Natamani siku moja nije niende Marekani nikaishi licha ya degree yangu moja ya chuo kikuu naona bado sikioni cha maana. Sasa bhana nina kastory kidogo, nina baba zetu wadogo wako Marekani huko Walianza uhotelia kwa meli baadae wakaacha wakaanzisha life Marekani mkubwa na mdogo wote wako USA mmoja alisema anakaa New York mwingine alisema anakaa Philadelphia sina uhakika sana, sasa mdogo nakumbuka aliwahi nisaidiaga hela nikiwa chuo kikuu kama laki 3.5 hivi namshukuru hadi leo maana alikuwa mtu wa bata sana lkn home anakumbuka ndugu. Ila mkubwa huyu sijui karithi roho za ubahili za kichaga maana kaoa uchagani na mwanamke anakaa Bongo Dar hapo tu hata ukisema naomba hata laki 2 tu niongezee kwenye kamtaji atakwambia hana ila akija yeye na familia yake full bata za kimbelembele mara serengeti, mara Mt. Kilimanjaro. Mpaka huwa nawaza roho gani hii??? Mtu yupo Marekani [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] ila mdogo siku hizi naona ana malengo yake ameoa huko huko ila naona maisha anapambana nayo ukiwa na shida mgumu kidogo kutoa sasa hivi. I wish nitakwenda one day yes America nimechoka bongo hiii
Sent from my TECNO KC8 using
JamiiForums mobile app