Maisha ni magumu utadhani nchi iko Vitani

Maisha ni magumu utadhani nchi iko Vitani

Hatimaye kesho narudi zangu Perth kuendelea na vibarua vyangu vya kuchunga kondoo.

Hali ya maisha ya Watanzania wenzangu ni ngumu kupindukia. Si mijini wala vijijini pote ni vilio utadhani Taifa liko vitani,watanzania wamekata tamaa na wengi wao wame run crazy baada ya kufilisika Biashara zao na kufukuzwa kazi kwa uonevu eti walifoji vyeti wakati mfukazaji mkuu naye Elimu yake imejaa utata.

Ugumu wa maisha ya Tanzania kwa sasa hauna Tofauti na Burundi na Somalia.

Burundi ukimkosoa Nkurunzinza unapotea Kama ilivyo Tanzania, nimeenda Burundi family nyingi zimepoteza ndugu kwa kuwa wapinzani wa Nkurunzinza.

Hakuna tena pa kushika Tanzania, mzunguko wa pesa umekufa na pesa haina thamani tena. Vijana wamechanganyikiwa kwa ugumu wa maisha huku wakikimbilia CCM ili kusifia wapenda sifa ili wapate kula.


Sent using Jamii Forums mobile app
Yani maisha yamekuwa dhahma tupu...next term of five years mbona tutakoma...mpaka miundo mbinu ikae poa...nitakuwa kwenye 60s tayari
 
Dah! tusije kuta nyomi la raia wakijisalimisha TASAF, kama konda boy kalamba mshiko sijui nani atabaki maana mimi mwenyewe hapa sina hata buku mfukoni
 
.

Hali ya maisha ya Watanzania wenzangu ni ngumu kupindukia. Si mijini wala vijijini pote ni vilio utadhani Taifa liko vitani,watanzania wamekata tamaa na wengi wao wame run crazy baada ya kufilisika Biashara zao na kufukuzwa kazi kwa uonevu eti walifoji vyeti wakati mfukazaji mkuu naye Elimu yake imejaa utata.

Sent using Jamii Forums mobile app

Heart touching

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo la kuongeza mishahara lina madhara kwenye uchumi. Wawekezaji siku zote hutafuta nchi yenye gharama ndogo za uzalishaji; na gharama hizo ni pamoja na mishahara. Hata hivyo bado gharama zinazoendana na ajira ziko juu sana mfano kwa mwenye mshahara wa TZS 1,000,000 Gharama anayopata mwajiri ni TZS 1,000,000 + Pension 100,000 + SDL 45,000 + WCF 10,000 + NHIF (option) 30,000 = TZS 1,185,000. Hii SDL na WCF nazo zungefutwa tuu maana zinafanya gharama za kuwekeza Tanzania kuwa juu.
Mkuu pamoja na uchumi wako hata sio fani zetu kweli inawezekana vitabu vinakwambia ivo lakin nafikili hukurefrect zaidi katika ualisia naona umejikita kwenye theory zaidi unaposema kwamba ukiongeza mishahara wawekezaji watakimbia gharama za uendeshaji .Hivi kwa mishahara ya hapa nyumbani kwamba labda kimo cha chini iwe lki 6 kwa mwezi alafu mwekezaji ataki kuja sasa ni mwekezaji au mwekezaji uchwara ambao wengine hufika hata mtaji hawana bali ujanja janja mbona kenya watumishi angalau wanalipwa vizuri na pesa yao iko juu inamaana kenya hakuna wawekezaji
Hivi nchi zilizoendelea kama hata marekani ambapo watu wanalipwa hakuna wawekezaji ?kwa iyo wafanyakazi wetu tusiwalipe vizuri kwamba hatutapata wawekezaji .Aisee kama tunataka wawekezaji wakuja kwetu,tuwalinde,tuwape ardhi ,alafu wawalipe ndugu zetu mshahara kidogo huku wakitaka wapate faida kubwa basi nami naungana na mzee maghufuli wabaki kwao watuache na malighafi zetu mbona wakija na watu wao hua wanawalipa vizuri .mwekezaji kweli kama anajua sehemu anayowekeza output ipo ya kutosha ogopa kulipa wafanyakazi vizuri
 
Back
Top Bottom