Maisha ni magumu utadhani nchi iko Vitani

Maisha ni magumu utadhani nchi iko Vitani

cjaongelea kuiga elewa kiswahili KUIGA NA KUFANANISHA ni vitu viwili tofauti jombaaa kiswahili simpo tu
Wewe ma.ttakoo hii miradi ya SGR na mingineyo serikali yako inataka kujifananisha na Somalia au Sudani kusini eti?
 
xo ukitukana ndo unategea utaeleweka ? tumia akili ujifunze mengi
We lijinga nimeisha kupuuza. Endelea kusifia na kutukuza mungu wako Magufuli, familia yako ipate KUPISHANA CHOONI.
 
hali ni hatari sana mtu unayo ajira,na vibiashara vidogo lakini moto unauona,je yule ambae hana kazi maallumu ya kufanya inakuaje.
Huwa najiuliza hichi kitu mimi na mshahara wangu mkubwa tu mambo mengine yanagoma vp kwa wanyonge wa Jiwe hali inakuwaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa mkuu mimi nina wiki sasa naongea peke yangu tuu nimegundua narun crazy sio kwa mbinyo huu maana hata kidogo kinachopatikana wanabeba kweli serikali tunayo. Nimemaliza deni lao la bodi ya mkopo mwaka Jana mwezi wa 9 eti January hii wamerudisha tena deni kuuliza retention fee kwanini usidate mshahara wenyee hautoshi umemaliza deni lao wanakubandika tena kweli nimeamini ukitaka Mali utazipata shambani
Pole saana,daah!
 
Ila we ni kapumbavu Sana[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53],,kwasababu wewe unapata pesa yako kwa kugawa papuchi,ko unahisi maisha umeyapatiaaaaa!!!
Mtoa mada weka angalizo hapo juu:MADA HII ICHANGIWE NA WANAUME WATAFUTAJI TU,HAKUNA MWANAMKE KUCHANGIA UZI HUU!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe kagawe kinyeo chako. Hasira za nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom