Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 3,312
- 4,182
Unawaacha wakae kama walivyo.Wanaosema kijijini maisha ni magumu hakuna hela, unawapa ushauri upi?
Unawaacha wakae kama walivyo.Wanaosema kijijini maisha ni magumu hakuna hela, unawapa ushauri upi?
Alidhani umeandika jina la kiungo. Hajatembea na kuona au kusikia mengi. Very localised guy.Dogo ni chasaka haelewi anacheka tuu msee
Hongera mkuu! halafu kijijini hakuna joto!Tangu niamie huku kijijini, sizeeki kihasara hasara
Kweli maisha mema, yanapatikana huku kijijini
- Napata maji safi,
- Hewa safi,
- Kelele nzuri za ndege,
- Hakuna msongo wa mawazo,
- Napata mayai, nyama, maziwa muda wowote ninaotaka,
- Napata vitu vingi bustanini,
- Matumizi ya hela ni madogo sana kutokana na vitu vingi kupatikana shambani na kwenye mifugo,
- Ngozi ya mwili inang'aa haina mabakamabaka,
- Hakuna uchafuzi wa hewa unaosababishwa na msongamano wa watu,
- Na mika 73 lakini naonekana kama kijana wa miaka 20,
- Koti la suti limenikaa vizuri halijanizidi mwili kama wa huko mjini,
View attachment 3659541
Joto litoke wapi wakati mzunguko wa hewa ni mkubwa na mimea inachuja hewa chafu na kuihuisha (rejuvenate)upya muda wote?Hongera mkuu! halafu kijijini hakuna joto!
Nimekupata kwa ufasaha sana mkuuTumia hiyo mikono kwa kazi za shamba na kung'oa visiki, usichukulie hiyo mikono hapo ilipo kama pambo la mwili
Kweli mkuu, two weeks ago nilikuwa kijijin nimekuja katoro aseee joto balaaa sijui wa dasilamu ipoje.Joto litoke wapi wakati mzunguko wa hewa ni mkubwa na mimea inachuja hewa chafu na kuihuisha (rejuvenate)upya muda wote?
Kawaida nilisema siku ongea na mamboro hapa watu wanaduwaa utafikiri kitu Cha ajabuAlidhani umeandika jina la kiungo. Hajatembea na kuona au kusikia mengi. Very localised guy.
Nipo Kijiji Cha Ilenge mkuu tunaendelea na kilimo Cha ndizi pamoja na parachichiUpo kijijini au ndio unajipanga kurudi kijijini?
Mimi sizungumzii hela ya kula maana kijijini vyakula ni vingi na ni nafuu. Nazungumzia pesa za kukuletea maendeleo mengine kando na chakula, malazi na mavazi. Hiyo ni ngumu kuipata unless ubase kote kote mjini na kijijini.Kijijini ni nguvu zako tu, utapata nyama toka bandani, utapata matunda toka bustani n.k kama utaishi kijijini na kuleta uvivu wa mjini ata mchicha ushindwe kuotesha, itabidi upambane upate hela ili uweze kununua mahitaji yako kwa watu wengine.
Kuishi kijijini kunapunguza magonjwa ya akiliHongera mkuu! halafu kijijini hakuna joto!
Wale hawana shida, wanakuwa wanajitafutia chakula.Hujaskia mabundi usiku
Maji ya chemchem tunayanywa bila kuchemsha, mchicha tunajichumia tu mashambani, tunaokota mayai tunakula, hakuna magonjwa ya akili n.kKila sehemu ina uzuri na ubaya wake lakini pia inategemea aina ya kijiji ulichopo.
1. Unapofurahia sauti za ndege tambua kuna nyoka pia. Huku kufungua mlango asubuhi na kukutana na nyoka anakatiza uwanja sio jambo la ajabu
2. Maji safi ni uongo - sehemu nyingi ambazo serikali au wadau hawajapeleka huduma ya maji wanatumia maji ya mto. Watu wanafua humo, wanaoga, mifugo inakunywa humo na watu wanachota maji ya kutumia majumbani
3. Vyakula unapata fresh sawa lakini kwa msimu. Sehemu za miji au majiji vyakula vinapatikana muda wote...mfano Dar ukitaka kula mhogo hakuna siku utaenda sokoni ukose mhogo maana mihogo inatoka kila upande, kama upande wa kusini sio msimu wa viazi vitaletwa kutoka kaskazini.
Kwa mazingira hayo, wewe utafikisha miaka 80Nipo Kijiji Cha Ilenge mkuu tunaendelea na kilimo Cha ndizi pamoja na parachichi
Bila kusahau ufugaji wa ng'ombe wa maziwa karibu Sana hapa
Uko sahihi, mfano sasa hivi unafanya kazi mjini; pato lako unaliwekeza kijijini, baada ya miaka 5 au 10, unarejea kijijini kula matunda ya kile ulichokianzisha.Mimi sizungumzii hela ya kula maana kijijini vyakula ni vingi na ni nafuu. Nazungumzia pesa za kukuletea maendeleo mengine kando na chakula, malazi na mavazi. Hiyo ni ngumu kuipata unless ubase kote kote mjini na kijijini.
Ukitamani maana yake we ni 40+Umenitamanisha sana
Kwa kudra zake, inshallah!Kwa mazingira hayo, wewe utafikisha miaka 80
Kweli ,mimi mjini sijawahi kupakubali ... Kijijini sijawahi kukaa labda kwende kwenye shughuli il napakubali sana.Ukitamani maana yake we ni 40+
Kweli turudi vijijini tukajijenge
Mjini mtu ana 50 anavaa jinzi.! Maisha ya hovyo kuwahi kutokea
Unakuwa out of transactionKweli ,mimi mjini sijawahi kupakubali ... Kijijini sijawahi kukaa labda kwende kwenye shughuli il napakubali sana.