Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,284
- 40,896
Hali ni mbaya,aliyekivulini hawezi kuelewa hili
Utakuwa mpiga dili mnufaika wa 10% za awamu hii au uko kwa shemeji.So sijitegemei kwa sasa... Alright
Kama kijana nguvu unayo ni heri kuchukua maamuzi ya waethiopia jivike mabomu nchi yeyeto mtembea bure si mkaa bureHali ni mbaya,aliyekivulini hawezi kuelewa hili
Wewe unachagua Jaji wa kusikiliza kesi?Mi ndo nachagua!ili nimshaur Braza zito,ko nakuomba unitajie mmoja tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe katiba iliyopo imekupa uhuru wa kufanya mikutano, rais kaivunja hiyo katiba.Mwenzio akinyollewA wewe tia maji!Ina maana hujawahi sikiA mpinzani kafungua kesi kumshitaki raisi kwa kuvunja katiba?na VIP raisi akipatkana na hatia??katba inatuambia afanywe nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi general, happy new year afande.mzima lakini, be blessedNgoja wakata viuno waje
Yeah maana bila ivyo,huwezi kutoboaKama kijana nguvu unayo ni heri kuchukua maamuzi ya waethiopia jivike mabomu nchi yeyeto mtembea bure si mkaa bure
you think you are the only one who has ever travveled to somalia my sister?Wabongo mnajua ku exaggerate mambo [emoji23] eti kama somalia. Somalia mnapajua nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
vipi pole pole? mzima lakiniUnashauri Serikali ifanye nini ili kupunguza hayo makali ya maisha?
Kwa hiyo definition yako, nikikukubalia hata kwa "immanent critique".
Watu wanaotengeneza matatizo na kuyatatua wenyewe unaona ni sawa kuwaacha tu?
Bei ya utumbo ni sawa na bei ya nyama ?
Kwahiyo ukishindwa kula kuku ukaanza kula miguu ya kuku na utumbo ni sawa, hiyo miguu inakuwa ya matembele ?
Umeandika mengi, lakini swali langu dogo tu hujalijibu.Unazunguka zunguka tu kimepanda, kimeshuka.thats how politics is! hakuna sehem duniani hawana malalamiko na serikali au wanasiasa! kila mtu analalamika kwa upande wake, hata tukisema tukuweke wewe kua prezidaa lazima kuna watu watalalamika even to normal natural calamities za maisha!
WHY IS LIFE HARD MR PRESIDENT? wewe unampa jibu gan hili mwananchi wako? ofcourse you cant providde free stuffs for everyone, kuna mtu atasema hiki ni bei kubwa sana kwangu! na mwingine the price is fair! mwingine this price is very low, hawa watu wapo ama hawapo Tanzania? ofcourse wapo! na unadhan kwanini? serikali? wanasiasa? wewe mwenyewe? unakutana na mtu analalamikia serikali maisha ni magumu, we unadhan huyu mtu akili zake zipo timam?we unadhan siasa boraa zikiwekwa utanufaika nazo? thats how life is everywhere duniani, mtu anaeblame siasa mimi namwona kama mwendawazimu ivi? how do you even start blaming siasa?
serikali haichapishi hela, yenyewe inakopa kila kukicha kujiendesha! infact people are rich than most countries on earth, sasa wewe unawekaje imani yako kwenye siasa? politicians!
Wewe unachagua Jaji wa kusikiliza kesi?
Kama hakuna Jaji wa kusikiliza kesi kwa haki Tanzania utafanya nini?
Tasaf ndo hao hao ccm mkuu hamna lolote, ukitaka kupata uhalisia wa mambo nenda mtaani wahoji watu kumi tuu utapata majibu.Ulisikia ripoti ya Tasaf bila aibu eti umasikini umepungua
Wewe utapigwa tu, maana hamna jinsi.Njmeamua kukaa Kim ya[emoji56][emoji56][emoji56],mkuu kwani unanishauri nifanye nn?mbali na kumuachia MUNGU?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeandika mengi, lakini swali langu dogo tu hujalijibu.Unazunguka zunguka tu kimepanda, kimeshuka.
Watu wanaotengeneza matatizo na kuyatatua wenyewe unaona ni sawa kuwaacha tu?
Umeandika mengi, lakini swali langu dogo tu hujalijibu.Unazunguka zunguka tu kimepanda, kimeshuka.
Watu wanaotengeneza matatizo na kuyatatua wenyewe unaona ni sawa kuwaacha tu?
Naendelea kuwaonya vijana wa kitanzania, msikubali kuvunjwa miguu au kuumizwa kwa namna yoyote ile mkiwapambania wanasiasa wa taifa lenu. Kama umeamua kupambana, pambania kile unachoamini na sio mwanasiasa.
Wanasiasa wa Tanzania ni wachumia tumbo,hawajui itikadi na hawana itikadi. Wanatafuta ugali, ndio maana wataungana na kuwa wamoja pale ugali wao utakapojaribiwa.
Haya,bado wengine wengi wataendelea kuwavunja moyo kwakuwa mliwapambania.
OK sijui... Nieleze
😂 😂 😂 😂 😂uko kwa shemeji.