BEDUI Jr
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 2,037
- 2,858
Vp bei ya bidhaa iko pale pale ukikompea na miaka iliyopita?Uhalisia ni kuwa naishi kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Vp bei ya bidhaa iko pale pale ukikompea na miaka iliyopita?Uhalisia ni kuwa naishi kawaida
Nyanya 1 =500 naiyonaga Zanzibar uku ni kwamba ya kwanza mimi kuiyonaUhalisia ni kuwa naishi kawaida
Magufuli ndo analima nyanya? Tulia kafuatilie kwa nn bei ya nyanya ipo juu acha hoja za kitoto mkuu.Nyanya 1 =500 naiyonaga Zanzibar uku ni kwamba ya kwanza mimi kuiyona
Sent using Jamii Forums mobile app
Bidhaa gan imepanda bei tofauti na chakula sababu bei ya chakula inaathiriwa na vitu vingi tu.
Kwahiyo chakula kupanda sio halimbaya?Bidhaa gan imepanda bei tofauti na chakula sababu bei ya chakula inaathiriwa na vitu vingi tu.
Halimi nyanya ila Kikwete ndiyo alikua analima nyanya ndiyo maana ktka utawala wake nyanya hujifukia ukoMagufuli ndo analima nyanya? Tulia kafuatilie kwa nn bei ya nyanya ipo juu acha hoja za kitoto mkuu.
Mkuu umenichekesha sana!!Kwa hali ilivyo unaweza pita makaburini ukajikuta unasema 'one day yes'
Huyo jamaa kiukweli kawaza mbali sana. Nami pia nimejikuta nacheka tu.Daaa nimejikuta nacheka mkuu kwa hii comment yako.
Huu utawala ndo chakula kimeanzia kupanda?
Ndo mara ya kwanza nyanya kupanda tz?Halimi nyanya ila Kikwete ndiyo alikua analima nyanya ndiyo maana ktka utawala wake nyanya hujifukia uko
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali zuri MkuuUnashauri Serikali ifanye nini ili kupunguza hayo makali ya maisha?
Hilo la kuongeza mishahara lina madhara kwenye uchumi. Wawekezaji siku zote hutafuta nchi yenye gharama ndogo za uzalishaji; na gharama hizo ni pamoja na mishahara. Hata hivyo bado gharama zinazoendana na ajira ziko juu sana mfano kwa mwenye mshahara wa TZS 1,000,000 Gharama anayopata mwajiri ni TZS 1,000,000 + Pension 100,000 + SDL 45,000 + WCF 10,000 + NHIF (option) 30,000 = TZS 1,185,000. Hii SDL na WCF nazo zungefutwa tuu maana zinafanya gharama za kuwekeza Tanzania kuwa juu.Swali zuri Mkuu
1.ipandishe mishahara ya watumi Wa kutosha sio kujijitetea pesa iko kwenye chungu kimoja hii itasaidia kuingiza pesa kwenye mzunguko japo kidogo
2.ipungunze baadhi ya kodi ambazo sio rafiki kwa wafanyakazi ili wasiendelee funga biashara bora ukusanye kidogo ila kesho utaendelea kukusanya na mkuu aelewe zipo sheria za kodi ni kandamizi ambazo zinawapa mwanya afisa tra baadhi kupiga pesa kama awana akili zifutwe
Benk kuu ikopeshe mabenk ya ndani mikopo kwa rba nafuu ili mabenki yaweze kuwakopesha wananchi pia kwa riba nafuu
4 MH RAIS aweke siasa pembeni achukue watu waliobobea kwenye uchumi bila kujali siasa asuke team mpya ya kumshauri mambo ya uchumi kwa nini mtu kama prof lipumba pamoja na mapungufu yake tusimtumie na wapo wengi wa aina yake tuwatumie ni vyema prof lipumba kuachana na siasa hivyo mzee maghufuli washauri wa uchumi ulionao kwa sasa piga chini suka kambi upya
5 pesa mkuu za makusanyo katika halimashauri zirudishwe kama zamani ili swala la pesa za makusanyo kwenda huko serikali kuu pia zimeadhili huku chini kwa njia moja au nyingine
Milaradi hii mikubwa twende nayo taratibu itaisha na si lazima azimalize yeye mhe katika kipindi chake atapoishia anaefuata atamalizia
Kwa kweli kusema ukweli tukiacha propaganda za wafuasi wa vyama hum maisha mtaani ni magum magum magum sana ila pia pesa imekua ngum kupata ila ukipata elfu kumi ukichange kwisha bora iwe ngum angalau ukipata basi matumizi yake yalingane na nguvu uliotumia Na hapa wachumi wetu ndo mnatakiwa kuumiza vichwa kumshauri mh rais nini kifanyike ili thamani ya pesa ionekane sio mnakaa na cheo tu mchumi umizeni vichwa vinginevyo hamna sababu ya kubaki kwenye nafasi zenu mtumbuliwe
WAZO KUHUSU WAFANYAKAZI MH RAIS usione tabu tanzania tuna vyanzo vingi vya pesa chukua hata mgodi mmoja ingia mkataba na kampuni shart tu ni kuakisha mishahara minono ya tumishi inatoka hapo kwa miaka kumi ata ikiwa ni vyanzo viwili ambavyo vinaweza kukupatia tir 1.5 kwa mwezi watumishi wako utawalipa vizuri na watachapa kazi
Fyatueni, elimu bureMaisha ya sasa ni ghali. Usizae watoto wengi, unaweza ukaja tembea na chupi kichwani bure!
Mkuu hii koment imenichekesha sana mpka hapa nyumbani wananishangaa,si jui umewaza nni mpka kufikia hukoKwa hali ilivyo unaweza pita makaburini ukajikuta unasema 'one day yes'