Maisha ni magumu utadhani nchi iko Vitani

Wewe huna ndoto za kufikia angalau hata robo tu ya mafanikio ya USA katika nyanja yeyote ile? Vijana wa CCM hovyo sana.
embu angalia tena ulichoandika kina muunganiko na uwiano..... isije ikawa ccm imekuchanganya sana jitafakari ........alisikika baharia m1 akizungumza
 
Wakubali wakatae hali ya uchumi mtaani ni mbaya biashara nyingi zimekufa mzunguko wa hela hamna, wakusanya kodi wapo bize na kukamua ngombe aliyekonda,,, Mpe ngombe chakula ndo umkamue maziwa,,, hakuna kitu kibaya Kama kutosikiliza maoni ya watu unaowaongoza,, nchi inaongozwa na genge la washamba wasiojielewa,, mwenye kishiba hamjui mwenye njaa huo ndo ukweli watu wanashindia Mahindi ya kuchoma na maji sio kwa kupenda inabidiii, najua nchi hii haipendi wasema kweli inapenda wanafiki wanafiki tuu ila mimi nitasema ukweli nchi imeyumba hali za watanzania %kubwa ni mbaya. Siyo kwa ubaya mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la kufikiri kupitia MASABURI hili, hivi Serikali yako inafanya miradi yote hiyo mikubwa kwa kuiga kenya au Uganda eti?
 
Umeandika vzr, Umeandika ukweli mtupu na umeeleweka,... Nimerudia kuisoma mara mbili kwakua umeandika kwa hisia na imetugusa wengi sana,...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakubali wakatae hali ya uchumi mtaani ni mbaya biashara nyingi zimekufa mzunguko wa hela hamna, wakusanya kodi wapo bize na kukamua ngombe aliyekonda,,, Mpe ngombe chakula ndo umkamue maziwa,,, hakuna kitu kibaya Kama kutosikiliza maoni ya watu unaowaongoza,, nchi inaongozwa na genge la washamba wasiojielewa,, mwenye kishiba hamjui mwenye njaa huo ndo ukweli watu wanashindia Mahindi ya kuchoma na maji sio kwa kupenda inabidiii, najua nchi hii haipendi wasema kweli inapenda wanafiki wanafiki tuu ila mimi nitasema ukweli nchi imeyumba hali za watanzania %kubwa ni mbaya. Siyo kwa ubaya mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulisikia ripoti ya Tasaf bila aibu eti umasikini umepungua
 
Unashauri Serikali ifanye nini ili kupunguza hayo makali ya maisha?
Ipunguze cost of production ili bidhaa na huduma zizalishwe kwa wingi hivyo kupelekea,
-Ajira kwa walio wengi
-Mfumuko wa bei (inflation) utapungua
-Eport itaongezeka na import itapungua kwa kiasi fulani (favourable balance of trade)
-Kama balance of trade ikikaa sawa basi kutakuwa na favourable balance of payments, ambayo italeta fedha za kigeni kwa wingi, kiasi fulani shillingi itapata thamani
-Standard of living itakuja pale shilling inakuwa na purchasing power,
Just to mention few.....
 
Kupunguza gharama za uzalishaji ni pamoja na kutokupandisha mishahara
 
Ila we ni kapumbavu Sana[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53],,kwasababu wewe unapata pesa yako kwa kugawa papuchi,ko unahisi maisha umeyapatiaaaaa!!!
Mtoa mada weka angalizo hapo juu:MADA HII ICHANGIWE NA WANAUME WATAFUTAJI TU,HAKUNA MWANAMKE KUCHANGIA UZI HUU!!!
Wabongo mnajua ku exaggerate mambo [emoji23] eti kama somalia. Somalia mnapajua nyie

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom