Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 10,991
- 19,910
True
True
Chana nae huyo
Shida sio hivo tu bali ni kuwa hatuna Tume huru ya uchaguzi,Halafu bado mtapiga kura kuendeleza utawala huu?
Waswahili walisema "La uvundo halina ubani".Shida sio hivo tu bali ni kuwa hatuna Tume huru ya uchaguzi,
Na hata katiba yetu sio nzuri
Watu wana Nia hiyo ila tatizo ni nguvu kubwa inayotumika kunyamazisha watu, kuandamana japo kikatiba ni sawa lakini awamu hii ni kosa la jinai, kifo nje njeWaswahili walisema "La uvundo halina ubani".
Mnaweza kufanya kampeni ya kuikataa serikali iliyopo kwa kura na maandamano mpaka serikali na tume yake wakashindwa kuiba kura.
Tatizo watu hawana nia hiyo.
Nia wapi mbona sioni hata watu kufungua kesi kupinga uonevu huu unaovunja katiba?Watu wana Nia hiyo ila tatizo ni nguvu kubwa inayotumika kunyamazisha watu, kuandamana japo kikatiba ni sawa lakini awamu hii ni kosa la jinai, kifo nje nje
Mzunguko wa pesa urudishwe mtaaniUnashauri Serikali ifanye nini ili kupunguza hayo makali ya maisha?
Usisahau kuwa hao hao majaji huteuliwa na Rais, na hao hao mahakimu hulipwa mshahara na serikali hii hii ya ccm,Nia wapi mbona sioni hata watu kufungua kesi kupinga uonevu huu unaovunja katiba?
Inawezekana kabisa majaji wa mahakama za juu wakawasikiliza na kutoa hukumu za haki, lakini majaji hawawezi kutoa hukumu za haki kama hakuna kesi iliyofunguliwa.
CHADEMA walifungua mashitaka, sijui hata yameishia wapi.
Na Viwanda pia viongezwe zaidi na zaidi hasa kilimo kipewa kipaumbeleMzunguko wa pesa urudishwe mtaani
Wakulima wapewe pembejeo na walipwe haki zao kwa wakati mara tuserikali inaponunua mazao
Kodi zilizokithiri kwenye biashara zipungue wengi waweze fanya biashara
Ajira mpya na wafanyakazi serikalini wapandishwe madaraja
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana,Usisahau kuwa hao hao majaji huteuliwa na Rais, na hao hao mahakimu hulipwa mshahara na serikali hii hii ya ccm,
Kwa hiyo ni wazi kabisa hawawezi kuwa upande wa wananchi kwenye swala kama hilo
Naona siasa za hapa bado hujazijuaHapana,
Hujawatendea haki. Wapelekee kesi, waache wahukumu bila kufuata haki, halafu, kama kweli wamehukumu bila kufuata haki, unaweza kuwasema.
Sasa wewe unaanza kuwahukumu kabla hata hujawapelekea kesi?
Kuna majaji wengine wanaheshimu viapo vyao. Usiwavunjie heshima kwa kuwalundika wote tu kwamba hawatatoa hukumu za haki.
Pia, ukitaka kukusanya ushahidi kwamba majaji hawatoi hukumu za haki, wapelekee kesi ili uwe na kesi ya kuionesha dunia kwamba hawahukumu kwa haki.
Ukianza kulalamika kwamba hawatoi hukumu kwa haki kabla hujawapelekea kesi, unaonekana wewe una hulka ya ulalamishi tu.
Hili ni moja ya matatizo yetu makubwa, upinzani umejikita kwenye ulalamishi badala ya kutumia legal avenues kufuatilia mambo mpaka mwisho.
Sijazijua vipi? Mbona unaacha mambo nusunusu?Naona siasa za hapa bado hujazijua
[emoji23][emoji23]Kwa hali ilivyo unaweza pita makaburini ukajikuta unasema 'one day yes'
Sijazijua vipi? Mbona unaacha mambo nusunusu?
Tatizo la wabongo wengi wanataka vitu vijitengeneze vyenyewe.
Yani maendeleo yaletwe na wanasiasa kwenye kisahani, wanasiasa wawe wasafi hawana nia chafu.
