Hulda-Tamarri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 2,616
- 3,834
Uwe umejipata na mifumo yako ya hela iwe vizuri.
Kijijini hela ni ngumu
Kijijini hela ni ngumu
Unapapenda kwa rafaeli njia ya kwenda mango kwa kina min -meKilimanjaro.
Pale kwa Rafaeli 😂
Hukukutwa na wasee wa kibosho wangekukata mbupu 😆Pale kwa Rafael nilikuwa na demu enzi zile.
Wale wazee walikuwa wananiheshimu juu nikikaa nao nawakumbushanga nyimbo sile sa bolingo.Hukukutwa na wasee wa kibosho wangekukata mbupu 😆
Ulionana na mamboro kwellyiiiWale wazee walikuwa wananiheshimu juu nikikaa nao nawakumbushanga nyimbo sile sa bolingo.
Sana tu, yaani ilikuwanga tu muzuri tulipokutana.Ulionana na mamboro kwellyiii
sijawahi kufika Mbeya ila ngoja mwakani nijitahidi nifike MkuuNimeishi miaka 2 kikazi, nilipapenda, ntarudi panapo majaliwa.
Upo kijijini au ndio unajipanga kurudi kijijini?Nakuunga mkono hoja zako zote mkuu
Karibu Sana🤝
Uwe umejipata na mifumo yako ya hela iwe vizuri.
Kijijini hela ni ngumu
-Original. Hakuna kuyapitishapitisha kwenye machuma ya wale jamaa ambayo machuma mengine yana kutu.Tangu niamie huku kijijini, sizeeki kihasara hasara
- Napata maji safi,
Isiyo na Microbial load 60% na Floating Chemicals/Gases(Polluted/Adulterated free air)
- Hewa safi,
Za kiasili -sio zile za AI eti ni sauti ya kunguru kumbe ni lirobot.
- Kelele nzuri za ndege,
Ume-relax zako, unaongea 2-3 na majirani wenye utulivu pia sio wapiga vizinga.
- Hakuna msongo wa mawazo,
- Napata mayai, nyama, maziwa muda wowote ninaotaka,
Vitu Truly Organic na purely Original - hakuna mambolea ya viwandani, booster au matumizi ya ERV kukuza mazao ya mifugo.
- Napata vitu vingi bustanini,
Exactly. Mwili wako ni majibu ya kile unachokula. Garbage in, Garbage out.
- Matumizi ya hela ni madogo sana kutokana na vitu vingi kupatikana shambani na kwenye mifugo,
- Ngozi ya mwili inang'aa haina mabakamabaka,
Kweli umechagua fungu lililojema.Kweli maisha mema, yanapatikana huku kijijini
- Hakuna uchafuzi wa hewa unaosababishwa na msongamano wa watu,
- Na mika 73 lakini naonekana kama kijana wa miaka 20,
- Koti la suti limenikaa vizuri halijanizidi mwili kama wa huko mjini,
View attachment 3659541
Karibu kijijini-Original. Hakuna kuyapitishapitisha kwenye machuma ya wale jamaa ambayo machuma mengine yana kutu.
Isiyo na Microbial load 60% na Floating Chemicals/Gases(Polluted/Adulterated free air)
Za kiasili -sio zile za AI eti ni sauti ya kunguru kumbe ni lirobot.
Ume-relax zako, unaongea 2-3 na majirani wenye utulivu pia sio wapiga vizinga.
Vitu Truly Organic na purely Original - hakuna mambolea ya viwandani, booster au matumizi ya ERV kukuza mazao ya mifugo.
Exactly. Mwili wako ni majibu ya kile unachokula. Garbage in, Garbage out.
Kweli umechagua fungu lililojema.
Ni kweli, baadhi ya vijiji vina changamoto mfano ukame n.k, lakini si lazima kuishi kwenye kijiji ulichozaliwa, unaweza kuvutiwa na kijiji ambacho kiko mkoa tofauti na ulipozaliwa,ukawekeza makazi yako ya uzeeni n.kInategemea na vijiji vyenyewe, sio kila kijiji.
Kipindi cha mvua yapo yale yanayojiotea yenyewe e.g. mciha, mnavu, nyanya zile ndogo-ndogo lakini pia nguvu haitumiki mfululizo. Kwa mfano ukiotesha migomba, maembe, mafenesi n.k huna sababu ya kuotesha kila mwaka. Ni vitu kama mahindi,maharage,karanga etc ambavyo ni kwa miezi mitatu unavuna na hiyo miezi 7 ni yakujipumzikia na kufanya ukarabati wa miundo-mbinu tu. Tofauti na mjini tangu asb - jioni ni pilika pilika hadi unachanganyikiwa.Kijijini ni nguvu zako tu, utapata nyama toka bandani, utapata matunda toka bustani n.k kama utaishi kijijini na kuleta uvivu wa mjini ata mchicha ushindwe kuotesha, itabidi upambane upate hela ili uweze kununua mahitaji yako kwa watu wengine.
Kuweza kuishi kwenye kijiji ambacho hujazaliwa ni vigumu kama sio muwekezaji, mfanyabiashara au mtumishi wa umma.Ni kweli, baadhi ya vijiji vina changamoto mfano ukame n.k, lakini si lazima kuishi kwenye kijiji ulichozaliwa, unaweza kuvutiwa na kijiji ambacho kiko mkoa tofauti na ulipozaliwa,ukawekeza makazi yako ya uzeeni n.k
Sahihi kabisa. Maisha ni popote.Ni kweli, baadhi ya vijiji vina changamoto mfano ukame n.k, lakini si lazima kuishi kwenye kijiji ulichozaliwa, unaweza kuvutiwa na kijiji ambacho kiko mkoa tofauti na ulipozaliwa,ukawekeza makazi yako ya uzeeni n.k
Waw! Mm nipo kijijini tayari mkuu.Karibu kijijini
Akina mama ndo mamboro; akina baba ni Mboro au Maembe. Ni ukoo mkubwa ulioenea.Ulionana na mamboro kwellyiii
Uko sahihi, kuna vitu vya kujifunza, kama mzungu anatoka huko kwao kuzuri nakuja kuishi huku vijijini, inakuwaje sisi wazawa hatuko hivyo?Kuweza kuishi kwenye kijiji ambacho hujazaliwa ni vigumu kama sio muwekezaji, mfanyabiashara au mtumishi wa umma.
Kuna ka-ukweli fulani, lakini mbona wastaafu wengi huendelea kuishi pale walipostaafia? Iwe mjini au Kijijini (Village centers)Kuweza kuishi kwenye kijiji ambacho hujazaliwa ni vigumu kama sio muwekezaji, mfanyabiashara au mtumishi wa umma.