witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,839
- 47,772
Kwanini huna furahaNi luxury, lengo ni kuonyesha ni jinsi gani ameenda nje ya flow kwenye uwasilishaji.
Mimi nina nyumba na bado sina furaha ije kuwa gari?
Kwanini huna furahaNi luxury, lengo ni kuonyesha ni jinsi gani ameenda nje ya flow kwenye uwasilishaji.
Mimi nina nyumba na bado sina furaha ije kuwa gari?
Usisahau waarabuMkuu umeongea vyema. Mwanzoni nilijua watu wanao kimbilia hapa Marekani ni watu kutoka Africa tu ila nimegundua waafrica kwanza ni wachache kwa watu wanao ongoza kuhamia hapa Marekani. Wachina, wajapani, wakorea na Wahindi ni wengi sana hapa Marekani na kila siku wanakimbia nchi zao. Ukweli ni kuwa Marekani ni kimbilio la watu kutoka kila pembe ya dunia
Kwanini nyumba bei kubwa.Haya nilio onyesha hapo kwa clip yangu ni maeneo ya Middle class ya kawaida. So hizo nyumba sio kubwa! Ila ni nyumba nzuri sana kwa maisha hapa Los Angeles. Clip zitakazo fuata nitaweka zenye majumba ya kufa mtu. Kuhusu Vibaka wapo sema huku kila mtu ana miliki silaha na kumiliki silaha ni haki kikatiba. Kuhusu mishahara hapa Los Angeles watu wanalipwa mpunga mrefu sana. Na hii ndo sababu nyumba zimekuwa bei kubwa sana
Kama kuna nyumba za bure wale homeless wanatoka wapi?Mara ya kwanza kuingia USA nilikimbilia Bridgeport kutokana na gharama za nyumba kuwa juu sana ikabidi nikaishi kwenye nyumba za bure Halfway house nikapewa hifadhi sema kilichonishinda hapo unakua kama upo sober house
Mbona wewe hapo Tz huna hela ya kwenda kupanga ila hauwez kwenda kuishi sober house?Kama kuna nyumba za bure wale homeless wanatoka wapi?
Gari sio anasa ndugu ni mfumo wa lazima wa maisha kwa AmericaUmeanza na ukimya, Upweke alafu ghafla ukaja Magari, you went from sadness and loneliness to luxury really fast.
Nitaenda kwa ajili ya vacation na kubadilisha mazingira.
Wakuu,
Leo nataka nigusie kwa kifupi maisha kwenye Taifa hili kubwa zaidi duniani. Nitagusia kwa hapa jijini Los Angeles, jiji hili lipo kwenye jimbo la Califonia, Jimbo tajiri zaidi hapa Marekani, Nimekuwa niki yatazama kwa karibu sana na kugundua yafuatayo.
1. Kwanza ni Maisha yaliyojaa ukimya na Upweke sana. Kama umetoka Africa ukiwa umezoea maisha ya kujichanganya huku sahau.
2. Pili kuhusu Vyakula huku sio ishu kabisa, infact kama huna makuu unaweza kujiandikisha zako kwa watu wa Food bank ukawa unaletewa misosi ya bure daily!!
3. Kumiliki Gari huku sio Option nilazima! Vitu vingi huku viko mbali na usafiri wa uma sio reliable kabisa. Hivyo unakuta kila mtu ana gari. Yaani ni heri ukose vyote ila sio gari.
4. Nyumba huku hazishikiki, bei ya chini sana ni dola laki tatu. Kupangisha nako bei iko juu balaa yaani unakuta chumba, sebule na jiko ni dola elfu tano kwa mwezi. Nadhani pia ninkwa vile mishahara kwenye hili jimbi iko juu sana.

Kwasababu ya kufanya kaziInategemea wewe unataka kuja kwa sababu gani!
Furaha ni hisia ya muda kama ilivyo huzuni, hasira au hofu.Ni luxury, lengo ni kuonyesha ni jinsi gani ameenda nje ya flow kwenye uwasilishaji.
Mimi nina nyumba na bado sina furaha ije kuwa gari?
Acha kudandia treni kwa mbele utagongwa, unajua hilo swali nimemuuliza nani?
Sober si kwa ajili ya mateja? Hawapokei kila mtu, waanze kuruhusu mtu yoyote uoneMbona wewe hapo Tz huna hela ya kwenda kupanga ila hauwez kwenda kuishi sober house?
Nyie ndo mnaorudisha nyuma maendeleo ya wenzenu.Natamani siku moja nije niende Marekani nikaishi licha ya degree yangu moja ya chuo kikuu naona bado sikioni cha maana. Sasa bhana nina kastory kidogo, nina baba zetu wadogo wako Marekani huko Walianza uhotelia kwa meli baadae wakaacha wakaanzisha life Marekani mkubwa na mdogo wote wako USA mmoja alisema anakaa New York mwingine alisema anakaa Philadelphia sina uhakika sana, sasa mdogo nakumbuka aliwahi nisaidiaga hela nikiwa chuo kikuu kama laki 3.5 hivi namshukuru hadi leo maana alikuwa mtu wa bata sana lkn home anakumbuka ndugu. Ila mkubwa huyu sijui karithi roho za ubahili za kichaga maana kaoa uchagani na mwanamke anakaa Bongo Dar hapo tu hata ukisema naomba hata laki 2 tu niongezee kwenye kamtaji atakwambia hana ila akija yeye na familia yake full bata za kimbelembele mara serengeti, mara Mt. Kilimanjaro. Mpaka huwa nawaza roho gani hii??? Mtu yupo Marekani [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] ila mdogo siku hizi naona ana malengo yake ameoa huko huko ila naona maisha anapambana nayo ukiwa na shida mgumu kidogo kutoa sasa hivi. I wish nitakwenda one day yes America nimechoka bongo hiii
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Unataka kusema kama upo vizuri software engineering kwa Marekani hukosi kibarua etSiyo kupapenda. Ukosefu huu wa ajira ukipata nafasi ya kwenda huko kama umesoma na una ujuzi nenda usiogope. Kama umesoma computer science, nursing, pharmacology, medicine...nenda ukapige kazi kwa miaka 15+. Kama una nidhamu ya pesa utarudi Bongo uko vizuri sana!
Kwasababu ya kufanya kazi
Hata ww unaepiga nyeto unapokelewa tu soberSober si kwa ajili ya mateja? Hawapokei kila mtu, waanze kuruhusu mtu yoyote uone
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]duh,hii Nchi hii,is a free stress State.Upatikanaji wa Wanawake ukoje maana sisi ndio ugonjwa wetu hata tusipokula[emoji23][emoji23]
Kijana unaonekana umeichoka Tanganyika wewe [emoji137][emoji137][emoji137]Yaani uwe na BMW limepaki nje, upo kwenye mjengo wa heshima,upweke utoke wapi!? Si Bora hivyo kuliko maisha yetu ya huku bongo makelele kibao mtaani, story mpaka usiku wa manane lakini mfukoni hakuna kitu, mitaa kama Kashai uswahilini Bukoba, Masasi maji ndanda,wapi wapi, yatima au Dar Manzese, Tandale, Kawe ukwamani, Mbagala, Bora ukaishi Ulaya!! Tafuta kitu Cha kuweka bize, nenda gym au weka gym ndani.
Weee[emoji21][emoji21]
Hebu nitumie picha zao
Uwiiii hawa si ndo wanaigizaga zile movies za wrong turn mkuu?[emoji134][emoji134]
Ingia kwenye hiyo link hapo ,halafu subscribe hiyo account ya huyo mwamba : huyo jamaa anadocumentary zinazihusu hawa viumbe tena live
View attachment 2333729View attachment 2333730View attachment 2333731View attachment 2333732View attachment 2333733View attachment 2333734