Maisha mema yanapatikana kijijini

Maisha mema yanapatikana kijijini

Uko sahihi, kuna vitu vya kujifunza, kama mzungu anatoka huko kwao kuzuri nakuja kuishi huku vijijini, inakuwaje sisi wazawa hatuko hivyo?
Wazungu waliokuja zamani hizo(achana na hawa wanaokuja kuhamia) waliwaaminisha wazawa eti kwao Ulaya/Amerika etc. ni kuzuri na wamekuja huku kwetu kutustaarabisha i.e. kutuondoa kwenye Ushenzi (Civilisation). Mbaya zaidi wakachanganyamo na Dini. Sasa swali tunalotakiwa tujiulize linakuja hv: Kama kwao kweli ni kuzuri; mbona wao wanakuja kuhamia huku kwetu ambako wanasema ni kubaya? Kwani wao wanapenda mahali pabaya?
Tafakari.
 
Lakini sisi tunapakimbia kijijini, kuna baadhi ya vijiji vina watu wachache.
 
Eu tupe ushuhuda, umeweza vipi kupambana na mazingira ya kijiji?
Mkuu; huku vijijini hakuna kupambana hata kidogo. Mapambano yapo huko mjini. Maisha ya kijijini yanahitaji mabo madogo sana ili uyamudu e.g.
1. Huku kijijini usitake makuu e.g. kujitutumua (pomposity) au kuonesha dharau kwa wenyeji uliowakuta hapo. Heshimu watu wa rika zote.
2. Usijichanganye-changanye hovyo i.e. Uwe na mipaka yako.
3. Usiingilie mambo ya wengine au kuropoka hovyo esp. juu ya yale yasiyokuhusu na epuka kabisa "kudandia" wake za watu au kujionesha ww ni kidume. Fanya shughuli zako halali -kilimo, biashara, ufugaji n.k. Epuka kudhulumu au kushabikia mambo ya Husda, fitina n.k. baina ya watu
4. Kumbuka na zingatia ukweli kwamba Uchawi upo lakini usiwachokoze au kuchokonoa habari za wachawi. Achana nao na puuzia habari zao.
 
Kama una nguvu na ukazitumia vizuri kijijini, hakuna haja ya kuwa na hela nyingi
Ni kweli. Kijijini kuna ardhi na ukilitambua hilo, wahenga walishasema-Ardhi haijawahi kumtupa mtu. Kwa mfano (Kisayansi na kimahesabu) mtu mmoja(1) mzima anahitaji magunia mawili ya mahindi safi kwa mwaka mmoja. i.e. atahitaji walau robo eka kulima mahindi hayo. Kweli mtu na nguvu zako utashindwa kuyazalisha hayo eti ni mpaka ukanunue sokoni??? Shida inakuja watu wanadhani kula chips mayai kunywa soda baridi,n.k.n.k ndo maisha Inasikitisha tunajijazia sumu mwilini halafu tunatamba.
 
Mkuu; huku vijijini hakuna kupambana hata kidogo. Mapambano yapo huko mjini. Maisha ya kijijini yanahitaji mabo madogo sana ili uyamudu e.g.
1. Huku kijijini usitake makuu e.g. kujitutumua (pomposity) au kuonesha dharau kwa wenyeji uliowakuta hapo. Heshimu watu wa rika zote.
2. Usijichanganye-changanye hovyo i.e. Uwe na mipaka yako.
3. Usiingilie mambo ya wengine au kuropoka hovyo esp. juu ya yale yasiyokuhusu na epuka kabisa "kudandia" wake za watu au kujionesha ww ni kidume. Fanya shughuli zako halali -kilimo, biashara, ufugaji n.k. Epuka kudhulumu au kushabikia mambo ya Husda, fitina n.k. baina ya watu
4. Kumbuka na zingatia ukweli kwamba Uchawi upo lakini usiwachokoze au kuchokonoa habari za wachawi. Achana nao na puuzia habari zao.
Kwa hizo sababu hutaki kwenda kijijini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom