Maisha ya Marekani - Ukimya, Upweke, Magari n.k

Maisha ya Marekani - Ukimya, Upweke, Magari n.k

Ha ha ha ha!! Food banks ni Charity mbalimbali hapa Marekani ambazo hutoa chakula bure kwa watu wasio jiweza kama watu wa kipato cha chini, wahamiaji wasio na kazi, pamoja na wanagunzi masikini kutoka Africa na kwingineko. Unachofanya ni kujiandikeisha tu then unakuwa unapatiwa chakula. So kama huna makuu unaweza kuishi kwa kutegemea food bank maisha yako yote hapa marekani. Sio makombo ni chakula chenye ubora wa hali ya juu. Makuku, ma juice, nyama, mchele, unga n.k
Hapa sasa .nimeelewa kwann mtu akizuiwa kuingia.Merica roho inamuuma hata kama nikiongozi mkubwa lazima apige yowe. .kumbe nimambo mazr namna hii mikuku bwerere
 
Hizo foodbanks ndo nini na kwNini zitoe bure chakula tena kwa kukuletea na ni chakula cha ubora gani isjekua makombo nieleweshe mkuu nikifika hapo ndo kitu cha kwanza ntafanya
Wasukuma na misosi haya mleta mada jibu
 
Sehemu ambayo ni kimbilio la kila mtu huwa inabarikiwa, USA ina mabaya mengi sana ila ni kimbilio la kila mmoja aidha tajiri au masikin, popote pale afrika,asia hadi Europe watu hutaka kwenda America kihalali na kiharamu ili tu kukanyaga ardhi ya marekani...
 
West or East coast of US (California or New York) kama huna kitu kimbia tuu , huko ndio capital za high tech na financial markets, mishahara ya dola milioni kwa mwezi kitu cha kawaida sana ndio maana kila kitu ni very expensive, huko life iko very fast lazima uwe young and rich to fit in la sivyo you will be out of place, hata hizo nyumba za laki tatu nimeshangaa sana kuziona LA labda ni mbali kidogo au bad neighborhood
 
Kama Elon Musk mwenyewe alikimbilia Marekani mimi ni nani
 
Ha ha ha ha!!! Loh! Wanawake huku ni wa kumwaga mzee! Ukumbuke hapa Los Angeles kuna watu kutoka kila kona duniani. Asilimia 40 ya wakazi wa los angeles ni wahamiaji kutoka sehemu mbali mbali duniani hivyo kuna wanawake wa kila rangi hapa. Muhimu tu ni nidhamu maana wanawake wapo tu mzee
Hivi huko pia wanawake wanaongozwa kwa maneno na uongo uongo mwingi kama bongo
 
Furaha ni hisia ya muda kama ilivyo huzuni, hasira au hofu.

Kuna kitu kinaitwa hedonic setpoint maanake ni kiwango cha mtu yeyote yule cha kudumu cha furaha haijalishi jambo gani zuri limetokea ktk maisha yako baada ya muda fulani unarejea ktk hali ya kawaida.

Mf. unaweza ku-strike deal kubwa sana la pesa baada ya muda fulani utaona kawaida tu ile furaha ya muda itapanda juu sana baadae itashuka ktk hali ya kawaida.

Kundi kubwa sana la watu duniani kote karibu 75% lipo ktk mazingira ambayo ktk kila matatizo 10 basi 9 yanatatuliwa na pesa hapa ndipo ambapo watu wengi huamini pesa huleta furaha kwa ssb mambo yake yanakuwa yametatuka ila kiuhalisia unachokipata pale ni hisia ya muda mfupi tu.

Mtu huyo huyo akianza kuvuka kutoka kundi la chini kwenda juu ndio huona kumbe hata ukiwa na pesa haimanishi kwamba unakuwa na furaha ya kudumu bali unapata mbadiliko wa hisia ya furaha kwa vipindi tofauti tofauti kulingana na mazingira. Pesa inakupa machaguzi mengi na uhuru ila sio furaha.
Ulichokisema ni kweli mkuu.
 
Ndio na mabilonea wengi kona zote za dunia wanamiliiki apartments apa

Back
Top Bottom