Maisha ni magumu utadhani nchi iko Vitani

Maisha ni magumu utadhani nchi iko Vitani

[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4],unasahau haraka,pale juu ulionesha unajua!!
Naamini hata nikikuambia hutosadiki!!kwa sababu unajua ila unajifanya kutojua ili league iendelee[emoji6][emoji6][emoji6]

Sent using Jamii Forums mobile app
Pale juu nilikuwa naongelea haya mazao ya chakula kama nyanya,mchele,unga,maharage n.k ambayo hayahitaji kupita kiwandani... Ila uzalishaji wa sukari ni tofauti na ndiyo nikakuomba uelezee
 
Hatimaye kesho narudi zangu Perth kuendelea na vibarua vyangu vya kuchunga kondoo.

Hali ya maisha ya Watanzania wenzangu ni ngumu kupindukia. Si mijini wala vijijini pote ni vilio utadhani Taifa liko vitani,watanzania wamekata tamaa na wengi wao wame run crazy baada ya kufilisika Biashara zao na kufukuzwa kazi kwa uonevu eti walifoji vyeti wakati mfukazaji mkuu naye Elimu yake imejaa utata.

Ugumu wa maisha ya Tanzania kwa sasa hauna Tofauti na Burundi na Somalia.

Burundi ukimkosoa Nkurunzinza unapotea Kama ilivyo Tanzania, nimeenda Burundi family nyingi zimepoteza ndugu kwa kuwa wapinzani wa Nkurunzinza.

Hakuna tena pa kushika Tanzania, mzunguko wa pesa umekufa na pesa haina thamani tena. Vijana wamechanganyikiwa kwa ugumu wa maisha huku wakikimbilia CCM ili kusifia wapenda sifa ili wapate kula.


Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea Kwa uchungu sana raia mwenzangu. Tuendelee kuiombea nchi yetu, haya nayo yatapita tu. Tuliwahi kuwa na kipindi kigumu cha utawala wa Mwinyi mwishoni mwa mwa miaka ya 1980. Wazazi wetu makabwela walikuwa wanakaa roho juu wakihofia kupunguzwa kazi, lakin hatimaye yalipita. Mungu yupo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heri ungezaliwa mbwa.
Hilo la kuongeza mishahara lina madhara kwenye uchumi. Wawekezaji siku zote hutafuta nchi yenye gharama ndogo za uzalishaji; na gharama hizo ni pamoja na mishahara. Hata hivyo bado gharama zinazoendana na ajira ziko juu sana mfano kwa mwenye mshahara wa TZS 1,000,000 Gharama anayopata mwajiri ni TZS 1,000,000 + Pension 100,000 + SDL 45,000 + WCF 10,000 + NHIF (option) 30,000 = TZS 1,185,000. Hii SDL na WCF nazo zungefutwa tuu maana zinafanya gharama za kuwekeza Tanzania kuwa juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kitu kibaya kama umasikini Bibilia ninasema umasikini ni laana ni kweli


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hali mbaya sana , waswahili wanasema mbwa kala mbwa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Irrelevant reasoning.
kuna vituko uku jaman! iko ivi mkuu, wanaofanya wewe uone maisha ni magumu sio serikali bali ni wafanya biashara na ni kut cha kawaida! nkupe mfano tuseme wewe ukiwa unalipwa 300K kwa mwezi na mwingine analipwa 1M kwa mwezi., mkipandishwa mishahara wote ina maaana wewe utasogea tuseme 500K na yule wa 1M atasogea mpaka 1.5M kwa wastan, sasa kwa mara ya kwanza utaona umekimbia ugumu wa maisha lakini usichokijua ni kwamba maisha ndo yanakua magumu X2

kiaje utauliza:? wafanya biashara wana njia za kucheza na akili za watu kwenye bei kwa sababu pesa hua hainaga thaman kama wewe unavodhan, hio hio pesa inaweza kua typed kwenye computer na hio hio pesa inaweza kua kwa mfumo wa karatasi, kwahio mfanyabiashara yeye anaangalia uzito wa mtu kununua kitu ndo analaza bei apo, tuseme nmenunua nguo kwa tsh 500! nkikuangalia naweza sema huyu uwezo wake ni kukinunua kwa 1000 basi ndo bei nntakayokuuzia kwa kua una uwzo nayo, kwa kua hela haina thamani ambayo ni tangible wewe utakubali hio bei, sasa kilikua kinauzwa 500 sasa 1000! utaona maisha magumu tena na utataka tena mshahara upandishwe, circle itaendelea ivo ivo lakini kuna limit serikali haiwezi fika, serikali inategemea kodi ipate ela haina kiwanda cha kuchapisha pesa! haiwezekani kila mtu alipwe mil 10! haina hayo mapato, itatoa wap mapato ya kulipa mil 10 kila mmoja tanzania? na ukishalipwa tena mil10 kwa mfano wafanya biashara watafanya yao na utalalamika tena maisha ni magumu kiuhalisia watu wanacheza na akili yako lakini hujui

kwa mfano sasa hivi uchumi upo very unstable, ni ngumu sana kukutwa vitu vinauzwa kwa million lwenye routine ya kawaida! sasa we unatakiwa uende mbele ya hio inflation, inamaana kama nguo inauzwa kwa 500, badala ya kulalamika ukasogea kimapato mpaka 10K inamaana unaweza kununua kitu kwa 500 na bado 9500 ikabaki.. niishie apa! unaweza soma zaidi online na ukaondokana na kundi la hawa wanaotembea kwnye makaburi wakisema one day yes

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ndio udhaifu wetu ulipo.Mie huwa nategemea viongozi wa upinzani wangewaongoza wananchi kufungua kesi mahakamani ili kupinga matamko kandamizi.Sasa viongozi nao wanalalamika tu Kama sie wananchi,hawachukui hatua,hawaendi mahakamani kudai haki.Hata Kama Mahakama zimefichwa na mheshimiwa Ni vizuri upinzani wangeemdelea kuzitumia hivyohivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiendelea king'ang'anizi mahakamani ksi kumi wanaweza kukukatalia tisa, ya kumi wakaona aibu.

Ukitaka kuonesha ulimwengu kwamba mahakama hazitoi haki, ni rahisi kufanya hivyo kwa kufungua kesi, badala ya kulalamika tu.
 
Ukisema hivyo unatoa justification kuwa wapinzani mwaka huu wasithubutu kishiriki uchaguzi kwa namna yeyote maaana watakuwa wanapoteza muda

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana Mkuu, ni madai na mashauri yeyote yale ya Kimahakama ndio ambayo yanapaswa KUPUUZWA katika awamu hii. Wakijaribu kupeleka huko tu, YATATUPILIWA MBALI MARA MOJA.
 
Tatizo la kufikiri kupitia MASABURI hili, hivi Serikali yako inafanya miradi yote hiyo mikubwa kwa kuiga kenya au Uganda eti?
cjaongelea kuiga elewa kiswahili KUIGA NA KUFANANISHA ni vitu viwili tofauti jombaaa kiswahili simpo tu
 
Sisi wakulima na Wauza Nyanya tunapiga sana kipindi hiki,mpk June ifike tumeshazichota za kutosha tunaanza kununua malory yetu wenyewe...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom