Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,932
- 34,918
Kijijini kwetu kuna ukaribu na kambi ya Jeshi JKT. Ng'ombe huchinjwa huko kambini ( wao wanajeshi wanalipia mwisho wa mwezi kama hawana hela kwa wakati huo ).Kwa hiyo wakichinja ng'ombe, wanatupa nyama wanachukua utumbo wanauza au ikoje hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Then utumbo ndio unaletwa huku kijijini.