Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,982
- 61,808
Tangu niamie huku kijijini, sizeeki kihasara hasara
- Napata maji safi,
- Hewa safi,
- Kelele nzuri za ndege,
- Hakuna msongo wa mawazo,
- Napata mayai, nyama, maziwa muda wowote ninaotaka,
- Napata vitu vingi bustanini,
- Matumizi ya hela ni madogo sana kutokana na vitu vingi kupatikana shambani na kwenye mifugo,
- Ngozi ya mwili inang'aa haina mabakamabaka,
- Hakuna uchafuzi wa hewa unaosababishwa na msongamano wa watu,
- Na mika 73 lakini naonekana kama kijana wa miaka 20,
- Koti la suti limenikaa vizuri halijanizidi mwili kama wa huko mjini,