Maisha katika nyumba za kupanga

Maisha katika nyumba za kupanga

Kuna kaka mmoja alikuja kusoma UDSM, alipangisha chumba Tandale. Alikuwa na girl friend wake wa long time, mtoto wa kisure basi mtoto akawa anakwenda weekend kwa jamaa, maji mnachota mtaa wa pili ndiyo kuna kisima, basi asubuhi mkaka akawa anakwenda kumchukulia babe wake maji ya kuoga, mwe wewe wa mama wasiache kumchamba, huyu ndiyo utamuoa huyu, mwanamke amelala wewe unakwenda kuchota maji.

utakuwa wewe unajisema
 
Nakumbuka niliwai kupanga nyumba mi na jamaa yangu tupo single ila jamaa yangu ilikuwa kila siku lazima analeta mzigo ndani mi namfungulia siku moja alileta kitu kinapiga kelele balaa siku iyo majirani ilikuwa story, bahati mbaya kitu kilikuwepi hadi mchana. jamaa akaendelea kupiga mambo watu wakajaa dirishani hadi watoto, kibaya zaidi demu alikuwa anaria uku akisema "unanitoboa" basi mama mwenye nyumba alianza matusi kutoa anasema kwani sisi hatutom.bwi acha kelele izo
 
''Rafiki zangu wa kiume kama watatu hivi waliniambia bikra zao zilitolewa na wapangaji wengine wakati wakiwa wadogo kwenye nyumba za kupanga, mimama isiyokuwa na haya anamsubiri mama wa kijana ametoka, ndipo kijana anapoitwa chumbani, huko anakuta ameandaliwa chai na vitafunwa na akapewa mchezo.''
NIMECHEKA SANA ICHO KIPANDE. KUMBE KUNA HUDUMA KAMA HIZI BORA KUONDOKA NYUMBANI KWENDA KUPANGA
 
Kuna demu mtoto Wa mama mwenye nyumba, yuko form three...
Namfukuzia yaani hata hasomeki.
Mbaya zaidi week ijayo nahama.
Daaah, Dogo bado bikra.
 
''Rafiki zangu wa kiume kama watatu hivi waliniambia bikra zao zilitolewa na wapangaji wengine wakati wakiwa wadogo kwenye nyumba za kupanga, mimama isiyokuwa na haya anamsubiri mama wa kijana ametoka, ndipo kijana anapoitwa chumbani, huko anakuta ameandaliwa chai na vitafunwa na akapewa mchezo.''
NIMECHEKA SANA ICHO KIPANDE. KUMBE KUNA HUDUMA KAMA HIZI BORA KUONDOKA NYUMBANI KWENDA KUPANGA
Kuna kaka mmoja kazini alinipa story kama hii. Yeye ni Mpemba sasa baba yake mdogo alikuwa na duka. Akitoka shule alkwenda kuuza duka na saa nne wakifunga baba mdogo alimpa cash in hand.
Basi ile mimama ikiamka mahesabu hayasomeki inamkopa kijana, akikumbushia hela yake anaitwa chumbani na kupewa vitu vya wakubwa
 
Kuna kaka mmoja kazini alinipa story kama hii. Yeye ni Mbemba sasa baba yake mdogo alikuwa na duka. Akitoka shule alkwenda kuzaa duka na saa nne wakifunga baba mdogo alimwambia cash in hand.
Basi ile mimama ikiamka mahesabu hayasomeki inamkopa kijana, akikumbushia hela yake anaitwa chumbani na kuolewa vitu vya wakubwa
Duuh ndio mana siku hizi watoto wadogo hawaogopi watu wazima maana wameshaakomazwa kwenye nyumba za kupanga
 
Nyumba za kupanga raha sana...unapata mali bure bure...mi nadownload miziki mipya daily kwenye PC af napiga kwenye subwoofer langu basi watoto wanataka niwahamishie kwenye simu zao na hapo ndipo neema huwadia...
 
Kuna kaka mmoja alikuja kusoma UDSM, alipangisha chumba Tandale. Alikuwa na girl friend wake wa long time, mtoto wa kisure basi mtoto akawa anakwenda weekend kwa jamaa, maji mnachota mtaa wa pili ndiyo kuna kisima, basi asubuhi mkaka akawa anakwenda kumchukulia babe wake maji ya kuoga, mwe wewe wa mama wasiache kumchamba, huyu ndiyo utamuoa huyu, mwanamke amelala wewe unakwenda kuchota maji.
nilivyoelewa mimi, binti alikuwa ni wewe[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Kuna siku moja long time kitambo jamaa ameleta mdada poa ndani, asubuhi anamwambia hana pesa asepe. Mwe mwe dada aliliamsha 'wewe umekula mlango wa dharura kumbe huna pesa na mimi hapa sitoki. Humu ndani una redio cassette na jiko la tanalec kaweke rehani unipe pesa yangu'.

Kero ilikuwa kubwa mpaka mama mwenye nyumba kuingilia, shauri lilifika kwa mjumbe wa mtaa na wazee wakaitwa, Ilibidi wazee wachange pesa wampe jamaa kwa ahadi ya kuwa mwisho wa mwezi akipata mshahara atarudisha.

Uswazi hakuharibiki neno litawekwa sawa tu.
 
Back
Top Bottom