn wasalimie huko! [emoji16][emoji16][emoji16]
Yaani hapo ni Sawa mtu anaishi Dar es salaam unamshauri Aamie kigoma au sumbawanga
 
Back
Top Bottom