Ulimwengu wa ndoto.
Wanasiasa wengi wanataka kuiba kura ili waendelee kuwa madarakani.
Ni wajibu wa wananchi kupigania haki zao, ku force mambo mpaka yanabadilika.
Sasa sisi tuna mentality ya "hewala bwana, hewala bwana" wakiendelea kutunyanyasa tunamlalamikia nani wakati sisi wenyewe ndio tunaendeleza utamaduni wa "hewala bwana"?
Mabucha yanakufa kwa kuwa watu wanakula utumbo? Utumbo ni Wa bamia?Kibwengo kapokea nchi nzuri kabisa 2015.
- Inakopesheka
- Diplomasia tele
- Urafiki na wazungu tele ( misaada ya kutosha ), hakuna kuwekeana TRAVEL BANS
- Ajira zipo
- Uchumi unakuwa kwa 7%
- Nchi haina majanga makubwa kama VITA, UKAME, MAGONJWA, TETEMEKO, VIMBUNGA
LAKINI,
Ndani ya MIAKA 4 tu !
"Kila Mtu Analia Na KUSAGA MENO.
- Ajira Hakuna
- Watu Wasio Na Hatia Wanapotea
- Watu Wanapigwa Risasi na Kutishiwa Bastola Hadharani
- Maisha Yamekuwa Magumu Kishetani ( Kijijini Kwetu Kulikuwa Na Mabucha 4 Ya Nyama, Leo Hakuna Mnunuzi Wa Nyama, Mabucha Yote Yamekufa, Watu Wanakula Utumbo )
- Diplomasia Imeyumba
- Misaada Inapungua Kila Kukicha ( Suluhisho Wameona Na Kukopa Kwenye Mabank Ya Biashara Ya Mabeberu na Ya Wachina )
- Deni La Taifa Linakua Kwa Mwendo Wa Rocket
- Kila Mbwa Anaebweka Kushtua raia Wema Kuwa Kuna Wezi, Katekwa, Kapigwa Na Kudhibitiwa ( TAKUKURU, MEDIA, BLOGS, MAGAZETI, MITANDAO, OPPOSITION, CAG, PAC ). Wanatafuna bila kelele
TWAFWAAAAAAA
Bei ya utumbo ni sawa na bei ya nyama ?Mabucha yanakufa kwa kuwa watu wanakula utumbo? Utumbo ni Wa bamia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mizinga imezidi mpaka tunakimbiana.Kibwengo kapokea nchi nzuri kabisa 2015.
- Inakopesheka
- Diplomasia tele
- Urafiki na wazungu tele ( misaada ya kutosha ), hakuna kuwekeana TRAVEL BANS
- Ajira zipo
- Uchumi unakuwa kwa 7%
- Nchi haina majanga makubwa kama VITA, UKAME, MAGONJWA, TETEMEKO, VIMBUNGA
LAKINI,
Ndani ya MIAKA 4 tu !
"Kila Mtu Analia Na KUSAGA MENO.
- Ajira Hakuna
- Watu Wasio Na Hatia Wanapotea
- Watu Wanapigwa Risasi na Kutishiwa Bastola Hadharani
- Maisha Yamekuwa Magumu Kishetani ( Kijijini Kwetu Kulikuwa Na Mabucha 4 Ya Nyama, Leo Hakuna Mnunuzi Wa Nyama, Mabucha Yote Yamekufa, Watu Wanakula Utumbo )
- Diplomasia Imeyumba
- Misaada Inapungua Kila Kukicha ( Suluhisho Wameona Na Kukopa Kwenye Mabank Ya Biashara Ya Mabeberu na Ya Wachina )
- Deni La Taifa Linakua Kwa Mwendo Wa Rocket
- Kila Mbwa Anaebweka Kushtua raia Wema Kuwa Kuna Wezi, Katekwa, Kapigwa Na Kudhibitiwa ( TAKUKURU, MEDIA, BLOGS, MAGAZETI, MITANDAO, OPPOSITION, CAG, PAC ). Wanatafuna bila kelele
TWAFWAAAAAAA