Maisha katika nyumba za kupanga

Maisha katika nyumba za kupanga

Kuna brother mmoja alipata chumba uswaz, sasa asubuhi alikaanga mayai mawili kwa breakfast, khe it was a talk of the house, anakunywa chai na mayai. Basi mkaka kuwakomesha akawa anapita kwa wauza chips anaomba maganda, asubuhi akishakaanga mayai yake mawili anatupa maganda kama ya mayai sita hivi, wee wa mama wanakaa kabisa kuhesabu maganda.
Haya yote yanatokea Kisha tunasema nchi haina njaa !
 
We SKY nakuomba uzi huu ukikaribia kueksipaya weka remix duh ninavyocheka nahisi siku zinaongezeka kwa dabodabo ati
 
Asubuhi mnawahi foleni ya kuoga maana bafu si ni moja..... Mwingine anaweka ndooo mwingine jiwee kila Mara anatoka kusogeza foleni take mbele
Umepatwa na tumbo la kuhara, chooni kuna mtu anaoga!!!
 
Kuna brother mmoja alipata chumba uswaz, sasa asubuhi alikaanga mayai mawili kwa breakfast, khe it was a talk of the house, anakunywa chai na mayai. Basi mkaka kuwakomesha akawa anapita kwa wauza chips anaomba maganda, asubuhi akishakaanga mayai yake mawili anatupa maganda kama ya mayai sita hivi, wee wa mama wanakaa kabisa kuhesabu maganda.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀 tuoneane huruma hizi mbavu mkuu
 
Nyumba ya kupanga kero zake kuombana chumvi,majani ya chai(wasio na haya wanaomba chai kabisa eti anawahi sehemu kashindwa kupika),mafuta ya kujipaka,sukari,unga(kisingizio uji wa mtoto)

Kuvaliana,kuazimana kuna watu ni hodari wa kuazima kila akionacho kwa jirani yake sio ndala,yebo,kanga,dela,viatu,wanja,nguo na chochote akionacho, mnyime sasa gubu lake mtaa mzima utatangazwa mchoyo.
Kwa wanawake sawa, lakini kwa wanaume hapana.
 
Uswazi kuzuri. Ukiwa bachelor wadada wa hapo nyumbani watajaza maji yakitoka na kukugongea kukuuliza kama umekula. Kazi hata za kugonga misumari zote zako. Mnh. Dawa yao ni kaondoka asbh sanaaaaa na kurudi usiku. I miss those days.
This my life now!
 
kuna jamaa angu mmoja yeye alivyokua mdogo alinemelewa sana na jimama lenye nyumba,,basi wazazi wake wakitoka dogo anaitwa kumkuna mmama,,na hadi leo yeye ni mtu wa mimama mikubwa tuu,,eti vidada haviwei na vina kero kugegeda
na yeye ni mhanga wa mijimama.
 
Enzo hizo ndo nimemaliza chuo na kuanza maisha nikaenda kupanga nyumba moja hivi. Tulikuwa wapangaji watatu na mwenye nyumba WA nne.

Katika wapangaji hao kulikuwa na mtoto mmoja matata kapanga anasoma chuo. Ilitokea tu akawa shemeji yenu.

Kibembe kulikuwa siku Baba mwenye nyumba akigundua either mimi niko chumba change GF wangu au yeye yupo kwangu Basi Baba mwenye nyumba atajipitisha dirishani hata mpaka sa saba usiku. Sisi ndani tunacheeeka maana mzee akikuwa anamtamani yule binti but jinsi ya kumpata ndio mbinde.

Hakika uswahilini kuna vituko
 
hhahahaahhaah
Kuna brother mmoja alipata chumba uswaz, sasa asubuhi alikaanga mayai mawili kwa breakfast, khe it was a talk of the house, anakunywa chai na mayai. Basi mkaka kuwakomesha akawa anapita kwa wauza chips anaomba maganda, asubuhi akishakaanga mayai yake mawili anatupa maganda kama ya mayai sita hivi, wee wa mama wanakaa kabisa kuhesabu maganda.
 
Habari za leo wandugu,

Ukitaka kuishi uswahilini kwa raha kama wewe ni mtu wa totoz, huu ndo utaratibu, ili kukomesha wambea totoz yako ikisha toka siku akija tena, mwambia kuwa uliwaona wale wa mama wa siku ile pale koridoni, basi walikusema vibaya hadi na shangaa sijui wanakufahamu yaani we achatu. sasa totoz hapo itawawekea uso wa mbuzi mimama yote ya huko ndani ambayo ni wapangaji wenzio

Sasa siku ukipata mchumba wa kweli ambaye amefikia viwango, basi wewe hama nyumba ili kukomesha wambea
na kule utakako hamia basi utakuwa umewaziba midoma manake watakuwa taarifa zako hawana

Siku ya ukuoa kama bado hujapata kibada chako basi hama nyumba ili kukomesha umbe kama kawaida

Ila uswahilini raha sana ,hasi usiku wenye ndoa zao wanapokua wanapata uhouse, wengine wanaanikiza utdhani jamaa anazo mbili

Sema vibaka ndo shida yaani hata ndala saa nyingine wanaiba
 
kitaka kuishi uswahilini kwa raha kama wewe ni mtu wa totoz, huu ndo utaratibu, ili kukomesha wambea totoz yako ikisha toka siku akija tena, mwambia kuwa uliwaona wale wa mama wa siku ile pale koridoni, basi walikusema vibaya hadi na shangaa sijui wanakufahamu yaani we achatu. sasa totoz hapo itawawekea uso wa mbuzi mimama yote ya huko ndani ambayo ni wapangaji wenzio

Sasa siku ukipata mchumba wa kweli ambaye amefikia viwango, basi wewe hama nyumba ili kukomesha wambea
na kule utakako hamia basi utakuwa umewaziba midoma manake watakuwa taarifa zako hawana

Siku ya ukuoa kama bado hujapata kibada chako basi hama nyumba ili kukomesha umbe kama kawaida

Ila uswahilini raha sana ,hasi usiku wenye ndoa zao wanapokua wanapata uhouse, wengine wanaanikiza utdhani jamaa anazo mbili

Sema vibaka ndo shida yaani hata ndala saa nyingine wanaiba
Click to expand..
 
Back
Top Bottom