Maisha ya Marekani - Ukimya, Upweke, Magari n.k

Maisha ya Marekani - Ukimya, Upweke, Magari n.k

ni wale niliwaonaga Sunset Boulevard kwenye monster truck rally...haya majitu kwa stereotyping ni hatari....mzee huwajui the kkk ? Ku Klux Klan , is an American white supremacist, right-wing terrorist, and hate group whose primary targets are african american and the likes...Majitu kama hayo nliyoyaatach yaogope sana
Sawa kiongozi
 
Hamna sehemu tamu kama bongo sema kinachotusumbua ni umaskini tu, bongo sheria iko kwa ajili ya maskini tu wenye hela hawasumbuliwi kwa mambo madogo madogo.
Marekani usumbufu mwingi hata ukiwa na hela huna freedom kama bongo. Jela iko karibu sana na wewe.

Trust me huwezi mkuta mtu kama mtoto wa Kikwete, Bhakressa, Mengi, Rostam anatamani akaishi Los Angeles labda. Maisha yake ya Bongo ni zaidi ya Los Angeles. He drives what he wants, drinks what he wants, usalama uko wa kutosha i.e lazma ana mashine anatembea nayo kiunoni au ndani ya gari. He fucks the most beautiful girls as he wishes. Maisha yako in a tap of his fingers sababu hela iko ya kutosha.

Bongo wenye hela hata kidogo tu wanafurahia maisha.
Ina kaukweli fulani. USA Ni kwa ma Hustler and rich people wanaotaka kutanuka zaidi.
Yaani uwe chini ama juu Ila Kati bakia tu bongo. Mfano cheki salary ya daktari Canada uje uniambie Ni Bei gani. Na wanasoma masomo haya haya bongo tunakomaa nao Ila Sasa usomee kwao ama ukitoka hapa ukienda huko uhakikiwe na bodi zao upewe leseni.
USA ndio town afrika ama Asia Ni Kijijini.
Ni sawa umiliki bilioni unafanya biashara upo kigoma rukwa katavi singida utakuwa unapoteza pesa nyingi mno,utaambiwa njoo dar,hata wanaopiga vibarua hata kulisha ng'ombe dar analipwa hela kubwa tofauti na mkoani. So refer to USA and afrika.kama mie napiga kibarua nalisha wazee na kuwaogesha USA namzidi hela daktari ama Engineer wa bongo.


Pia kama una kitu dola kuanzia bilioni moja ama dola milioni 500+ sepa USA wekeza pesa itazunguka fasta zaidi huku home Kijijini jamani. Samahani kwa wachumi watuelezee kwa ufashaa hii nadharia yangu.



Pia bongo mie sipendi kitu Kama Ile aliyofanyiwa ramadhani ntuzwe wa kariakoo. Yaani mtu Ana documents zote za mzigo Ila watu sijui polisi wanaona Kama Ni haki yao kupewa hela yaani sijui kisa nini. Polisi njaa Sana ridhikeni na mishahara yenu bana. Kama vipi si uvue gwanda kuwa salary Ni ndogo
 
Yaani uwe na BMW limepaki nje, upo kwenye mjengo wa heshima,upweke utoke wapi!? Si Bora hivyo kuliko maisha yetu ya huku bongo makelele kibao mtaani, story mpaka usiku wa manane lakini mfukoni hakuna kitu, mitaa kama Kashai uswahilini Bukoba, Masasi maji ndanda,wapi wapi, yatima au Dar Manzese, Tandale, Kawe ukwamani, Mbagala, Bora ukaishi Ulaya!! Tafuta kitu Cha kuweka bize, nenda gym au weka gym ndani.
Mkuu, umenena sana..Huwa nawa uliza watu, kipi bora kati ya upweke na hela AU ukose hela mfukoni uko empty lakini una marafiki wa kukupa kampani????
 
Upweke wa Nini mzeee ..wewe umeenda kutafuta pesa ..mambo ya upweketupa kule ..jua kilichokupeleka tu. Kkama unaeza piga ata kazi tano kwa siku ili usipate muda wa kuwa mpweke ..wee piga tu mzee ..
Mimi mkuu ni heri niwe mpweke ila Hela kibunda kinasoma.

Kuliko kuwa na na marafiki wengi afu mfukoni uko empty
 
Back
Top Bottom