cabo
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 4,774
- 5,313
Kwa kweli mimi nimesikitika sana hadi machozi yananilengalengaHuyo jamaa kiukweli kawaza mbali sana. Nami pia nimejikuta nacheka tu.
Mkuu, ile kesi ya kuvuliwa Ubunge LISSU wewe unaona ilihukumiwa kwa haki? Hebu usituharibie mjadala hapa na mahaba yako kwa ccm. Magufuli AMEIWEKA MFUKONI MIHIMILI YOTE, hakuna pa kukimbilia awamu hii.Hapana,
Hujawatendea haki. Wapelekee kesi, waache wahukumu bila kufuata haki, halafu, kama kweli wamehukumu bila kufuata haki, unaweza kuwasema.
Sasa wewe unaanza kuwahukumu kabla hata hujawapelekea kesi?
Kuna majaji wengine wanaheshimu viapo vyao. Usiwavunjie heshima kwa kuwalundika wote tu kwamba hawatatoa hukumu za haki.
Pia, ukitaka kukusanya ushahidi kwamba majaji hawatoi hukumu za haki, wapelekee kesi ili uwe na kesi ya kuionesha dunia kwamba hawahukumu kwa haki.
Ukianza kulalamika kwamba hawatoi hukumu kwa haki kabla hujawapelekea kesi, unaonekana wewe una hulka ya ulalamishi tu.
Hili ni moja ya matatizo yetu makubwa, upinzani umejikita kwenye ulalamishi badala ya kutumia legal avenues kufuatilia mambo mpaka mwisho.
Mahaba ya CCM unawezaje kunipa mimi mtu ambaye hakuna siku inapita hapa bila ya mimi kuisema CCM na Magufuli?Mkuu, ile kesi ya kuvuliwa Ubunge LISSU wewe unaona ilihukumiwa kwa haki? Hebu usituharibie mjadala hapa na mahaba yako kwa ccm. Magufuli AMEIWEKA MFUKONI MIHIMILI YOTE, hakuna pa kukimbilia awamu hii.
Nimekupa mfano wa HUKUMU ya kesi ya TUNDU LISSU na kesi nyingine za Wapinzani kama ile ya MEYA WA JIJI. Kufungua kesi yeyote ile katika awamu hii ambayo Magufuli anaonekana kama mungu ni KUPOTEZA MUDA Mkuu, zitatupiliwa mbali tu.Mahaba ya CCM unawezaje kunipa mimi mtu ambaye hakuna siku inapita hapa bila ya mimi kuisema CCM na Magufuli?
Kwa nini mtu akionesha mapungufu ya upinzani lazima unaona ana mahaba na CCM?
Kuna kesi imeanzishwa na upinzani kupinga Magufuli kukataza mikutano ya hadhara ya kisiasa? Mikutano ambayo inakubalika kikatiba?
Hujajibu swali hili.
Kama Magufuli kaiweka mfukoni mihimili, unatakiwa kuanzisha kesi ili kuionesha dunia jinsi Magufuli alivyoiweka mihimili mifukoni.
Uwe unaongea kwa ushahidi na ushahidi zaidi.
Sio unalalamika kiujumla jumla tu.
Sasa kama hutaki kutumia mfumo wa mahakama unataka kufanya nini? Kupindua serikali?Nimekupa mfano wa HUKUMU ya kesi ya TUNDU LISSU na kesi nyingine za Wapinzani kama ile ya MEYA WA JIJI. Kufungua kesi yeyote ile katika awamu hii ambayo Magufuli anaonekana kama mungu ni KUPOTEZA MUDA Mkuu, zitatupiliwa mbali tu.
Sijawahi shuhudia ugumu wa maisha katika nchi yoyote ambayo nimeganyaga kama uliopo hapa tz kwa sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna utawala wa kuheshimu KATIBA Tanzania, bahati nzuri dunia yote inajua hivyo sasa. Dunia ilijua hilo kupitia hukumu za kesi mbali mbali kama ile ya akina CHACHA WANGWE na wenzake ya kupinga Wakurugenzi wa halmashauri, majiji na miji kuwa Wasimamizi wa Uchaguzi, na badala yake "MAHAKAMA YAKO UNAYOIAMINI" IKATUPILIA MBALI HOJA ZAO.Sasa kama hutaki kutumia mfumo wa mahakama unataka kufanya nini? Kupindua serikali?
