[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hizo foodbanks ndo nini na kwNini zitoe bure chakula tena kwa kukuletea na ni chakula cha ubora gani isjekua makombo nieleweshe mkuu nikifika hapo ndo kitu cha kwanza ntafanya
We unafanya kazi wapi?Haya nilio onyesha hapo kwa clip yangu ni maeneo ya Middle class ya kawaida. So hizo nyumba sio kubwa! Ila ni nyumba nzuri sana kwa maisha hapa Los Angeles. Clip zitakazo fuata nitaweka zenye majumba ya kufa mtu. Kuhusu Vibaka wapo sema huku kila mtu ana miliki silaha na kumiliki silaha ni haki kikatiba. Kuhusu mishahara hapa Los Angeles watu wanalipwa mpunga mrefu sana. Na hii ndo sababu nyumba zimekuwa bei kubwa sana
Na Texas maisha ni rahisi kishenzi[emoji848]Kuna jamaa yangu alikua Texas, naona amerudi na begi lake tu.kawa mlevi hatari
nakuja huko..natania. Hivi Green card Lotery inafanyaje kazi? Unaipataje? vijana wachangamke na hii kituHa ha ha ha!! Food banks ni Charity mbalimbali hapa Marekani ambazo hutoa chakula bure kwa watu wasio jiweza kama watu wa kipato cha chini, wahamiaji wasio na kazi, pamoja na wanagunzi masikini kutoka Africa na kwingineko. Unachofanya ni kujiandikisha tu then unakuwa unapatiwa chakula. So kama huna makuu unaweza kuishi kwa kutegemea food bank maisha yako yote hapa marekani. Sio makombo ni chakula chenye ubora wa hali ya juu. Makuku, ma juice, nyama, mchele, unga n.k
Taratibu zikoje za kwenda huko??Siyo kupapenda. Ukosefu huu wa ajira ukipata nafasi ya kwenda huko kama umesoma na una ujuzi nenda usiogope. Kama umesoma computer science, nursing, pharmacology, medicine...nenda ukapige kazi kwa miaka 15+. Kama una nidhamu ya pesa utarudi Bongo uko vizuri sana!
Na Texas maisha ni rahisi kishenzi[emoji848]
Kitu Pennsylvania, Philadelphia jamani mji mzima umejaa homeless ni balaa tupu na udenda kama wote....asee pale hapana[emoji848][emoji848]
Vp mkuu mbona kusafi Sana. Sioni kuku Sioni kamba za kuanikia nguo Sioni takataka inakuaje usafi unafanywa na selikali au?
[emoji1][emoji1]Hillbillies Wana afadhali ,rednecks ndio hardcore racists , hillbillies ni maprimitives wa milimani huko Appalachia wako so secluded kiufupi wanajulikana kama" white trashes " utawakuta kwenye zile trailer houses na wooden shacks ,kiufupi ni mabushmen WA kizungu ,hell hawajui hata kuongea kiingereza ipasavyo
Tuelewane jambo moja huko huko marekani unaweza ukawa unakaa jimbo ambalo ni sawa na Kigoma, au Simiyu ya huku kwetu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee, sjui uniandike kabisa
Asante Kwa makala, vipi kuhusu ubaguzi wa rangi, police brutality na gun violence
Kuna kubeti huko? Ndo ugonjwa wetu huo
Mtu mweusi popote alipo ni shida tupu.Ha ha ha ha!! Ni kweli kwa mfano kuna majimbo kama Alabama, Kentucky, Misouri , Alaska, ni majimbo yenye unafuu sana wa kimaisha. Sema jimbo lenye wamarekani weusi wengi sio la kukaa! Yale majamaa muda wowote yanapigana risasi. Yamezoea fujo fujo tu.
Kuna sehemu inaitwa Idaho aisee hio ni Kigoma kabisaHa ha ha ha!! Ni kweli kwa mfano kuna majimbo kama Alabama, Kentucky, Misouri , Alaska, ni majimbo yenye unafuu sana wa kimaisha. Sema jimbo lenye wamarekani weusi wengi sio la kukaa! Yale majamaa muda wowote yanapigana risasi. Yamezoea fujo fujo tu.
Huna hoja.
Punguza makasiriko mkuu karibu states
Kuna sehemu inaitwa Idaho aisee hio ni Kigoma kabisa