Wakuu,
Leo nataka nigusie kwa kifupi maisha kwenye Taifa hili kubwa zaidi duniani. Nitagusia kwa hapa jijini Los Angeles, jiji hili lipo kwenye jimbo la Califonia, Jimbo tajiri zaidi hapa Marekani, Nimekuwa niki yatazama kwa karibu sana na kugundua yafuatayo.
1. Kwanza ni Maisha yaliyojaa ukimya na Upweke sana. Kama umetoka Africa ukiwa umezoea maisha ya kujichanganya huku sahau.
2. Pili kuhusu Vyakula huku sio ishu kabisa, infact kama huna makuu unaweza kujiandikisha zako kwa watu wa Food bank ukawa unaletewa misosi ya bure daily!!
3. Kumiliki Gari huku sio Option nilazima! Vitu vingi huku viko mbali na usafiri wa uma sio reliable kabisa. Hivyo unakuta kila mtu ana gari. Yaani ni heri ukose vyote ila sio gari.
4. Nyumba huku hazishikiki, bei ya chini sana ni dola laki tatu. Kupangisha nako bei iko juu balaa yaani unakuta chumba, sebule na jiko ni dola elfu tano kwa mwezi. Nadhani pia ninkwa vile mishahara kwenye hili jimbi iko juu sana.
Kuna jamaa yangu alikua Texas, naona amerudi na begi lake tu.kawa mlevi hatari
Hillbillies Wana afadhali ,rednecks ndio hardcore racists , hillbillies ni maprimitives wa milimani huko Appalachia wako so secluded kiufupi wanajulikana kama" white trashes " utawakuta kwenye zile trailer houses na wooden shacks ,kiufupi ni mabushmen WA kizungu ,hell hawajui hata kuongea kiingereza ipasavyoHao jamaa ni wale wazungu weupe wanao amini kuwa wao ndo watu bora kuliko wote na kuwa Marekani haipaswi kuwa na watu wengine zaidi yao
Mungu akupe nini tena Makimuga, Marekani raha jamani.Ha ha ha ha!! Food banks ni Charity mbalimbali hapa Marekani ambazo hutoa chakula bure kwa watu wasio jiweza kama watu wa kipato cha chini, wahamiaji wasio na kazi, pamoja na wanagunzi masikini kutoka Africa na kwingineko. Unachofanya ni kujiandikisha tu then unakuwa unapatiwa chakula. So kama huna makuu unaweza kuishi kwa kutegemea food bank maisha yako yote hapa marekani. Sio makombo ni chakula chenye ubora wa hali ya juu. Makuku, ma juice, nyama, mchele, unga n.k
Aisee, sjui uniandike kabisaHa ha ha ha!! Food banks ni Charity mbalimbali hapa Marekani ambazo hutoa chakula bure kwa watu wasio jiweza kama watu wa kipato cha chini, wahamiaji wasio na kazi, pamoja na wanagunzi masikini kutoka Africa na kwingineko. Unachofanya ni kujiandikisha tu then unakuwa unapatiwa chakula. So kama huna makuu unaweza kuishi kwa kutegemea food bank maisha yako yote hapa marekani. Sio makombo ni chakula chenye ubora wa hali ya juu. Makuku, ma juice, nyama, mchele, unga n.k
Kama kusoma hujui....hata hiyo video huioni?
Si ndo hapo? Yaani watu wengine wana wenge kama makarani wa sensa. Yaani Video iko hapo yeye hata kuangalia hajaangalia anakalia kuuliza maswali mweh
Sasa unaenda Vijijini na wewe unasema unaisha Marekani?Hamia Kentucky, Alabama na Georgia ndani ndani huko nyumba bei rahisi sana (japo ma hillbilly na white supremacists wanaweza kuondoka na kichwa chako). Muziki wa LA na San Francisco kimaisha si wa kitoto hasa kama haupo kwenye IT, medicine, banking au Engineering...
Na usizembee masomo yako hapo UCLA, Santa Monica College, USC....
Na ukipita mitaa ya Hollywood, Bel-Air, Malibu na Fernando Valley makao makuu ya porn wasalimie huko! [emoji16][emoji16][emoji16]
Hao jamaa ni wale wazungu weupe wanao amini kuwa wao ndo watu bora kuliko wote na kuwa Marekani haipaswi kuwa na watu wengine zaidi yao
Ha ha ha ha!!! Loh! Wanawake huku ni wa kumwaga mzee! Ukumbuke hapa Los Angeles kuna watu kutoka kila kona duniani. Asilimia 40 ya wakazi wa los angeles ni wahamiaji kutoka sehemu mbali mbali duniani hivyo kuna wanawake wa kila rangi hapa. Muhimu tu ni nidhamu maana wanawake wapo tu mzee
Yes! Ukiangalia hiyo clip yangu hapo juu utaona hakuna nyumba ambayo haina gari. Yaani ni kawaida kukuta homeless ana boonge ya gari lakini hana pa kulala.
Hata huko marekani hio mitaa yako ya uswahilini ipo sehemu kama Glendale, kwa kifupi kama umecheza GTA San Andreas ile mitaa ya uswahilini nod Los Angeles ( Los Santos)Yaani uwe na BMW limepaki nje, upo kwenye mjengo wa heshima,upweke utoke wapi!? Si Bora hivyo kuliko maisha yetu ya huku bongo makelele kibao mtaani, story mpaka usiku wa manane lakini mfukoni hakuna kitu, mitaa kama Kashai uswahilini Bukoba, Masasi maji ndanda,wapi wapi, yatima au Dar Manzese, Tandale, Kawe ukwamani, Mbagala, Bora ukaishi Ulaya!! Tafuta kitu Cha kuweka bize, nenda gym au weka gym ndani.
Huna hoja.Acha kudandia treni kwa mbele utagongwa, unajua hilo swali nimemuuliza nani?
Kweli kabisa nimeona YouTube homeless anahojiwa ana Ford ranger ya ukweli pembeni nikashangaa.Yes! Ukiangalia hiyo clip yangu hapo juu utaona hakuna nyumba ambayo haina gari. Yaani ni kawaida kukuta homeless ana boonge ya gari lakini hana pa kulala.