Madaga
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 564
- 758
hahahahahahahaaMmenikumbusha wakat naanza maisha kule kwa ali maua siku nayofunga dish la GTV mtaa mzima umesimama unashangaa jioni nkirudi home nakuta watu mlangoni wanasubiri waje kuangalia tv
hahahahahahahaaMmenikumbusha wakat naanza maisha kule kwa ali maua siku nayofunga dish la GTV mtaa mzima umesimama unashangaa jioni nkirudi home nakuta watu mlangoni wanasubiri waje kuangalia tv
Na wewe umeona usipite kimya mkuuMimi nyumba yangu ya kwanza kupanga mama mwenye nyumba alikuwa ana tabu sana...yani hana jema...Eti nikiwa nachungulia madirishani kwa wapangaji wenzangu kupiga chabo ananimind, nikojoa ukutani nyuma ya nyumba ananimind...Kuna kipindi chooni ilikuwa foleni kila muda, nikaamua mwenyewe najisaidia chumbani kwenye mifuko weekend nikitulia naenda kumwaga, eti pia alipojua akanichamba balaa...yani wamama wengine nuksi sana..,sjui alikuwa ananitaka
😂😂Umenikumbusha mbali...kuna mzee yeye akinunua kuku akikaribia nyumbani anamfinya kidogo ilimsikie kwiooooooooooooo!
Ukinunua kuku uswaz lazima utaelekezwa wa kukuchinjia, na baada ya kumchinja mtoto anatumwa na bakuli aje achukue shingo, wanaamini ni haki ya mchinjaji, kwakweli huwezi kuweka shingo tu kwenye bakuli lile.