Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,724
- 34,688
Nina maswaliHa ha ha ha!! Ni kweli kwa mfano kuna majimbo kama Alabama, Kentucky, Misouri , Alaska, ni majimbo yenye unafuu sana wa kimaisha. Sema jimbo lenye wamarekani weusi wengi sio la kukaa! Yale majamaa muda wowote yanapigana risasi. Yamezoea fujo fujo tu.
1) Jimbo gani maisha ni rahisi na hakuna Sana uhalifu huko US?
2) Mfano sina gari, naweza tembea umbali mrefu let say 5km bila kukutana na shida yoyote? Namaanisha usalama upoje kwa mchana na usiku?
3) Kuna ushirikina? Namaanisha iwe wewe au mtu mwingine ushawahi kusikia story za wachawi usiku Kama ilivyo huku bongo?
4) Kuna stand za mabasi za kwenda miji tofauti? Namaanisha Kama ilivyo ile stand ya mabasi pale mbezi ya kwenda Dodoma, mwanza nk.