Maisha katika nyumba za kupanga

Maisha katika nyumba za kupanga

Huyo afadhali. Mimi nilikuwa narudi na maganda ya mayai matano hivi asubuhi naweka sufuria jikoni inapata motooo halafu naimwagia maji utasika chaaaaaaaaaaaaaaaa kama mayai vile. Nikitoka naenda kutupa maganda!
Hahahah, nimecheka sana mkuu.
 
Kuna brother mmoja alipata chumba uswaz, sasa asubuhi alikaanga mayai mawili kwa breakfast, khe it was a talk of the house, anakunywa chai na mayai. Basi mkaka kuwakomesha akawa anapita kwa wauza chips anaomba maganda, asubuhi akishakaanga mayai yake mawili anatupa maganda kama ya mayai sita hivi, wee wa mama wanakaa kabisa kuhesabu maganda.
Hapa umetuuzia chai.
 
Kuishi na watu kazi. Ushuani nako kuna matatizo yake.
Kuna raha yake kuishi Tanzania in general, kuna siku Dar nilikwenda dukani, nilijikutua ninamahitaji mengi kuliko cash niliyokuwa nayo, nilimwambia kijana wa dukani niwekee hivi pembeni nitarudi kuvichukua, aliniambia hapa aunt chukua vyote wewe si unakaa nyumba ile yenye gate ... unatanipitishia hata kesho pesa yote. Kwanza nilishtuka sana, kumbe mtaani baada ya wiki mbili tatu watu wote wanakufahamu.
 
Nilipokuwa mwaka wa pili nilibahatika kupanga chumba maeneo Fulani Ya Sinza.

Ilikuwa kila wikiendi lazima niingize mtoto mpya ndani.
Hali hiyo Mama mwenye Nyumba alikuwa akihadithiwa tuu, ni lini nilijua alikuwa akihadithiwa. Ni hivi;
Ilikuwa ni siku moja majira ya saa nne na nusu usiku nimetoka Mabibo hostel kwenye discussion. Niliingia ndani nakutoka na ndoo ya maji kwenda bafuni kuoga.
Kulikuwa kumetulia Sana huku mbalamwezi likimulika haswa nakupafanya paonekane Kama asubuhi. Nilimaliza kuoga na kurejea chumbani kwangu. Niliingia ndani na kuweka ndoo kisha kuenda kuwasha taa kwani nilivyotoka niliizima.
Nilivyoiwasha nilishtuka kuona mwili wa mwanamke aliyejifunga kanga, aliyelalia tumbo na kuacha Msambwanda wake ukiwa Kama vichuguu ukinitazama. Mapigo ya moyo yalikimbia kwa kasi Kama mtu aliyeahidiwa kupewa Mabilioni ya fedha.

Mpaka muda huo sikujua aliyekuwa amelala, nilikuwa nimesimama Kama nguzo nisijue cha kufanya.

Mara yule mwanamke akaongea
"Mbona umesimama"
Ndipo nilipojua ni Mama mwenye nyumba. Aliyasema hayo akiwa anajigeuza kwa tabu kutokana na ukubwa wa mapaja yake yaliyojaa vyema.

Nilijikuta sina cha kujibu tukabaki tunatazamana mithili ya majogoo wanaotaka kupigana.

"Samahani kwa kuingia bila taarifa"
Alisema huku akiwa ananiangalia na macho yake makubwa yalinakshiwa na kope ndefu kiasi za asili na nyuzi nyembamba.
"Usijali mama"
"Nimekuletea chakula Michael"
Huku akinionyesha hot pot na Mimi nikiangalia kule ninapoelekezwa ambapo niliona hot pot yenye nyama ya kuku na Wali.

Hakika ulikuwa mtego mkubwa kwangu. Kwani sikuwa na pesa na Tokea nipige Wali na maharage(RB), saa tisa sikupatapo kugusa chakula tena.
Nilijua nikifika ntakula kimkate changu nilichokibakiza usubuhi.
Sasa naona Uyoga jangwani Hahaaha!!

Mama mwenye nyumba alikuwa akiniangalia Kama jasusi wa CIA mwenye kitengo kikubwa. Alijua wazi jaribio lake lazima ni Disko.

"Naona umechoka sana"
Kimya
"Embu kula kwanza afu tutaongea"
Kimya kidogo.
Afu nashtuka Kama mtu aliyekumbuka point aliyokuwa akiitafuta Sana kwenye chumba cha mtihani.

Kimya kilipita, hakuna aliyekuwa akiongea zaidi ya kijiko na hotipot na mlio wa meno ndivyo vilikuwa vikizongana muda huo.

Nilipata kumchungulia Mama mwenye nyumba ambaye alikuwa bado kajilaza kivivu Kama chatu aliyetoka kumeza. Macho yangu yalidunda kwenye upaja mweupe laini wa mama juma ambao urangi yake iliweza kuakisi mwanga wa bulb na kuubadilisha mwanga wa mule ndani.

Nilihisi mapigo yamesimama, niligundua macho yangu yamenaswa na usumaku mahaba. Ndipo joka langu likaanza kwa kupiga miayo kisha likajinyoosha na kutunisha misuli.

Nilimshukuru mama mwenye nyumba ambaye nilimjua Kama mlokole na Mama mstaarabu aliyependa dini.

Alikaa nakujifunika mapaja yake vizuri.
"Hivi unajua wewe ni kijana mzuri, Michael?"
"mmmh!!"
"Eehe wewe ni kijana mzuri"
Kimya

"Ahsante kwa chakula"
Nilishukuru huku nikijaribu kufanya suluhu na joka asijitokeze kwenye ile kombolela. Joka lilisimama kidete, halikutaka kusikia lolote kutoka kwangu. Kuna wakati liliparua bukta yangu niliyoivaa jambo ambalo Mama mwenye nyumba alihisi bukta inacheza.

Jambo hilo pengine ndilo alilolitarajia Mama yule.
Aliachia tabasamu jepesi na kufanya vishimo vidogo vijitokeza kwenye mashavu na kupotea.

Alinishika begani kisha akasema;;;.........

Fuatilia simulizi la kweli kutoka kwa Michaelray22 litakaloanza jumapili.
Litakalo kwenda kwa jina "MWANACHUO".

Ahsante kwa kusoma.
 
Mkuu yote haya uliyapitia wewe?
 
Kama ni jukumu la mama mwenyenyumba kununua LUKU anachukua pesa kutoka kwenu wala hajali.
Hapo kwenye luku hapo palinigharimu mno.
Unakuta Una mitihani then luku imekata afu usiku unataka kusoma. Basi unajikuta unanunua au niende Hostel siku hiyo kwa washkaji Kama nmechacha
 
Zile taa za betri za wa-China zinasaidia sana ukiwa unasoma.
 
Kama ni jukumu la mama mwenyenyumba kununua LUKU anachukua pesa kutoka kwenu wala hajali.
Kuna nyumba nshawahi kukaa... Mwenye nyumba ana luku yake so haingiliani na sisi... Me sina hata pasi af kuna jamaa ana room 2 na Sebule, pasi, heater, jiko, fridge, oven etc lakini anataka tutoe sawa
 
Zile taa za betri za wa-China zinasaidia sana ukiwa unasoma.
Nlikuja kununuaga baada ya kugundua hiyo Changamoto.

Ila Kupanga ni raha Kama utakuwa unarudi usiku. Pia kwa sisi men ni fursa ya kufahamu aina kadha wa kadha ya nyie dada zetu katika Yale mambo yetu.
 
Nyumba za kupanga zina vijambo...kuna kipindi nilikuwa nimepanga sehemu ...ni zamani kidogo sasa nikanunua gari tatu kutoka japan mbili zilikuwa za rafiki zangu walikuwa mikoani zote zilikuja kwa pamoja...sasa nilipozitoa bandarini nikazipaki hme hapo nilipopanga ......kodi wakati huo nilikuwa nalipa laki mbili nanusu...jioni yake niliporudi nikakutana na barua mama mwenye nyumba amepadisha kodi kutoka laki mbili na nusu mpaka laki tano na ya parking....balaa
 
Pole sana mkuu, mama mwenyenyumba aliona fursa.
 
Kuna brother mmoja alipata chumba uswaz, sasa asubuhi alikaanga mayai mawili kwa breakfast, khe it was a talk of the house, anakunywa chai na mayai. Basi mkaka kuwakomesha akawa anapita kwa wauza chips anaomba maganda, asubuhi akishakaanga mayai yake mawili anatupa maganda kama ya mayai sita hivi, wee wa mama wanakaa kabisa kuhesabu maganda.[/QUOT

Sky;
Umenikumbusha mbali. Nikawalaza wamama woote wa ile nyumba tulimopanga walikuwa 8. Wote wake za watu. Kisa, nakula mikuku na misoda kocho kocho. Kumbe nimeomba kukodisha tu kreti la soda kwa makubaliano ya kunywa hapo 2 na lisikae kwangu zaidi ya masaa 4 tangu nalichukua.
Naingia nalo mlngoni, natolea dirishani narudi na tupu kuingizia dirishani. Naomba mifupa ya kuku kwa madai napelekea mbwa. Nakuja nimenunua mchuzi tu wa mchemsho. Nakuja mwaga kwenye kalo asubuhi kumbe nimelala njaa.
Ikawa msemo nyumba nzima. Kila mwanamke ananitaka mwenye mihela na mla vizuri. Ptuuu. Sisahau kwani ujana rahaaa. Ukifanya mchezo huoi ng'o
 
Back
Top Bottom