Swali zuri Mkuu
1.ipandishe mishahara ya watumi Wa kutosha sio kujijitetea pesa iko kwenye chungu kimoja hii itasaidia kuingiza pesa kwenye mzunguko japo kidogo
2.ipungunze baadhi ya kodi ambazo sio rafiki kwa wafanyakazi ili wasiendelee funga biashara bora ukusanye kidogo ila kesho utaendelea kukusanya na mkuu aelewe zipo sheria za kodi ni kandamizi ambazo zinawapa mwanya afisa tra baadhi kupiga pesa kama awana akili zifutwe
Benk kuu ikopeshe mabenk ya ndani mikopo kwa rba nafuu ili mabenki yaweze kuwakopesha wananchi pia kwa riba nafuu
4 MH RAIS aweke siasa pembeni achukue watu waliobobea kwenye uchumi bila kujali siasa asuke team mpya ya kumshauri mambo ya uchumi kwa nini mtu kama prof lipumba pamoja na mapungufu yake tusimtumie na wapo wengi wa aina yake tuwatumie ni vyema prof lipumba kuachana na siasa hivyo mzee maghufuli washauri wa uchumi ulionao kwa sasa piga chini suka kambi upya
5 pesa mkuu za makusanyo katika halimashauri zirudishwe kama zamani ili swala la pesa za makusanyo kwenda huko serikali kuu pia zimeadhili huku chini kwa njia moja au nyingine
Milaradi hii mikubwa twende nayo taratibu itaisha na si lazima azimalize yeye mhe katika kipindi chake atapoishia anaefuata atamalizia
Kwa kweli kusema ukweli tukiacha propaganda za wafuasi wa vyama hum maisha mtaani ni magum magum magum sana ila pia pesa imekua ngum kupata ila ukipata elfu kumi ukichange kwisha bora iwe ngum angalau ukipata basi matumizi yake yalingane na nguvu uliotumia Na hapa wachumi wetu ndo mnatakiwa kuumiza vichwa kumshauri mh rais nini kifanyike ili thamani ya pesa ionekane sio mnakaa na cheo tu mchumi umizeni vichwa vinginevyo hamna sababu ya kubaki kwenye nafasi zenu mtumbuliwe
WAZO KUHUSU WAFANYAKAZI MH RAIS usione tabu tanzania tuna vyanzo vingi vya pesa chukua hata mgodi mmoja ingia mkataba na kampuni shart tu ni kuakisha mishahara minono ya tumishi inatoka hapo kwa miaka kumi ata ikiwa ni vyanzo viwili ambavyo vinaweza kukupatia tir 1.5 kwa mwezi watumishi wako utawalipa vizuri na watachapa kazi
Hakuna utawala wa kuheshimu KATIBA Tanzania, bahati nzuri dunia yote inajua hivyo sasa. Dunia ilijua hilo kupitia hukumu za kesi mbali mbali kama ile ya akina CHACHA WANGWE na wenzake ya kupinga Wakurugenzi wa halmashauri, majiji na miji kuwa Wasimamizi wa Uchaguzi, na badala yake "MAHAKAMA YAKO UNAYOIAMINI" IKATUPILIA MBALI HOJA ZAO.
Hilo la kuongeza mishahara lina madhara kwenye uchumi. Wawekezaji siku zote hutafuta nchi yenye gharama ndogo za uzalishaji; na gharama hizo ni pamoja na mishahara. Hata hivyo bado gharama zinazoendana na ajira ziko juu sana mfano kwa mwenye mshahara wa TZS 1,000,000 Gharama anayopata mwajiri ni TZS 1,000,000 + Pension 100,000 + SDL 45,000 + WCF 10,000 + NHIF (option) 30,000 = TZS 1,185,000. Hii SDL na WCF nazo zungefutwa tuu maana zinafanya gharama za kuwekeza Tanzania kuwa juu.
Wewe punguani hoja hapa ni malalamiko ya Wananchi kutokana na hii serikali ya kipuuzi kushindwa kutimiza majukumu yake ipasavyo, na kwa hivi kuvuruga uchumi wa nchi. Mkishiba kodi zetu mnakuwa WAPUMBAVU kiasi hiki?we unadhan hio katiba hata ikiandikwa kwa maoni yako tu unaweza badilisha maisha yako na kua miongoni mwa matajiri? stop wasting your time
Wewe punguani hoja hapa malalamiko ya Wananchi kutokana na hii serikali ya kipuuzi kushindwa kutimiza majukumu yake ipasavyo, na kwa hivi kuvuruga uchumi wa nchi. Mkishiba kodi zetu mnashindwa hata kuelewa matatizo ya Wananchi, eti?
Hivi wewe ni Makonda? Hoja hapa ni "KUKOROGEKA" kwa uchumi wa nchi kutokana na UFINYU WA MAARIFA, UBABE na UTAWALA MBOVU.subiria hio serikali unayotaka utaona kama maisha yatakua kama unavoodhan! nimeshasema wanaocheza na akili za watu sio serikali, remember ata pesa yenyewe haitoki serikalini! saasa wewe unawekaje imani yako apo?
Hivi wewe ni Makonda? Hoja hapa ni "KUKOROGEKA" kwa uchumi wa nchi kutokana na UFINYU WA MAARIFA, UBABE na UTAWALA MBOVU.
Suluhisho ni UTAWALA UTAKAOHESHIMU KATIBA YA NCHI, kupitia Tume Huru ya uchaguzi na baadaye KATIBA MPYA (Ile RASIMU YA JAJI WARIOBA IKO POA SANA).
Hivi hawa Watu ambao mnawapoteza, huwa mnawazika wapi?we endelea kusubiria huo utawala bora! ila fuata la msingi
Hivi hawa Watu ambao mnawapoteza, huwa mnawazika wapi?
Una akili ndogo sana wewe. Unadhani maslahi ya nchi hii ni kwaajili ya kizazi hiki tu? Pumbavu sana.acha kupoteza mda wako na siasa! as long una uhai na hakuna vita nchini kwako shukuru Mungu, izo mbwembwe zingine sjui katiba unapoteza mda tu