nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,733
- 14,160
Nilipokuwa kijana nilipanga Chumba uswazi,kina Dada wakataka kunizoea mara tukusaidie kufua,nakataa,tukusaidie kupika nakataa,mara leo tumepika kisamvu hao wameshaleta ndani,nawaambia situmii.Mara naamka asubuhi nakuta wamemwaga maji yameingia mpaka ndani mwangu,kisha wanasema kaka tukusaidie kupiga deki nawakatalia.
Basi jioni moja narudi nyumbani nakuta wamefua vyupi vyao kisha wameanika kwenye mlango wa kuingia ndani mwangu.Khaaa! sikuongea na mtu,kipindi hicho nilikuwa mvutaji hasa,mara zote nilikuwa natembea na lighter,nikaiwasha nikavichoma vyupi vyao mpaka vikayeyuka,kesho yake mwenye nyumba akanipa Notice.🙂