Maisha mema yanapatikana kijijini

Maisha mema yanapatikana kijijini

Hao ni matapeli, wamesababisha vijana wengi wasitimize ndoto zao na kutengeneza wazee wa hovyo.
Kama kipato chako mwenyewe hakijatosha kumaliza vipengele vyako, kaa mbali na mapenzi na watoto wakale..
Screenshot_20260829-164131.png
 
Napenda sana sehemu yenye uoto asili 🥰 sehemu tulivu hakuna kelele
Bustani ya maua nyumba zisizo banana

Shida vijijini kwetu utaishia kuboreka hakuna facilities za kutosha
Nendeni mashambani unapata vyote hivyo unavyopenda.. Jioni kamaa hii unasikia milio ya ndege mizuri huku wapata coffess arabica ... na vijukuu vinachezea cheza tumbili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom